Moto chini Sugu

Feb 6, 2024
40
50
Toka Bongo mpaka Uk na kisha narudi Tena/ Nairobi na kampala nawakilisha kwa sana/ maneno bado ni Yes naona kama hakuna no!/ Sasa match ni International/ Sugu ni chama kubwa kama Arsenal/ Bado nipo dimbani na mic ipo mkononi/ labda huko niliko nifuateni/ maana inaonekana nitachelewa kushuka chini/ maana inashangaza muda unavyokwenda/ navyoucheza mchezo wa Hip Hop ndio kitu ninachokipenda/

Cheki ma player heaters navyo wapinga denda/Ooh ni V. I. P Kila kiwanja ninachokwenda/ kwani Hatari kitu Gani/ kila wakati nipo Hewani/ tbc extra one / na machizi wangu wote sasa zindisheni Hasira/

Ni wakati wa kumaliza ule utumwa wa kibiashara / sasa ni muda mrefu wanatufanya mafara/ tunaingiza mabilioni wanatu honga madem tala/ na hamwezi kunitisha Katika kudhibitisha nawashaa na/ Tafadhali sahauni kuhusu sugu / maana bado atazindi tu kuleta mavurungu / Muziki mpaka makamo kama mzee mzima ngurumo/ na kwenye unga Mimi zimo/ labda
ngaja zamani kidogo nilikwemo/ na ndio maana mpaka leo bado inanipa misimamo/...Aaa
moto chini ..
download (2).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom