sugu

Sugus is a brand of chewy candy made by the Wrigley Company. It originates from the Swiss chocolate company Suchard, who created it in 1931.They are square, and they are 20 mm (0.79 in) in length and width, and 7 mm (0.28 in) thick, including the packaging. There are several flavours, including lemon, orange, pineapple, raspberry and cherry, indicated by the colour of the packaging (yellow, orange, blue, red, and bright red, respectively), which is characteristic of the sweet. The classic packaging (which measured 6.3 by 4.5 cm) involves the sweet respecting the rectangular shape, with white text showing the sugus name (in lowercase) and the specific flavor (in uppercase), all over the packaging. Within the packaging was a small, white light inner wrapper of 6.3 by 1.9 cm surrounding the sweet preventing adhesion to the outer wrapper, for example at times of excessive heat. The name, though only a brand, became the name of this product. It appeared on the market under other brands, with different names, but all are given the name sugus.Sugus is sold in Argentina, Belgium, Brunei, Cambodia, China, Hong Kong, Indonesia, Japan, Macau, Malaysia, Mexico, the Philippines, Portugal, Romania, Spain, South Africa, Namibia, Switzerland, Taiwan, Thailand, Uruguay and Vietnam. It seems to enjoy great popularity in Asia, although being from Switzerland. The brand's Chinese name used in Hong Kong and China is "瑞士糖", literally meaning "Swiss candy".

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Iwapo Msigwa angemshinda Sugu yote haya angesema na kukimbilia CCM. Anyamaze kulinda heshima yake

    Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Ukasuku wa matabibu katika tasnia ya Afya dhidi ya magonjwa sugu na ya kuambukiza; Suluhisho mbadala katika ujenzi wa Tanzania mpya

    TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini. Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi akutana na Maranja Masese na kufanya naye Mazungumzo Mazito

    Mwenyekiti huyo, ambaye pia ni Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Kimataifa mwenye mafanikio, amekutana na Maranja Masese jijini Dar es Salaam na kufanya naye mazungumzo. Bado haijafahamika hasa kilichozungumzwa , Japo tetesi zinadokeza kwamba Mazungumzo yao yalihusu hali ya kisiasa ya Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wapya wa Kanda ya Nyasa Waanza kazi rasmi

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo. Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo hao wazito wameongozwa na Mwenyekiti wao Joseph Mbilinyi, yumo pia Makamu Mwenyekiti Frank...
  5. JamiiForums Tanzania Dawa gani inaweza kundoa kipilipili sugu?

    Wana JF naomba nisaidiwe dawa inayo weka nywele sawa na ziache kujifungaa ..but dawa hiyo isiwe na madhara makubwa.......ninaomba kusaidiwa wakuu
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kumbwaga Msigwa, Sugu agombee uenyekiti wa CHADEMA Taifa kurithi Mikoba ya Mbowe

    Sugu amembwaga Peter Msigwa kwenye uchaguzi wao wa Kanda. Aidha Wenje nae alimbwaga Pambalu kwenye uchaguzi wa Serengeti Ukweli ni kwamba Wagombea wa Tundu Lissu kina Msigwa na Pambalu wameangukia Pua dhidi ya wagombea wa Mbowe akina Sugu na Wenje hivyo bwana Lissu amebakia mdogo kama...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

    Wananiita Sugu!!! Nani!! Mbombo ngafu. Bilionea Joseph Mbilinyi aibuka kidedea. Mbowe ni fupa la mzimu, jitihada za Lissu kuunda kundi la kumuengua Mbowe uenyekiti chadema zimegonga mwamba. Kule Pambalu kasambaratishwa vipande vipande na Hezekiah Wenje, kamanda mtiifu wa Mbowe, huku Sugu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa na Sugu wamekuwa mahasimu kitu ambacho hakipendezi kwa afya ya chama

