tafsiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kitabu: How to win friends and influence people

    Tafsiri ya kiswahili ya kitabu How to win friends and influence people by Dale Carnegie. KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki kadhaa...
  2. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kitabu: How to win friends and influence people

    KAMA UKITAKA KURINA ASALI USIPIGE TEKE MZINGA Tarehe 7 mwezi wa tano mwaka 1931 kulikuwa na msako wa aina yake wa mhalifu ambao jiji la New York halijawahi kushuhudia. Baada ya msako wa wiki kadhaa, mhalifu aliyejulikana kama Crowley “Bunduki mbili”, muuaji na jambazi wa kutumia silaha ambaye...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ndoto

    Habarini wana jamvi.... natumai mpo wazima kabisa.. Kuna kipindi nilikuwa katika changamoto fulani za kimaisha (ni kawaida katika maisha kupitia milima and mabonde). Sasa, nilipambana sana kuweka mambo sawa lakaini ngoma bado ikawa ngumu.... kwakuwa nilikuwa msomaji sana wa Biblia na vitabu...
  4. JamiiForums Tanzania Unapozomewa ni tafsiri watu hawakuheshimu kama unavyofikiria. Hawakuonei haya

    Habari za Sabato! Kuna ile unafikiri watu wanakuheshimu kwa kiwango cha juu. Kiasi kwamba hata ukitema shudu, pumba, ukitoa boko basi watu kwa heshima waliyonayo kwako watakustahi. Ni kweli mtu anayekuheshimu sana hawezi kukuzomea, kukukatili, kukukatisha, kukufedhehesha. Hilo ni kweli kabisa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje? Tafsiri yake sahihi ni ipi? TLS inasimamia lipi?

    Chama Cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) kimetoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia magari mawili (Toyota Land Cruiser Hardtop) yatakayorahisisha utekelezaji wa majukumu ya Chama hicho. Makabidhiano hayo yamefanyika leo...
  6. JamiiForums Tanzania Leo ni Day👉26 Month 06 Year 2026.. Je unajua tafsiri yake kiroho?

    Kiroho na kihesabu (Numerology), tarehe ya leo Juni 26, 2026 kubeba Nishati ya Namba 8, ambayo ni namba yenye nguvu kubwa ya mafanikio ya kifedha, mamlaka, na uwiano wa kimaisha (Karma). Hii ina maana kuwa mambo au makubaliano yatakayofanyika leo yana nafasi kubwa ya kuwa ya kudumu, yenye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kujaa kwa mikutano ya Chadema tafsiri yake Mama hakubaliki au CCM imechokwa?

    Toa maoni yako
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutafsiri ndoto hii

    Wakuu nimeota hivi "Nilikuwa mimi na marafiki zangu tukitembea njiani pamoja tukafika sehemu tukakuta kuna hitilafu ya nyaya za umeme. Tukashauriana tupande juu ili turekebishe nyaya tukajaribu ila tukakosa belt balance position. Ikabidi turuke kwenye paa la nyumba. Ili tusubirie hizo belt...
  9. JamiiForums Tanzania Macho, mikono na miguu yako katika tafsiri ya kiroho

    Kwako vinaweza kuwa viungo vya kawaida vya mwili Ulimwengu wa kiroho unatambua viungo hivi kama nyenzo kuu za hatimiliki ya mwanadamu, ambapo 1. Macho yanawakilisha ufunuo na maono 2. Miguu inaashiria hatua na maendeleo 3. Mikono inabeba mamlaka ya uzalishaji. Kwa maana hiyo basi .Macho ya...
  10. JamiiForums Tanzania Tumeugawa mwaka, tuko sehemu ya pili ya mwaka ama sehemu ya kwanza ya kipindi cha pili je unajua tafsiri yake kiroho?

