Viongozi Mlioko Morocco Kemeeni hii Tabia Kambini

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,347
11,446
Viongozi tukemee huu ujinga unaoendelea Kambini Morocco.

Ni aibu watu wazima kugombea mkorogo. Iwe ni kweli aliiba au kasingiziwa but sidhani kama ni jambo la busara.

Kambini si sehemu ya kwenda kuonesha urembo. Nadhani kuna haja ya kuwaambia wachezaji wetu kutoka Kongo.sisi hatujali sana mwonekano. Tunataka Makombe tu.

Muda mwingi wanapoteza kutengeneza uso na nywele... Nadhani next time viongozi waangalie si vyema kujaza wachezaji wengi toka nchi moja.

Jingine kubwa waarabu wamefurahi sana na kupendezwa na wachezaji wengi wa Team yetu. Wanasema pesa zao hazijaenda bure. Jambo ambalo limechochea wachezaji wengi wa Team yetu wajipige soap soap na kutumia sana lotion.....

Kwa upande wa wachezaji wao wanafuraha wanasema kila kitu wanafanyiwa Bure. Wanaambiwa washalipiwa... Na jion waarabu wanakuja kuwatia moyo.
 
Yanga tukemee huu ujinga unaoendelea Kambini Morocco.

Ni aibu watu wazima kugombea mkorogo.

Jingine kubwa waarabu wamefurahi sana na kupendezwa na wachezaji wengi wa Yanga. Wanasema pesa zao hazijaenda bure. Jambo ambalo limechochea wachezaji wengi wa Yanga wajipige soap soap na kutumia sana lotion.....
Una maana wamewageuza viburudisho vyao?
 
Hili sio jambo la kushangaza hasa kwa shabiki mbumbumbu kama huyu, ni jambo la kawaida sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom