Dr leader
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 1,065
- 1,412
Tafakuri
❝Je, kama ningezaliwa katika dini nyingine kabisa, nikakulia humo na nikafa nikiwa bado kwenye dini hiyo — je, kwa mujibu wa dini nyingine nitahesabika nimepotea au kwenda motoni?
Na kama Mungu ndiye aliyeniumba, kwa nini tena aje kuniadhibu kwa kitu ambacho mazingira yangu ndiyo yamenilea kukiamini?
Je, haki ya Mungu ipo wapi kati ya kuzaliwa, mazingira, ukweli, na uchaguzi wa mwanadamu?❞
Je, binadamu ana uhuru kamili wa kuchagua anachoamini?
Au mazingira ya kuzaliwa ndiyo yanaamua mengi?
Mungu anamhukumu mtu kwa alichojua au kwa alichokikuta?
Mungu ni mwenye rehema na haki, je, atawezaje kumuadhibu mtu ambaye tangu utoto wake alifundishwa “huu ndio ukweli”?
Wewe mwenye Elimu unajibu vipi haya maswali
Abuuabdillah ✍️
0744 883 353