Tafakuri, tafakuri, tafakuri.

Tafakuri, tafakuri, tafakuri.

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,326
Reaction score
16,813
Nikiwaza mustakabali wa taifa hili, afisa kipenyo, mh. Muwekezaji wa mabnda ya chips dar na mikoani, mlimaji wa ufuta na mpunga, mshauri mzuri na mwanadiplomasia nimetulia nikipata chakula cha mchana.

20260826_180833.jpg

Chakula nnachokula hapa kinapendwa sana kule mashariki ya kati,Asia na nchi za Arabia.
 
View attachment 3658819

Chakula nnachokula hapa kinapendwa sana kule mashariki ya kati,Asia na nchi za Arabia.
Hongera man usiogope kila jasho lako
 
Back
Top Bottom