    Kipindi hiki cha mpito kuelekea nusu ya pili ya mwaka kinabeba siri nzito inayotengeneza mstari wa mgawanyiko kati ya yaliyopita na yajayo. Haya sio mabadiliko ya namba kwenye kalenda tu, bali ni lango la kiroho linalofungua madhabahu mapya ya matokeo katika ulimwengu wa roho. Ni majira...
  11. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Mapigo ya Misri Katika Safari ya Mkristo ya Kutakaswa Kupitia Mateso

    Katika mtazamo wa kiroho wa Kikristo, mapigo kumi ya Misri yanaweza kuonekana kama mfano wa hatua ambazo Mungu humpitisha mwamini ili kumwondoa katika utumwa wa dhambi na kumfanya afanane na Kristo. Misri inawakilisha ulimwengu wa dhambi, mwili, na utumwa wa shetani. Kwa Mkristo, mapigo haya...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea kwa Faye na Sonko ni tafsiri halisi ya “tamaa ya madaraka”

    Tumeshuhudia wanavyonyukana kugombea nani awe na mamlaka ya mali ya umma Hili ni janga la Afrika ndio maana hadi leo hakuna muungano unaoeleweka Yale yale ya ukawa na siasa za Tanzania Bora kubaki na CCM kuna aina fulani ya utu na uungwana kuliko kilichotokea Chadema Lossu, Heche na...
  13. JamiiForums Tanzania Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

    Shikamoon wakubwa zangu wote Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani. Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Je, wafahamu tafsiri ya makofi anayopigiwa Kassimu Majaliwa? Mlinzi wake kuwa MAKINI usibweteke inaweza kula kwako soon

    CCM haitaki kubadilika kulingana na nyakati, Kassimu Majaliwa nyota yake haijafifia hata iweje bado inang'ara sana hata km CCM na Samia mnajitaidi kuizima. Mlinzi wake nimekuona umeanza kubweteka, take care man. umeilinda hazina ya nchi system soon itatoa majibu.
  15. JamiiForums Tanzania Hizi prank za vijana kujifanya machizi zinazidi kuongezeka zina tafsiri mbaya kiroho

    Zamani zetu kuwa chizi/ kichaa ilikuwa msiba wa kaya na jumuiya yote ya eneo hilo Sababu za uchizi zilitafutwa na kufanyiwa utafiti. Familia husika ikifanya kila liwezekanalo isihusishwe na vinasaba kwakuwa ingekuwa na impact mbaya kuanzia mahusiano, uongozi mpaka biashara Sababu maarufu...
  16. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya ujumbe katika picha ya Lissu, Samia na Mahakama kutoka Kwa bondia Hassan Mwikinyo

    Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha 1. Samia kuwa kifuani, mbele Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani 2. Lissu kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kauli za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa; Tanzania kama nuru ya amani, umoja na usalama duniani

    TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI Na GULATONE MASIGA Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres, wakati akipokea ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya neno “MAMA” kwa makabila mengi hapa nchini ni "NYOKO"

    Neno mama:- 1. Kwa kiha (watu wa Kigoma) ni "nyoko". Mfano. (a) Ndamhamagala nyoko wawe (namuita mama yako). (b) Jewe ndi nyoko wawe (mimi ni mama yako). 2. Kwa lahaja nyingi za kiswahili; neno "mama" ni nyoko. Mfano. K*ma"nyoko" ni tusi la kiswahili lenye muunganiko wa maneno mawili; "k*ma" na...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inaendelea kutoa kauli zinazoacha tafsiri mchanganyiko kwa wananchi?

    Mchana wa October 29, Serikali kupitia vyombo vyake vya Ulinzi na Usalama vilitoa kauli kwamba ikifika saa 12 watu wawe ndani. Kauli ile kwanza haikutangazwa kwa juhudi za kutosha ili ziwafikie watu wengi. Pia kwa makusudi iliacha mapengo ya tafsiri yanayokuja baadae kuleta utata wa kisheria...
  20. JamiiForums Tanzania Tathmini na tafsiri ya uteuzi wa Baraza la mawaziri

    1. Waziri mkuu Mwigulu Nchemba Huyu amewekwa kufanya propaganda za utamaduni wa Magufuli ili wananchi wawe na Imani na Serikali Hapa tutarajie ziara za kushitukiza na tumbua tumbua nyingi 2 Wizara ya Afya Mchengerwa Huyo kifua kipana ameweka hapo ili kuthibiti habari za vifo na maiti za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…