taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baadhi ya Taasisi za Serikali hazilipi tena pesa ya likizo kwa watumishi wake

    Heshima yenu wakuu , Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena . Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo watanzania Elimu yao haijaleta Impact yoyote katika nchi wala katika taasisi walizoziongoza

    Prof -Lipumba huyu nilianza kumfatilia mwaka 2005 huyo hana alichoisaidia nchi wala taasisi yake ya CUF. Prof -Muhongo , huyu anaingia katika kundi hili ukiachana na Scandal Kama Escrow n.k sijaona Kama kuna kitu kafanya jimbo lake ni moja ya majimbo masikini Sana Tanzania . Prof Tibaijuka ...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kwamba kazi za IT / Computer serikalini wana muda mwingi sana wa kupumzika bila kazi ?

    Mfano niliwahi kusikia system administrator wa Chuo kazi yake kwa kiasi kikubwa ni kuangalia tu system haina matatizo (Monitoring), Anapata muda mwingi wa kupumzika, anawahi kuondoka na mshahara mzuri. Yani wakishaseti Server, Database na Network kinachobaki huwa ni kutazama kila kitu kinaenda...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Hivi Mikopo inayotolewa na taasisi za fedha rate margin wanaitolea wapi?

    1. Je, wanajiwekea tu? 2. Au wanapewa na BoT 3. Ikiwa BoT ndio wanatoa hizi rates, serikali haioni umuhimu wa kupunguza hizo riba. Karibuni Kwa mjadala GTs
  5. Think2

    JamiiForums Tanzania Serikali ikiamua kufatilia swali la vyeti naona kuna taasisi zitakosa wafanyakazi

    Swala la vyeti tanzania bado ni tatizo wengi wanavyeti ya kuungaunga tu janjajanja tu mjini Katika hili swla la waandishi wetu wa habari tena maarufu kukosa sifa ni taswira tosha ya elimu yetu hii kunawatu wanakosa sifa ila ni janjajanja tu mjini, mtu akijua kuongea kwenye mic tayari anakuwa...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar

    Miss World 2025 Atembelea Mradi wa Kilimo cha Mwani Unaosimamiwa na Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF), Paje-Zanzibar Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) nchini ya Mwenyekiti wake, Mhe. Wanu Hafidh Ameir (Mb) ilipata heshima ya kipekee ya kuwa mwenyeji wa Mshindi wa...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa iliyoundwa na Ben Mkapa rasmi imeshajifia. Rushwa sasa haimshitui mtoaji wala mpokeaji

    Hiki ndicho kilichopo kwa sasa TAKUKURU haina meno yake, zamani maofisa wa serikali na sekta binafsi walikuwa wakisikia TAKUKURU inawafuatilia walikuwa wanaingia ubaridi lakini kwa sasa mambo ni tofauti. Kinara wa rushwa ni Taasisi za umma ili kuziba madhaifu yao. Yaani TAKUKURU imekufa na...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimemaliza Diploma kwenye Taasisi ya watu wazima(IAE) mwaka jana, lakini hadi leo AVN hajitoka na hakuna maelezo

    Habari, Mimi ni Muhitimu WA chuo Taasisi ya watu wazima IAE kampasi ya mwanza nimemaliza Mwaka Jana 2024 lakini toka tumalize Hadi Leo hatujapa AVN na tukihoji wanatoa majibu ambayo hayaeleweka. Mara Subirini tunashughulikia hakuna majibu yoyote na Watu tunahitaji kwenda kuendelea na elimu ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

    Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
  10. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Taifa ambalo watu kama Tundu Lissu na Prof. Assad wanafanyiwa fitna ili wasiongoze Taasisi na Watu haliwezi pata Maendeleo ya kweli kamwe.

