tabia

Tabia is a small town and rural commune in Taroudannt Province of the Souss-Massa-Drâa region of Morocco. At the time of the 2004 census, the commune had a total population of 2329 people living in 487 households.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu za watu kuwa walevi wa Pombe, namna ya kuachana na tabia hiyo na faida za kutokunywa Pombe?

    Utangulizi: Ulevi wa pombe limekuwa ni janga linaloitafuna sana jamii yetu kutokana na kusababisha matatizo mengine mengi zaidi ikiwemo umaskini, migogoro kwenye ndoa, ugomvi na hata mauwaji, watu kufukuzwa kazi , matatizo ya kiafya na mengineyo mengi. Pamoja na matatizo yote hayo lakini bado...
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa na hizi tabia 9, jiandae kufa maskini wa kutupwa

    "Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ya kila siku ya mwanadamu" (Nelson Mandela, R.I.P) _"Kila mtu anataka kufanikiwa, lakini si kila mtu yuko tayari kushika majukumu na wajibu wa kumpeleka kwenye mafanikio"(Mwl Nyerere, R.I.P)...
  3. JamiiForums Tanzania SoC01 Tabia inavyoweza kuwa Tiba au chanzo cha tatizo la kuvimba miguu (peripheral edema)

    Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema) Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili. Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.” Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Tabia invyoweza kuwa Tiba au chanzo cha tatizo la kuvimba miguu (peripheral edema)

    Kuvimba miguu au mikono (peripheral edema) Edema ni uvimbe unaoonekana kwa macho unaotokana na mkusanyiko wa vimiminika ndani ya tishu za mwili. Uvimbe huu hutokea mara nyingi kwenye nyayo, ankle, miguuni na mikononi ambao huitwa “peripheral edema.” Uvimbe huu ni zao la kujikusanya kwa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii tabia imezuka kwa couples wengi miaka hii

    DISCLAIMER: Usisome wala usicomment kwenye hii post kama unajiona ww ni mtakatifu sana Zamani Swala la kuzama chumvini lilikuwa ni jambo la ajabu na kutia kinyaa, sahivi limeonekana ni jambo la kawaida/ufundi tena asilimia kubwa ya watu wanashauri wenzao wafanye oral sex (Mwanaume azame...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Tabia ni Mafanikio

    KIKWAZO KIKUU CHA KUTOFANIKIWA NI HIKI. Kwenye jamii yoyote ile, asilimia 10 ndiyo wenye mafanikio huku asilimia 90 wakiwa hawajafanikiwa. Na zaidi, asilimia 1 wana mafanikio makubwa kuliko asilimia 99 iliyobaki. JE, NINI KINATENGENEZA HALI HIYO? Kuna njama zinazofanywa ili kuwazuia wengi...
  7. JamiiForums Tanzania Tabia za wanyama walizanazo watu zenye kuweza kuua Taasisi au Kampuni au Ofisi

    Tabia za wanyama walizanazo watu zenye kuweza kuua Taasisi au Kampuni au Ofisi. Bata: Kujivutavuta, hufanya kazi polepole na kuendekeza uvivu mpaka mambo ya kikundi yanazorota au kufa kabisa. Bundi: Mtu anayefikiria ana akili kuliko wote kwenye kikundi- hutumia lugha ngumu na haeleweki Chura...
  8. JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  9. JamiiForums Tanzania Hii hapa Tafsiri ya "Manka" kichagga na tabia zao

    Leo tujionee hili jina maarufu sana kwa watoto wa kike wa kichaga. Manka ni jina la asili la kichaga analomiliki mtoto wa pili wa kike kuzaliwa. Hata kama hatolitumia lakini huwa linajulikana tu baada ya kuzaliwa wa pili kwa watoto wa kike. Jina Manka uchagani(kote kwanzia Rombo hadi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi maji yalivyompotezea Utu na Masomo dada mwanachuo

