BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 8,496
- 21,532
Enzi zetu mtu akiwa na VIDOLE BAPA anaitwa MAGUSU.
Kumbe hatukujua hao watu wana ukoma.
Baada ya kupitia misuko suko mingi nikajikuta vidole vyangu vinazidi kuwa bapa.
Sijui nimerogwa? Vidole vyangu vinanitaabisha sana kimawazo.
Naombeni ushauri.
Kumbe hatukujua hao watu wana ukoma.
Baada ya kupitia misuko suko mingi nikajikuta vidole vyangu vinazidi kuwa bapa.
Sijui nimerogwa? Vidole vyangu vinanitaabisha sana kimawazo.
Naombeni ushauri.