swali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Swali

    Jaman mm n kijana miaka 23 nipo dar nahitimu chuo soon,, ila kama mnavojua ajira zetu sisi son of peasants ni uwinga..naombeni mwongozo ndugu zangu nahitaj niwe winga kariakoo niwe nakaa na mtu dukani yaan nipate riziki vilevile nijifunze biashara kwa vitendo,,, ile ya kwenda dukani na kuomba...
  2. JamiiForums Tanzania Majibu ya Sayansi kwa swali maarufu la Atheists. Kwanini hakuna uwezekano kwamba ulimwengu ulikwepogi tu milele. Vita kali dhidi ya Atheists Ep4

    ‎Atheists wengi wanaposikia hoja ya Mungu kama Muumba wa ulimwengu wanajibu haraka kwamba "Ulimwengu ulikuwepo milele hauhitaji muumba." ‎ ‎Jibu hilo linaonekana rahisi. Linaonekana la akili. Linaonekana kama njia nzuri ya kukimbia swali zito. ‎Lakini ni sayansi sio mimi P h a r a o h sayansi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
  4. M

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wanaharakati. Masharti anayopewa Iran kama Tanzanian watayakubali?

    Asiwe na silaha Asiwe na nyuklia Asiwe na rafiki Huku wao vyote wakiwa navyo na wanataka waviongeze zaidi.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Chatgpt openai wameni-ban kwa kuwauliza swali la kawaida

    nikiukiza ChatGpt: nielekeze namna sahihi ya kufoka na kugomba, nieleze kwakutumia maandishi pia unipe picha inayoonyesha namna sahihi ya kugomba na kufoka, pia unioe picha inayoonyesha namna isiyo sahihi ya kugomba na kufoka image ilikuja ndani ya sekunde chache kisha Chatgpt ikawa inaonyesha...
  6. JamiiForums Tanzania JF wanaanga, Nina swali kidogo

    I'm not much of technologist lakini I'm confused. I can’t claim that the Apollo 17 mission in 1972 was fake, since I have no proof and that would just be an emotional argument. However, I’m curious: if humans were able to land on the Moon with the technology available in the 1970s, why is...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Swali kwa ndugu zenu Waislamu Sawa Yesu hakufa msalabani , Je yule aliyekuwa msalaba badala yake hatima ya mwili wake ilikuwaje? Aliz Alifufuka?

    Wenye elimu kubwa na Wanazuoni naomba majibu
  8. P

    JamiiForums Tanzania Nikisoma kozi fupi ya OSHA itanisaidia kupata kibarua?

    Habarini ndugu zangu mm ni kijana wa miaka 23 nimemaliza chuo hv karibuni ila sina mchongo wowote mtaani sasa nina idea za kusoma short course za OSHA, huenda nikapata hata kijikazi cha kujishikiza hapa mjini. Sasa nauliza, jaman kwa wenye uzoefu hv hizi kozi za OSHA ni kwa walio makazini tu...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kozi gani fupi inaweza kunifanya ni jiajiri haraka?

    Jaman nauliza kwamba ukiachana na driving hivi ni short course gani inaweza kunilipa na kunifanya niweze kuishi jijini Dar es Salaam vizuri na pia nikaweza hata kuweka akiba ya 300k ndani ya mwezi? NB. Driving sasa hivi ishakuwa miyeyusho vigezo buku kama unaomba tenda ya billions of dollars...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO TTCL Corporation, Kum-block mteja Facebook kwa kuuliza swali si sawa

    Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi. Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi wananchi, ni watumishi wetu wananchi. Tatu mnatumia social networks zenu kutoa taarifa kwa umma kuhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  13. JamiiForums Tanzania Swali. Unaweza ukastaafu ukaishi kwa kujificha kwa aibu

    Nahisi usipoheshimu siku zote za uhai wako, unaweza kuja kuishi kwa kujifichaficha. Hata ukihudhuria jambo ukajificha kamera zisikuone. Nauliza je ikiwa hali imeshakuwa hivyo nitafanyaje
  14. P

    JamiiForums Tanzania Swali

    Wajombq hv cozi ya cargo scanner inatolewa chuo gani na vigezo n vp pamoja na ada?
  15. O

    JamiiForums Tanzania Ni kampuni zipi naweza KUWA reseller na Zenye unafuu vile vile Nina swali Kwa kampuni ya ICT, uendeshajibwake ukoje

    Ndio wadau kampuni ya ICT works inaendeshwa vipi na upatikanaji WA tende ni vitu gani muhimu hasa KWENYE kuoperatr. Kwa Sasa tunafanya heavy printing but tunataka kujua upande huo pia
  16. JamiiForums Tanzania Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?

    Swali kwa Wataalam wa Mabasi. Hii ni Happy nation au New Force?
  17. P

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua vigezo gani vinahitajika ili kupata mikopo ya halmashauri

    Naomba kujua vigezo gani vinahitajika ili kupata mikopo ya halmashauri
  18. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu: Mbona kama wanajitahidi mno Kujipodoa?

    Na. M. M. Mwanakijiji Wanataka waendelee kututendea kama hawatupendi, lakini wanataka tuwatendee kama tunawapenda. Wamekuwa ni kama yule mwanamke mgomvi ila mrembo. Ukimuona kwa mbali na kwa karibu unaweza kujikuta unasema kama alivyosema Ice Cube na Chris Tucker kwenye ile filamu ya kuchekesha...
  19. JamiiForums Tanzania Nakuuliza swali mama Samia kulikuwa na ulazima gani wa kutaka kulazimisha kuwatawala watu wasiokutaka na kukupenda?

    Aman iwe watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuna mwanamke mmoja hapa mjini posta huwa nampenda sana, kwa kifupi siyo level yangu kwa kweli ni mzuri sana na ni wa kishua kwa kifupi ana maisha Lakin ndugu zangu Kuna siku niliamua nimtongoze huyu dada akawa amenikataa, nikarudia tena...
  20. N

    JamiiForums Tanzania JamiiAi: Nimeuliza hii Ai swali dogo tu na fupi kuhusu jamiiforums ni nini nimepewa majibu yote historia nzima

    Haya ni majibu ya swali dogo tu la "Jamiiforums ni nini ? hakuna kitu ulicho kiacha nyuma imefunguka kila kitu. Picha ni JamiiAi Screenshot Picha ya pili 2 1re Picha ya tatu 3 Picha ya nne 4 Picha ya tano 5 picha ya sita 6 Muhimu: Ikumbukwe JamiiAi imejengwa kwa teknolojia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…