    Kama wewe ni binadamu na unafikiri vizuri. Fikiria namna Prof. Assad alivyo na madini ya maana kichwani kwake, alafu fikiria kuwa mtu wa namna ile alifanyiwa fitna na kuondolewa kwenye Cheo cha Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ili asiiambie ukweli Serikali mabaya yake kuhusu matumizi yasiyo...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa Makanisa na misikiti inatosha , ikiwa kuna taasisi inahitaji kutoa Msaada wa kujenga Kanisa na Msikiti hiyo pesa wajenge visima vya maji

    Kwa Tanzania tuna misikiti Mingi na makanisa mengi Sana . Na ukiangalia idadi ya watu wanaosali bado ni Chache Sana . Ikiwa tutaangalia mahitaji hasa ya jamii tunaweza kubadilisha matumizi ya hizo pesa. Mfano wafadhili ambao hujitolea kujenga misikiti na makanisa , jaribuni kufikiri hilo...
  12. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Ocen Road yaeleza mchanganuo wa huduma ya Saratani wanavyotoa

    •Taasisi ya Saratani Ocean ni hospital ya taifa kwa utoaji huduma za saratani hapa Tanzania. •Huduma zinazotelewa zinajumuisha elimu ya afya, saratani,chanjo za saratani,uchunguzi wa awali ,vipimo,tiba, mafunzo na tafiti za saratani. •Taasisi inahudumia wagonjwa kutoka ndani ya nchi wa nje ya...
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kiislamu tokeni hadharani mkemee kauli tata za mashehe

    Hapa naziita taasisi zote za kiislamu kuanzia Bakwata, Sunni jamaat,shia n.k Uislamu ni dini iliyojipambanua kama dininya haki na misimamo ya haki, kujali utu na heshima Kwa watu wote Kumekuwepo mashehe wanaotoa matamko tata kuhusu masuala ya utawala Bora hapa nchi Mfano Leo shehe Mawinda...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Taasisi za Umma na Binafsi zenye 'njaa kali'

    1. St Judy schools 2. vision fund 3. Halmashauri za wilaya 4. Akiba commercial bank 5. Tanzania commercial bank 6. Dcb bank 7. Dtb bank 8. IPP media 9. Toyota Tanzania 10 . Car & General Trading Ltd 11. Rotana Hotel 12.J eshi la Magereza 13 . Jeshi la zimamoto 14. Kampuni za ulinzi 15. Mahakama...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sakata la Sheikh Nkokoo kujiteka: Taasisi ya The Islamic Foundation nayo yathibitisha alikuwa anakwepa madeni, yalipongeza jeshi la polisi

    Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka. Haya sasa, taasisi ya dini yenye heshima kabisa, imeungana na Jeshi la Polisi kwamba sheikh alijiteka.
  16. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Msaada wa taarifa. Nataka kuhamia moja ya taasisi za wizara ya uchukuzi

    Wakuu mimi ni mhandisi, kwa sasa nipo kwenye moja ya taasisi wizara ya nishati. Nataka kuhamia kwenye moja ya taasisi zifuatazo chini ya wizara ya uchukuzi. Je ipi ni taasisi nzuri kuhamia yenye projects za kutosha, maendeleo kielimu kwa staff (trainings) na maslahi mazuri kwa wafanyakazi wake...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi zijifunze kwa Simba kulinda kuvuja kwa Taarifa Nyeti

    Hadi sasa hakuna anayejua kama Simba italeta timu uwanjani kesho tarehe 25 June pale kwa Mkapa. Jamaa wapo vema sana kwenye kulinda taarifa. Hata MOSAD wasingepata taarifa kama Simba itacheza au haichezi
  18. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya hali ya utoaji wa Huduma katika Taasisi ya MOI kwa kipindi cha Februari 2025 hadi Mei 2025

  19. S

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya sayansi na ya kijeshi yalipuliwa Tel aviv

    Taasisi ya sayansi inayoshirikiana na Jeshi ambalo pia ina mafungamano na shirika la ujasusi la Mossad Weizzman institute of science ambayo imejikita kwenye utafiti ,utengenezaji wa silaha, Artificial intelligence nk imeshambuliwa na kuteketea
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyakazi wa Benjamin Mkapa Foundation kupitia mradi wa USAID afya endelevu toka tumesimamishwa kazi hatujapata mafao yetu kutoka NSSF

    Mimi ni miongoni mwa Wafanyakazi 1,299 waliokuwa Watumishi katika Mradi wa AFYA ENDELEVU chini ya BENJAMIN MKAPA FOUNDATION uliokuwa unafadhiliwa na USAID. Baada ya USAID kufuta Mradi wa AFYA ENDELEVU kuanzia tarehe 24/3/2025, Taasisi yetu (Mkapa Foundation) ilitutumia notice ya kutupa taarifa...
Back
Top Bottom