taasisi

Taasisi ya Taaluma za Kiswahili (Institute of Kiswahili Studies), known by its acronym TATAKI, is a research body dedicated to the research of the Kiswahili language and literature at the University of Dar es Salaam in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Inashangaza baadhi ya watumishi kuonesha chuki Kwa wageni katika taasisi

    Inakuwaje watu kuchukizwa Kwa kuona mtumishi mpya ameajiriwa department yao? Mtu umeripoti kazini, baada ya kuanza kazi na kuonesha utendaji mzuri mwanzoni, baadhi ya watumishi wenzako wanaonesha chuki au kuchukizwa kimya kimya na ujio wako. Sasa najiuliza, ni hofu ya competition au wanahisi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais azindua mpango wa ushirikiano kati ya taasisi za elimu na viwanda

    TAARIFA KWA VYOMBO HABARI MAKAMU WA RAIS AZINDUA MPANGO WA USHIRIKIANO KATI YA TAASISI ZA ELIMU NA VIWANDA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ametoa wito kwa sekta binafsi kushirikiana na Vyuo, kuwekeza katika tafiti hususan za sayansi na...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Bukombe tunasumbuliwa na simu za Taasisi za Mikopo wakati hatujawapa namba wala kuomba mikopo

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye taasisi yao na wakati huo sijawahi kwenda kwenye ofisi zao hata mara moja. Tunajua pengine biashara...
  5. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Michango ya members wa JF kuhusu ndoa huifanya ndoa ionekane ni taasisi ngumu sana

    My people, Wachangiaji wa JF Wanaifanya Ndoa Ionekane Ngumu Kuliko Uhalisia Wake Katika miaka ya karibuni, mitandao ya kijamii imekuwa kama kioo cha maisha ya watu, lakini mara nyingi kioo hicho hakioneshi picha halisi bali taswira iliyopambwa au iliyotiwa chumvi. Moja ya maeneo yaliyoathiriwa...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  7. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

    Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC. Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant. Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na...
  8. blogger

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Rais Samia kutotaka watu/viongozi wawe na maoni kinzani kinaenda athiri taasisi na idara zote za kiserikali

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze Kwa masikitiko makubwa Kwa Taifa kufika hapa lilipo fika. Hivi kama ni kweli Yale maoni ya G. Simbachawene ndio yamesababishwa atolewa nyadhifa yake , je! Ni nani Sasa ataweza kuja tena mbele ya vyombo vya habari na kuwa na mtazamo hasi. Yani ni kwamba...
  9. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania Kwanini Taasisi za Serikali ambazo ni Autonomous hazitoi nafasi za kazi..?

    Baada ya kufuatilia vizuri nimegundua kuwa taasisi za Serikali ambazo zinaweza kujiendesha zenyewe bila kutegemea bajeti za Serikali (Autonomous Institutions) Huwa hazitoagi ajira ama mpya au kuhamia. Hivi hizi Taasisi huwa zina-replace vipi watumishi wanaostaafu au changamoto zingine...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Mwalimu Nyerere inayoongozwa na Mzee Butiku inapoteza hadhi yake!

    Hii Taasisi inakwenda kupoteza hadhi yake. Inaongozwa na chawa kachara. Matamshi yake ya juzi yanaivua nguo taasisi acha yeye mwenyewe anakuwa "takataka"! Kupoteza heshima yake kubwa aliyoijenga for decades! Haongelei matatizo makubwa ya utawala wa Samia, mauaji ya watu on 29, na mengine...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni shamba la bibi ndio maana taasisi na mabenki ya kila aina yamejazana kwa sababu ya riba soma hapa

    Nilikuwa naambiwa na jamaa mmoja ni raia wa nje kuwa riba ya mikopo kwa ina asilimia ndogo ukilinganisha hapa. --- 🏦 1) Riba ya Mabenki Kuu (Central Bank / Policy Rates) – Sera za Riba Hizi ni viwango ambavyo benki kuu za nchi zinatumia kudhibiti uchumi. 🇪🇺 Uropa (Eurozone) European...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Wameua Uhuru wa Vyombo vya Habari, wameua Vyama vya Siasa, wanataka kuua Madhehebu ya Dini na taasisi za Elimu.Tukatae