    Wazazi ni watu pekee wanaopitia ugumu wa maisha ya watoto wao wawapo vyuoni wakitafuta elimu Matarajio ya Kila mzazi ni mafanikio Kwa mtoto wake juu ya kile kilichompeleka chuoni kama egemeo la utafutaji wake hapo Baadae Bahati mbaya iliyoje ni mtoto huyu ambaye anajulikana kama mwanachuo...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Tabia ya polisi kupiga watuhumiwa

    Kisheria mtu anahesabiwa kuwa ni mtu mwenye haki mpaka pale ambapo mahakama ita thibitisha kuwa huyu mtuhumiwa amefanya kweli hayo makosa anayoshutumiwa kufanya. Na kama mtu ambaye ametuhumiwa tu, ana haki zake sawa na raia wa kawaida tu, hivyo, hizo haki zinatakiwa ziheshimiwe mpaka pale...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya akili mtaji kwa vijana

    Afya ya akili ndio msingi wa maendeleo kwa kijana yeyote mwenye chachu yakuweza kufanikiwa au kufikia malengo fulani ambayo amejiwekea. Katika kipindi cha ujana vipo vingi ambavyo kama vijana tumekua tukivifanya wenda tukifahamu madhara ya tukifanyacho au pengine hatukuwa na ufahamu juu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima na wewe umechangia kuligharimu taifa hili. Acha tabia hii!

    Nimesikitishwa kwa kiasi kikubwa sana na huyu kiongozi ambaye pia ni mwakilishi wa wananchi wa jimbo la KAWE kwa kauli zake za kuligawa taifa. Ni kama vile mamlaka vinamchekea utafikiri yeye anatembea na pembe. Huyu mtu anatoka hadharani na kudiriki kusema eti Marehemu JPM alimpigia simu na...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

    Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili. Mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku-pretend kama naimba...
  15. JamiiForums Tanzania Morison amshauri Haji Manara kuacha tabia za kike

    BM3 wakili msomi amepiga kwenye mshono
  16. N

    JamiiForums Tanzania Watoto wa IGP Sirro nani anawafahamu? Tabia zao zikoje?

    Isiwe yeye kuwasema wenzake tu! Ni vema ambao wamebahatika kuishi na watoto wa Sirro watupe nyepesi nyepesi au nyeti nyeti kuhusu hao watoto. Kuna siku alionekana km vile anawanadi kwenye tukio la harusi - je mpaka anawanadi ni wameshindikana na hawaonwi na waoaji ama?
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwani fursa ni nini?

    FURSA Fursa ni mwanya, nafasi ama uwezekano wa kufanikisha jambo fulani (kwa minajili ya makala hii–tafsiri hii inatufaa). Nikupe mfano: Chukulia mmefungwa kwenye chumba, tuseme watu mia moja na dhima yenu hapo ni kutoka nje. Hata hivyo, kanuni inasema: “atakae toka basi anakuwa huru”. Chumba...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi Mlioko Morocco Kemeeni hii Tabia Kambini

    Viongozi tukemee huu ujinga unaoendelea Kambini Morocco. Ni aibu watu wazima kugombea mkorogo. Iwe ni kweli aliiba au kasingiziwa but sidhani kama ni jambo la busara. Kambini si sehemu ya kwenda kuonesha urembo. Nadhani kuna haja ya kuwaambia wachezaji wetu kutoka Kongo.sisi hatujali sana...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Tukiendeleza kutumia nguvu kuwanyamazisha watu wanaohoji juu ya mambo ya kitaifa, tunatengeneza Taifa la hovyo na nchi kutekwa na adui

    Kipindi cha ukoloni, mkoloni hakupenda kabisa kuona watu wenye akili wakihoji. Kama Afrika isingekuwa na watu wenye kuhoji mpaka leo tusingekuwa tumejipatia uhuru.sehemu nyengine hawakupata uhuru kwa mtutu wa bunduki bali kwa hoja tu. TAIFA lenye watu wa kuhoji mana yake liko hai na linaonyesha...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Barafu Biharamulo - Mabadiliko ya Tabia nchi ndio haya

    Global Warming?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…