    Mbowe, Lisu and all concerned, take care of this. Msigwa na Sugu wanaonekana kujenga "uadui" nawatahadhalisha mbegu hii itaenea pote at the advantage of CCM. Malumbano yao hayana "upendo" ila yanajenga uadui kati yao na kutengeneza mpasuko wa pande mbili. Mipasuko kama hii huwa haiishii...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalamu wa magonjwa sugu ya staphylococcus (MRS)

    Wakuu, Natafuta specilist wa magonjwa ya kuambukiza (staphylococcus aureus infection -MRS) Nawapataje maana sijui kama kuna hiyo speciality
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mdahalo kati ya Mchungaji Msigwa Vs Joseph Mbilinyi(Sugu)

    https://www.youtube.com/live/8Qy6COBTVsM?si=598xTNalrbWCq9IJ Mdahalo ni utamaduni mzuri
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwananyasa mumchague Sugu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa

    Kuelekea uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya nyasa ninawasihi wenzetu katika demokrasia kumchagua kwa kishindo Joseph Mbilinyi (Sugu). SUGU ANATOSHA. Sababu ni zifuatazo; 1. Hana njaa ni tajiri. Hatatafuna michango yenu hovyo. 2. Ana misimamo binafsi. Hajamkabidhi akili Mbowe wala...
  12. JamiiForums Tanzania Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Moto chini Sugu

    Toka Bongo mpaka Uk na kisha narudi Tena/ Nairobi na kampala nawakilisha kwa sana/ maneno bado ni Yes naona kama hakuna no!/ Sasa match ni International/ Sugu ni chama kubwa kama Arsenal/ Bado nipo dimbani na mic ipo mkononi/ labda huko niliko nifuateni/ maana inaonekana nitachelewa...
  14. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) kuhojiwa EFM Machi 8, 2024

    Taarifa kamili hii hapa
  15. JamiiForums Tanzania Picha: Wanasiasa na Vito vya thamani kwenye maandamano by Lucas Mwashambwa

    Batanzania. Ni baeleze. Lucas mwashambwa ameandika kwa mu post. Ameandika: Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano Mm nabaletea picha kwa muhtasari.
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Sugu kwenye Msiba wa Mzee Mwinyi huu hapa

    Sugu akizungumza kwenye hafla ya kuuaga mwili wa Mzee Mwinyi kwenye Uwanja wa Uhuru (shamba la Bibi) , kabla ya kupelekwa kwao Zanzibar kwa mazishi , amemmwagia sifa Mwinyi kwamba ndiye aliyesaidia kukomesha vijana kutoswa baharini kwa kuzamia meli walipotaka kwenda Ulaya. Kwamba Baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ni mambo muhimu kuyaelewa pindi unapopata ugonjwa sugu

    Habari JF, nimeandika kuandika haya ili kuzuia madhara yatokanayo na ufuatiliaji duni wa magonjwa sugu. Kitu cha kwanza kabisa ukipatikana na ugonjwa sugu wowote iwe Sukari ,Presha ,HIV-UKIMWI , Lupus ,Seli Mundu - sickle cell disease , Rheumatoid ...etc lazima uielewe shida ulionayo na...
  18. JamiiForums Tanzania Watu waliomizwa wakawa sugu

    Hapa siongei sana, picha inajieleza, hujaelewa uliza.
  19. JamiiForums Tanzania Sugu amuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Benno Mallisa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema na Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini , Bilionea Joseph Mbilinyi, amemuonya Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini Bwana Benno Mallissa kuacha kuhujumu Chadema , na kwamba akiendelea na jambo hilo Watu wa Mbeya watampiga Marufuku kuhudhuria Club za Starehe za Mji huo ( Inadaiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tunduma: Sugu afagia uwanja kabla ya maandamano ya Amani 20 Feb 2024

    Huu hapa ni Mkutano wake wa leo wa kuwaanda wananchi wa Tunduma kwa ajili ya Maandamano Matukufu yatakayofanyika Mbeya
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…