    Serikali haitaki ikosolewe wanachotaka ni kusifiwa hata pasipostahili. Wanataka ku paralyze taasisi zote za kiraia kama walivyofanya kwenye taasisi za umma. Hakuna chombo cha habari kilicho huru main stream zote zina censorship hadi kwenye mitandao ya kijamii, Tik Talk, IG, Facebook...
  13. A

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kauli za Viongozi, Taasisi za Serikali zinazozuia watu kutumia Uhuru wao wa demokrasia nao wapelekwe ICC

    Kumekuwa na kauli za Viongozi wa Kiserekali na Taasisi zake ambazo zimekuwa ni za upande moja au upendeleo Kwa minajili ya kutishia au kuzuia raia kutumia Uhuru wao wa kidemokrasia. Mojawapo wa hizo kauli za Viongozi wa kipolisi kutishia Vyama Vya upinzani na raia, Kwa kinachoitwa uvunjifu...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitendawili cha BAKWATA na Serikali BAKWATA na Waislam 1968 - 2024

    Baada ya uhuru mwaka wa 1961 palizuka hofu kubwa sana ya kuogopa Uislam na Waislam Tanganyika. Mwaka wa 1963 ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya TANU Ukumbi wa Karimjee palizuka ugomvi kati ya Bibi Titi Mohamed na Julius Nyerere kuhusu EAMWS. Haukupita muda mrefu Baraza la Wazee wa TANU...
  15. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mfumo ulioogopa vijana ilibidi uzuie JKT kama taasisi?

    (Hii ndiyo sehemu wanayoogopa watu kuitaja hadharani - leo tunaifungua kama pochi ya mama lakini siyo Mama Omary Atakuua ...Aaaah kwanza hana pochi anafunga kwenye kitenge anamambo ya kizamani) Vijana Ni “Tishio” Kwa Mfumo Wowote Unaoishi Kwa Mabavu ya Kiuchumi China, Urusi, Marekani, canada -...
  16. Richard

    JamiiForums Tanzania Suali fikirishi. Je Ngao ya Uhuru na Umoja yalindwa kisheria na yaweza kubadilishwa kwa utashi wa raisi au taasisi ya uraisi kiholela?

    Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwenye mimbari inoonyesha ngao ya Uhuru na Umoja lakini ikiwa imeondolewa imebadilishwa na kuondoa historia yake. Hii ngao ina historia kubwa sana kwa taifa letu kuanzia wakati wa ukoloni hadi mwaka 1971 ilipokubalika iwe ni ngao inoonyesha mamlaka ilosimama...
  17. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania 4. JKT Kama Taasisi ya Taifa, Sio Kambi ya Kuosha Vijana Wakae Kimya

    Duniani kote, taasisi ni mahali pa kujenga watu, kuunda fikra, kutengeneza ndoto, na kuibua vizazi vinavyokuja kubeba uchumi. Lakini kambi ni mahali pa kuamrishwa, kukaa kimya, kutii bila kuuliza, kutumika bila kuulizwa. "JKT ilizaliwa kama Taasisi. Mfumo uliigeuza Kambi." Hili ndilo kosa la...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waislam Tanzania; Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi mwenye hekima kubwa, na alisimamia migogoro kwa ustadi wa hali ya juu

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi mwenye hekima kubwa, na alisimamia migogoro kwa ustadi wa hali ya juu. Hakupendelea vurugu, bali alitegemea mazungumzo, usuluhishi, uadilifu, subira na maono ya mbali. Hapa chini ni baadhi ya njia muhimu alizotumia wakati nchi au jamii ipo katika migogoro...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Upungufu wa maadili ni ishara kuwa taasisi ya dini imeanguka

    Ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utashuhidia lugha chafu zisizo na staha pamoja na matusi mazito ya nguoni. Hii ni ishara ya kuwa ushawishi wa taasisi zetu za dini kwa jamii umeshuka sana na upo ICU. Ina maana watoto hawana mafunzo ya chuo(madrasa) au mafundisho na hivyo hawaoni kutenda...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Tuorodheshe taasisi na watu wanaoungana kutumika kuhujumu nchi

    Hapa tunaweka kumbukumbu zote sawa . Tuwataje watu binafsi na taasisi zinazotumika kuihujumu Tanzania ili vizazi vijavyo viwakumbuke na kuwashughulikia
Back
Top Bottom