tafiti

Tafiti was an animated search engine launched by Microsoft Corp. and TrappsInteractive to showcase the Silverlight animation and video player.
It was launched in 2007 and was discontinued in 2009.

View More On Wikipedia.org
  1. Ushahidi: Sikubaliani na hoja ya kwamba walimu wengi ni failure wa kidato cha nne au sita

    Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu. Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka. Ninachoona ni...
  2. Tafiti: Ugumba kwa wanaume unakua kwa kasi sana

    Imegundulika kua katika kipindi cha takribani miaka 50 nyuma kufikia sasa, kumekua na upungufu wa zaidi ya 50% ya manii(sperm) kwa wanaume wote duniani, na kusababisha kukua kwa kasi, kwa tatizo la ugumba kwa wanaume. mbaya zaidi, upungufu huu umeonekana kua mkubwa zaidi kwa wanaume wakiafrika...
  3. MUHAS:- Tafiti zinaonesha tiba asili za UVIKO 19 zilikuwa na matokeo chanya.

    Mfuko wa Utafiti wa UVIKO-19 wa Amne Salim: Jumla ya tafiti nane zimeweza kuzalishwa na watafiti mbalimbali kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili (MUHAS) kufuatia ufadhili uliotolewa na familia ya aliyekuwa Waziri Mkuu Salim Ahmed Salim uliolenga kuenzi kifo cha mke...
  4. Nashauri serikali itumie zaidi wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kufanya tafiti na kuchapisha maandiko kama tunataka kufika mbali katika tafiti

    Kama kweli serikali ina mpango wa kuhamasisha wanazuoni wa vyuo vikuu vya Tanzania kufanya tafiti na kuchapisha maandiko katika majarida makubwa ya kimataifa, napendekeza yafuatayo: 1. Serikali itenge fedha kwa ajili ya ufadhili wa wanafunzi wa masters, PhD na PostDoc kila mwaka kama mataifa...
  5. Tafiti: Rais Samia amepwaya kudhibiti rushwa, nidhamu ya watumishi wa umma

    Inasaidia nini kupiga soga na kina Mbowe na kuonyesha umma kuwa mnademokrasia wakati mali za umma zinaibiwa na wananchi wanateseka. Hizi ni demokrasia uchwara Sasa hivi akina mama wakienda kujifungua imekuwa biashara. Huko nyuma haya mambo yalikoma. Polisi wanamaliza kesi wanavyotaka...
  6. P

    Msaada wa kupata wadudu wanaobungua choroko au kunde kwa ajili ya tafiti za kilimo

    Habari zenu wana jamvi. Mimi ni mtafiti katika chuo cha kilimo. Ninaomba msaada kwa suala lifuatalo; Kwa mkulima yeyote wa zao la choroko au kunde ambazo zimebunguliwa (kutobolewa) zikiwa pamoja na wadudu maarufu kama bungua (wawe wengi kidogo) kama wanavyo onekana kwenye picha chini. Wadudu...
  7. Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies

    Elia Wilinasi amechapisha andiko la tafiti linalohusu uzalishaji wa mafuta kwenye journal ya kimataifa inayoitwa Energies. Kichwa cha andiko: Numerical Simulation of the Oil Production Performance of Different Well Patterns with Water Injection Link: Numerical Simulation of the Oil Production...
  8. B

    Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  9. K

    Tafiti zinaonyesha wanawake wanaopata mimba kutoka kwa ndugu wa damu, wao na watoto wao wanatengwa

    Tafiti zinaonyesha Wanawake wanakosa uamuzi wa kuendelea kulea mimba isiyotarajiwa hasa zile zitokanazo na maharimu (kujamiiana na ndugu wa damu) kwani jambo hili halikubaliki na jamii nyingi za Kiafrika. Pia watoto waliopatikana kwa mazingira haya hutengwa na kubaguliwa (Rosemary B. &...
  10. Je, ni kwanini viongozi wengi na Taasisi nyingi hasa za Serikali hawapendelei sana kufanyia kazi Tafiti zinazofanyika hasahasa vyuo vikuu?

    Kwa taarifa tu ni kwamba, Wakufunzi ( Wahadhiri) wa Vyuo mbalimbali hasahasa vyuo vikuu, mojawapo ya majukumu yao ya msingi ni kufanya Tafiti mbalimbali. Ukiangalia kwenye google scholar kisha ukaanza kutafuta research zilizofanyika hapa nchini na wahadhiri wetu, utakutana na utitiri wa tafiti...
  11. B

    SUA wakijizatiti kwenye tafiti na uvumbuzi, kulikoni Law School?

