Kuelekea 2025 Viongozi wapya wa Kanda ya Nyasa Waanza kazi rasmi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
122,618
231,367
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo.

Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo hao wazito wameongozwa na Mwenyekiti wao Joseph Mbilinyi, yumo pia Makamu Mwenyekiti Frank Mwakajoka na kupokelewa na Mwenyeji wao Katibu wa Kanda hiyo Gwamaka Mbughi.

PIA SOMA:

- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

- Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

Screenshot_2024-06-05-18-46-19-1.png
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo.

Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo hao wazito wameongozwa na Mwenyekiti wao Joseph Mbilinyi, yumo pia Makamu Mwenyekiti Frank Mwakajoka na kupokelewa na Mwenyeji wao Katibu wa Kanda hiyo Gwamaka Mbhughi

View attachment 3009602
kwamba viongozi ndio hao, wamejibana kwenye kaofisi na kameza kadogooo :pedroP:

halafu huyo jamaa anataka kutuambia kwamba mwenyekiti wa kanda hana computer sio, yeye pekee ndio anayo dah:pedroP:
 
Sugu ndio brain ya Chadema kanda yote ya Nyasa. Uko ni kuchanganyikiwa
 
kwamba viongozi ndio hao, wamejibana kwenye kaofisi na kameza kadogooo :pedroP:

halafu huyo jamaa anataka kutuambia kwamba mwenyekiti wa kanda hana computer sio, yeye pekee ndio anayo dah:pedroP:
Hatutakujulisha kila Jambo, tumekupa Dondoo tu
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba viongozi wapya waliochaguliwa hivi karibuni Kanda ya Nyasa, Wameanza Kazi Rasmi leo.

Wamefika kwenye ofisi za Kanda ya Nyasa na kuanza kazi mara moja, Vigogo hao wazito wameongozwa na Mwenyekiti wao Joseph Mbilinyi, yumo pia Makamu Mwenyekiti Frank Mwakajoka na kupokelewa na Mwenyeji wao Katibu wa Kanda hiyo Gwamaka Mbughi.

PIA SOMA:
- Kuelekea 2025 - Joseph Mbilinyi (Sugu) ashinda uchaguzi Kanda ya Nyasa, amgaragaza Mchungaji Msigwa

- Kuelekea 2025 - Mchungaji Msigwa atangaza kukata rufaa kupinga Ushindi wa Joseph Mbilinyi (Sugu) Kanda ya Nyasa

Umefurahi tunakujua upo timu sugu!
 
Back
Top Bottom