sugu

Sugus is a brand of chewy candy made by the Wrigley Company. It originates from the Swiss chocolate company Suchard, who created it in 1931.They are square, and they are 20 mm (0.79 in) in length and width, and 7 mm (0.28 in) thick, including the packaging. There are several flavours, including lemon, orange, pineapple, raspberry and cherry, indicated by the colour of the packaging (yellow, orange, blue, red, and bright red, respectively), which is characteristic of the sweet. The classic packaging (which measured 6.3 by 4.5 cm) involves the sweet respecting the rectangular shape, with white text showing the sugus name (in lowercase) and the specific flavor (in uppercase), all over the packaging. Within the packaging was a small, white light inner wrapper of 6.3 by 1.9 cm surrounding the sweet preventing adhesion to the outer wrapper, for example at times of excessive heat. The name, though only a brand, became the name of this product. It appeared on the market under other brands, with different names, but all are given the name sugus.Sugus is sold in Argentina, Belgium, Brunei, Cambodia, China, Hong Kong, Indonesia, Japan, Macau, Malaysia, Mexico, the Philippines, Portugal, Romania, Spain, South Africa, Namibia, Switzerland, Taiwan, Thailand, Uruguay and Vietnam. It seems to enjoy great popularity in Asia, although being from Switzerland. The brand's Chinese name used in Hong Kong and China is "瑞士糖", literally meaning "Swiss candy".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Sugu na Mbowe ni Mabilionaire?

    Wanachama wa chadema wamekuwa wanakesha kwenye mitandao na kutaminisha kuwa wanasiasa tajwa ni mabilionaire ingawaje sina hakika kama wapo kwenye kundi wa mabilionaire walipa kodi pale TRA. Pili, wafuasi wa chadema wanaaminisha wanachama wao kuwa hii nchi ina matatizo lukuki hivyo wanachi wake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mchumba alinikwepa alivojua ana gonjwa sugu la zinaa

    Huyu Binti ni mrembo, ana asili ya uarabu. Nilimpata ugenini mkoani nilipoenda kwa ajili ya mambo yangu. Binti anafanya kazi office flani hapo mjini. Niliuliza wenyeji pindi nilipojiridhisha kwamba naweza mtongoza na anafaa kuwa mke wangu. Kabla sijamfata niliuliza washkaji wakanambia Binti...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Joseph Mbilinyi (Sugu) akiwa amelazwa hospitali ilikuwa na chupa ya Konyagi kwa pembeni

    Salaam Wakuu, Nimekutana na chapisho hili kutoka Twitter, ina ukweli?
  4. Mag3

    JamiiForums Tanzania Kwa kumbukumbu tu kuna wakati Bashe wa CCM na Sugu Chadema waliweza kuongea lugha moja bungeni lakini hawakusikilizwa!

    Watanzania tu watu wa ajabu sana... https://www.youtube.com/watch?v=Y0Y24wdT9OI Sina cha kuongezea!
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nchimbi anazungumzia kifo cha Kibao wa CHADEMA, asema "Zikianza kelele ‘Mbowe Must Go’ zinashindikana"

    https://www.youtube.com/watch?v=dDbkWPfQv2c Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi , Kuzungumza Na Wahariri na Waandishi waandamizi wa Vyombo Vya Habari Leo Jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema “Kuna kauli ya BAVICHA tumeisikiwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na ujumbe huu wa Sugu unaoleta taharuki na sintofahamu

    Ndugu zangu Watanzania, Kwanza ningependa kuendelea kutoa pole kwa wana CHADEMA kwa kifo cha kiongozi wao.najuwa kibinadamu inaumiza , kusikitisha,kuhuzunisha na kutia simanzi. Lakini ningependa kusema ya kuwa tukio hilo lisifanye kupoteza imani kwa vyombo vyetu vya Ulinzi hususan jeshi la...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa Joseph Mbilinyi A.K.A Sugu kumpa pole

    Wakaazi wa Mbeya wafika nyumbani kwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa ya CHADEMA kumjulia hali baada ya kurejea kutoka Dar es Salaam https://m.youtube.com/watch?v=2wVM_yYq-AU ambapo alipelekwa chini ya escort ya polisi baada ya askari hao kumpiga vibaya kiongozi huyo mwandamizi wa CHADEMA...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

    Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini wasanii hawajitokezi kulaani alichofanyiwa ‘SUGU’ na polisi au hakiwahusu.

    Sugu yupo hospitali mahututi baada ya kuumizwa na polisi walioagizwa na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo Awadhi Juma Haji. Sugu ni msanii wa nyimbo za hip hop aliyewainua wasanii wengi, lkn cha ajabu sijaona wala kusikia wasanii wenzake au Baraza la Sanaa likilaani kitendo alichofanyiwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mnaolia leo katika Awamu ya Hayati Magufuli mlimsema sana kuwa anawapiga na kuwatesa na kumtetea wa sasa, ila naye leo kawageuka!

    Kwanini sijaumia kwa Taarifa nilizosikia sababu ni kwamba hawa hawa wanaolia leo na kulalamika wakiwa Matibabuni Hoi ndiyo walikuwa wakimsema Hayati Magufuli na wa sasa alipoingia wakawa wanampamba kwa gharama za Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Magufuli. Pia soma: Thread 'CHADEMA: Tutafungua...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU) pamoja na viongozi wa BAVICHA. Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) yupo mahututi hospitalini baada ya kipigo cha Polisi

    SUGU YUPO MAHUTUTI HOSPITALI, DAR ES SALAAM. 1.Sugu anaongea kwa taabu sana na Sauti ya chini sana, kutoka Hospitali binafsi aliyopelekwa leo asubuhi. 2.Sugu alivamiwa na kupigwa na Kamishna wa Operesheni na Mafunzo, Awadhi binafsi siyo kwa kutuma askari wa chini, Kuanzia nje ya ofisi za...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya kuvuja taarifa za Sugu kuendelea kushikiliwa, aachiwa Mchana huu Dar, kapigwa sana

    Wakati mwingine watu wanapolaumiwa kwa kulipa kisasi huwa tunawaonea tu, Unamkamata mtu kwao Mbeya unamficha Iringa, mnampiga sana halafu mnamsafirisha hadi ugenini Dar na kumwachia huru. Polisi masikini mwenye mshahara duni anampiga Bilionea mwenye koneksheni ya Dunia bila sababu yoyote, kisa...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia ana wakati mgumu jimboni Mbeya (M) mwakani

    Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
  15. K

    JamiiForums Tanzania Badala ya watu kulalamikia uzembe wana ridhika na uzembe

    Kuna ndugu zangu wasomi kabisa lakini walinishangaza. Nilihojo inakuwaje maji yanatoka machafu lakini wananchi hawalalamiki? Wakasema ni bora sisi tuna maji hayo machafu wenzetu hawana maji kabisa. Wengine mnaweza msikielewe lakini hapo ndipo kuna tatizo kubwa. Hakuna sababu ya msingi ya kuwa...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  17. Bulelaa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

    Binafs yangu siyo Muccm! Ila kwenye hili tuacheni masikhala bhana! Sifa moja wapo ya kuwa Rais wa mabunge Duniani IPU, ni lazima uwe mbunge pia katika nchi utokayo Swali langu ni dogo tu hapa, Dr.Tulia asipoutetea ubunge wake pale Mbeya mjini, anakuwa amekosa sifa za kuendelea kuwa Rais wa...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa akutana tena na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania Umekutana na Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo Bado hatujafahamu kilichozungumzwa, tuasubiri Taarifa Rasmi ya Ubalozi.
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Sugu akiperform katika siku ya Uhuru wa Marekani ndani ya Ubalozi wa Marekani Dar es Salaam

    Rapa na Mfanyabiashara Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu ameperform mbele ya wageni waalikwa ndani ya Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania usiku wa Julai 4, 2024 ikiwa ni kumbukumbu ya Uhuru wa Marekani.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Iwapo Msigwa angemshinda Sugu yote haya angesema na kukimbilia CCM. Anyamaze kulinda heshima yake

    Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
Back
Top Bottom