    Imesikika repoti ya Dr. Mwakyembe akitaka kuiaminisha Dunia hii ya werevu ati kuwa sheria ni fani adhimu na special sana. Haijulikani ni kwenye lipi msomi huyu akilenga. Hawa hapa ni SUA wakikodolea ubingwa katika tafiti na uvumbuzi: Mkakati wa SUA kuwa kitovu cha utafiti, uvumbuzi Ma lawyer...
  12. Je, Kisukari kina tiba? Fahamu tafiti zilipofikia mpaka sasa

    Kama una miaka 30+ uko katika hatari ya kupata kisukari. ๐—๐—ฒ, ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—ธ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ? ๐— ๐—ฝ๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ถ๐—ท๐—ฎ๐—ณ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ๐—บ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐—ถ๐˜€๐˜‚๐—ธ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ Wengine wakiwa na imani kwamba kila ugonjwa una tiba yake, kwasasa dunia bado haijapata dawa ya kutibu ugonjwa huu mbaya na hatari. Kisukari inaongoza kwa...
  13. C

    Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
  14. Je, umewahi kupata kero gani COSTECH ukifuatilia kibali cha tafiti?

    Ndugu watafiti, recently yamewasilishwa mapendekezo mapya ya sheria ya COSTECH ambayo yanweza kuongeza ugumu wa kupata kibali cha kufanya tafiti. Mapendekezo yanawapa COSTECH uwezo wa kuja na kuvikamata vifaa vyako, kuwauliza staff kuhusu utafiti unaoendelea pia kuchukua documents zenu. Kabla...
  15. Tafiti: Wagonjwa wa moyo nchini waongezeka kutoka 60 hadi 500 kwa siku

    Wataalam wa moyo wamesema magonjwa ya moyo yanazidi kuongezeka Nchini huku imani potofu zikiendelea kusambaa kuhusu tiba ya magonjwa hayo. Mkurugenzi wa Tiba katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Dkt. Tatizo Waane amesema awali walikuwa wakipokea wagonjwa 50 hadi 60, lakini hivi...
  16. J

    Tafiti zinaonesha Takwimu zenye ubora huchangia GDP kwa zaidi 1.5% Usiache kuhesabiwa 23|08|2022

    [ ] " Tafiti zinaonesha upatikanaji na matumizi ya takwimu zenye ubora huchangia mpaka asilimia 1.5% ya pato la Taifa( GDP), Hii inaonesha umuhimu wa kazi mliyopewa kwani takwimu za sensa Agosti23, 2022 ndio zitatumika kuandaa Dira ya Pili ya Taifa ya 2025-2050 baada ya kumalizika Dira ya...
  17. Tanzania itapata maendeleo makubwa iwapo fedha nyingi zitawekezwa kwenye tafiti na miradi ya uzalishaji na sio kwenye siasa

    Wakuu! Tumechelewa Sana kupata maendeleo ya kweli nchini tangu tupate uhuru kwa kuwekeza fedha nyingi kwenye siasa kuliko miradi ya uzalishaji. Nchi yetu iliamua kuwa kupiga domo kwenye siasa NDIO kulipe Sana kuliko utafiti wa mbegu Mpya za kilimo na ufugaji pale SUA. Miradi ya uzalishaji...
  18. Tafiti: Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa 1980-2000

    Tafiti fupi ilofanyika Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa Mwaka 1960-1970 Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani Mwaka 1970-1980 Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa Mwaka 1980-2000 Kati ya wasichana...
  19. Hongera Masoud Kipanya ila tunaomba ufafanuzi kidogo kuhusu hii gari yako

    Nikupongeze kwa hatua hii ya kuzindua gari uliyoitengeneza wewe mwenyewe kama ulivyotuaminisha ila naomba basi utusaidie yafuatayo ili utuvutie zaidi kuweza kununua gari yako 1. Je, ukichaji gari ikajaa unaweza kutembea kwa umbali wa kilomita ngapi? 2. Je, vipuri vya gari vikiharibika...
  20. Nani anatumia tafiti zilizopo katika kutunga Sera na Sheria?

    Ninafanya utafiti ambao umenihitaji kufungua Hansards za bunge tangu 2003 hadi leo. Japo hii sio moja ya lengo la tafiti yangu lakini nimeona niandike hapa nilichokiona na nia ya kubadilisha ili kuwa na mambo yenye tija kwa nchi yetu Mawazo ya wabunge hayako supported na tafiti wanapotoa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