Wana jf!
Mimi sina mengi
Aisee kuna madogo huko shuleni, wamekuwa wakiniomba hizi aftatu tatu nyngi nyingi mno! Kwa visingizio mara mwl wa tuition, mara mpishi, daftari, mchango wa nini na nk nk!
Baada ya kuona imekuwa too much, nikafuatilia!
Kumbe nao ni wazee wa kubeti!! huu mchezo...