Dondoo chache muhimu unazopaswa kuzielewa;
Utafutaji Mtandaoni: Software za AI zinatumia bots maalumu zinazopitia tovuti mbalimbali duniani ili kukusanya taarifa zinazohitajika. Bots hizi huchambua maandishi, picha, video na sauti zilizopo kwenye tovuti hizi.
Mitandao ya Kijamii: AI hukusanya...
Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi.
Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A.
1. Taarifa Za Directors
Hapa utatakiwa uwe na taarifa zote za directors wa Kampuni husika, NIDA namba, tarehe za...
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONDOLEWA KWA HITAJIO LA VISA KWA WATANZANIA WANAOINGIA NCHINI JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO (DRC) KUANZIA TAREHE 20 MACHI, 2025
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Hakikisha Taarifa unazozisambaza kwa watu wengine unazithibitisha kwanza uhalisia wake ili kuepuka Taarifa Potofu kwani zinaweza kusababisha taharuki katika jamii.
Tumia Jukwaa la JamiiCheck.com kuwasilisha Taarifa unayohitaji kupata uhalisia wake huku ukijifunza namna sahihi ya uthibitishaji...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa linapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa katika Mitaandao na picha mjongeo ikimwonesha mwananchi mmoja aitwae Mercy Daniel Mkazi wa Arusha ambaye ameeleza kupotea kwa mmewake aitwae David Gipson Mkazi wa Arusha huku likiweka Wazi kuwa Mtu...
Kumekucha! kumekucha! Vijana wa miaka ya 2000 huu ndio wakati wetu wa kutumia haki yetu ya Kikatiba ya Kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu October 2025, sasa twendeni tukajiandikishe kwa wingi.
Wazeee twendeni tukahuishe taarifa zetu ili tujihakikishie kupiga kura mwezi oktoba 2025.
TAARIFA: Kumekuwa na tabia ya matapeli kughushi barua kuhadaa watu, kuomba michango kwa wadau mbalimbali.
Chama Cha Mapinduzi kinakanusha kuwa hizo siyo nyaraka za CCM na kwamba chama hakina utaratibu huo.
Niombe umma kuwa makini Na matapeli wanaotaka kutumia mwaka huu wa UCHAGUZI kutapeli...
Wanaukumbi.
Taarifa ya Jeshi la Yemen kuhusu kulengwa kwa shehena ya ndege ya USS Harry Truman kujibu uchokozi wa Marekani - Machi 16, 2025.
Adui wa Marekani alianzisha uchokozi wa wazi dhidi ya nchi yetu katika saa zilizopita na zaidi ya mashambulizi 47 ya anga, yakilenga maeneo kadhaa katika...
UTANGULIZI:
Moshi FM Radio inatakiwa kujitafakari kuhusu utendaji wake katika jamii, hasa katika mji wa Moshi, ambao ni mji mdogo na una wasomi wengi ,ambao ni wafanya biashara wakubwa na WA kati.
Katika mahojiano yenu na Mkurugenzi wa Moshi Manispaa kuhusu soko la Mbuyuni, kuna maswali...
Wapotoshaji wanaweza kutengeneza taarifa zisizo za kweli kwa njia ya takwimu katika sekta tofautitofauti, hivyo ni vema kuthibitisha taarifa za kitakwimu unazokutana nazo ili kudhibiti upotoshaji.
Unapohitaji msaada wa uhakiki wasilisha taarifa yako katika jukwaa la JamiiCheck.com ili ipatiwe...
Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na;
1. Gervas Lyenda
2. Liberatus Mwang’ombe
Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
Homa ya Mpox (Monkeypox) ni ugonjwa wa virusi unaosababishwa na virusi vya Monkeypox. Ugonjwa huu unafanana na smallpox, lakini kwa kawaida ni wa wastani na hujumuisha dalili kama vile homa, maumivu ya kichwa, uchovu, na vidonda kwenye ngozi.
Virusi vya monkeypox vinaenezwa kupitia kwa kugusa...
Kama ilivyo kawaida yangu,
Niliuliza kwanini kwenye uandikishaji wa wapiga kura watu wanarahisishiwa kwa kufuatwa kwenye vitongoji vyao na mambo yanaenda vizuri tu lakini kwenye swala la namba ya NIDA hawataki kuwasogezea wananchi huduma kwenye vitongoji vyao
Nikajibiwa NIDA ni swala nyeti...
Wakuu,
TAARIFA KWA UMMA
Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa, imefanya kikao chake maalum jana tarehe 10 Machi, 2025 jijini Dodoma chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika kikao hicho, Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa imepokea...
KUKAMATWA TENA KWA MASHEIKH 12 BAADA YA KUACHIWA HURU
Machi, 10 2025, Dar es Salaam
Mnamo tarehe 4 Machi 2025, LHRC ilipata taarifa kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachilia huru masheikh 12 waliokuwa wanashikiliwa kwa tuhuma za ugaidi. Masheikh hao waliachiwa huru baada ya Jamhuri...
Alfajiri ya Ijumaa chap , kiongozi mkubwa wa SSC anapokea simu kutoka kwa moja ya chawa wake ndani ya Yangakwenye kamati ya ufundi kuwa kuna aina ya Vitimbi na takataka zimefukiwa pande zote mbili pamoja na sehemu za kupitia.wachezaji , akaainisha maeeneo yote, haya yaliambatana na ushahidi...
Kanuni IPO wazi kabisa, wanaohusika watawajibishwa, HII YA KUSUSIA MCHEZO hapana sijaiona kwenye hizo kanuni
Tuseme labda ni UOGA??, inawezekana na pia ni njia ya viongozi kujikingia kifua, isionekane kuwa wamefeli kwa mara nyingine, wanataka kuvuta vuta kamda ( hii game Simba ilitakiwa ashinde...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Sc, Ali Kamwe amesema hajapokea taarifa yoyote ya yeye kufungiwa kujihusisha na masuala ya soka, kwani bado hajapokea barua kuhusu suala hilo.
Akizungumza kwenye mahojiano na Kituo cha Redio cha Wasafi FM Machi 07, 2025 Kamwe amesema hajui taarifa hizo...
Wakuu,
Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi.
Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.