Mheshimiwa Spika wa JF. kwanza napenda kumpongeza mungu kunichagua mimi kuwa mbunge na kumshukuru mama kunipitisha kwa ushindi wa kishingo.
Kwa kweli mama mitano tena. Tumeona maendeleo ambayo amefanya toka uhuru hayajawahi fanyika.
Swali kuu. Je baada ya kampeni kali za kumtembeza Mch...
Pascally Mayalla ALIPEWA free pas ya IKULU siku Magufuli anaongea na vyombo vya habari kutoka Kwa rafiki yake Gereshoni enzi hizo, kilichojili baada kuingia IKULU hakikuwa TU balaa kwake Bali ndo ulikuwa mwisho wake wa KUPIGA fedha za serikali kupitia vyombo vyake na kile kipindi chake cha...
A part from Qur'an which is another anomaly book?
Hili ni swali zito na la uaminifu wa kielimu, si la propaganda. Nitakujibu kwa uwazi, bila kuipamba Qur’an wala kudharau vitabu vingine.
Kwanza: “anomaly book” tunamaanisha nini?
Tukisema anomaly katika muktadha wetu tuliojadili, tunamaanisha...
Je, kuna CCTV camera ambazo ukizifunga zinaweza kukupigia alarm wakati ambao wewe ungetaka ifanye hivyo? Mfano usiku, ninalala saa 5, kwa hiyo kuna option ya kuset kwamba kuanzia hiyo saa 5 usiku ninapolala hadi saa 11 alfajiri, akitokea mtu au kiumbe kikapita nje ya nyumba yangu au kusogea...
Ulikutana na mkeo akiwa tayari ana mtoto anaitwa John. Baada ya kuishi pamoja mkazaa mtoto mkamwita George.
Je, utamwita mkeo mama John au mama George?
Maenye pichanya bungeni ikionesha alipokaa aniwekee hapa.
Najaribu ku imagine alivyokaa huko kajampa nani na kigonga meza!
Same like yule atakavyo kuwa amevaa uniform ya jela ya ICC
SWALI KWA KIKWETE: KAMA AMANI YA KUDUMU SIO TUNDA LA HAKI WATANZANIA TUNATOKAJE OKTOBA 2025 NA KUFIKA KWENYE UFALME WA HAKI NA AMANI TUNAKOPASWA KWENDA?
Mpendwa Jakaya Kikwete,
Rais wa Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Tangu 21 Desemba 2005 hadi 5 Novemba 2015.
Nakuandikia tena...
China na Russia wana maslahi makubwa Venezuela. Wana biashara ya mafuta. Leo USA amekamata meli za Russia.
Suppose China na Russia wanaamua kuingia kwenye vita na USA, nani atatoka mshindi!
Denmark anaimudu maana anataka kuinyakua Greenland for security reasons!
Wanajamvi heri ya mwaka mpya 2026.
Baada ya kunywa Balimi zangu kadhaa, nimejiuliza, hivi URAISI una nini hasa kuwafanya watu (Maraisi) wawahi kuzeeka kwa kasi ya kutisha?
Je, ni majukumu mazito ya kuelemea mtu kiasi gani kumfanya mtu (Raisi) azeeke kwa haraka? . Uraisi una siri gani mpaka mtu...
Naamini amejibiwa vizuri sana kwa vitendo na katika wakati sahihi. Ashukuru tu hajagusa maslahi ya Super power kwani na yeye wangemnyoosha.
Hata hivyo, bado hayuko salama kwa uovu alioufanya .
Nasoma Comment!
Ungepewa nafasi ya kukutana na mtu mmoja tu kutoka kwenye BIBLIA na umuulize swali, ungependa ukutane na nani na umuulize swali gani? haya twende kazi
Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa.
Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni kama tomato sauce tu kwenye chips. Yaani haya huwa yanavutia macho na hivyo kuongeza hamasa na hamu...
Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
Wanajukwaa nina maswali machache hapa naomba msaada tafadhali:
1. Yapi mabaya tuliyotendewa na wakoloni na hatutendewi na CCM?
2. Yapi mema ambayo CCM wanafanya, mkoloni hakuyafanya?
3. Mkoloni alitunga sheria kandamizi na akazifuata, kwanini CCM hata sheria zao kandamizi wanazivunja ili tu...
Na. M. M. Mwanakijiji
Mstari Umechorwa
Mstari umechorwa ardhini; wauvuke au wasiuvuke, tuvuke tu tusiuvuke. Matukio yote ya kisiasa ya mwaka huu ambayo hitimisho lake lilikuwa ni Oktoba 29 yameacha ladha yenye ukakasi kwenye ndimi za Watanzania. Kuanzia kutiwa nguvuni kwa Tundu Lissu mwanzoni...
Oy hope mko fiti.
Ebhana kuna vitu hua tunajua vipo namna fulani lakini sababu hasa hua hatujui, binafsi sijawahi kupata ufafanuzi kwanini askari wetu hawaruhusiwi kuwa na ndevu.
Hebu Leo tupate ufafanuzi itakua poa sana kama moja wa wadau ambae ni askaari wetu akatupa ufafanuzi kwa lengo la...
Salaam!
Ikiwa kuna gen Z walioshiriki maandamano na kushtakiwa kwa kesi dhaifu ,batili ya uhaini wako uraiani,
Nini kinamshikilia Tundu lissu gerezani Hadi sasa ambaye hata hakuwa uraiani maandamano yalipotokea?
Hakuna kesi, hakuna ushahidi, hakuna shahidi lakini bado anashikiliwa.
Ninyi GEN...
Nimesoma na kusikia maelezo mbalimbali ya watawala walioshinda kwa kushindwa ya kuhusuiana na Octoba 29. Hata jana Samia alipowasifia JWTZ nilitarajia angesema kitu kuhusu uwezo mdogo wa vyombo vyetu vya usalama kujilinda na malalamiko ya vijana wadogo hadi kuomba watu kutoka nje kuja kuwapiga...
Kuna watu wanaabudia wenzao wasijue watakufa siku moja.
Tuliyaona wakati wa Magufuli.
Sasa tunao machawa.
Mungu wao ni mama yao anayewafuga.
Je, waliwahi kujiuliza? Akifa itakuwaje?
Je, hakuna namna nyingine ya kupata riziki ila kugeuzwa au kujigeuza. chawa mdudu mchafu na hovyo mnyonyaji...