studio

A studio is an artist or worker's workroom. This can be for the purpose of acting, architecture, painting, pottery (ceramics), sculpture, origami, woodworking, scrapbooking, photography, graphic design, filmmaking, animation, industrial design, radio or television production broadcasting or the making of music. The term is also used for the workroom of dancers, often specified to dance studio.
The word studio is derived from the Italian: studio, from Latin: studium, from studere, meaning to study or zeal.
The French term for studio, atelier, in addition to designating an artist's studio is used to characterize the studio of a fashion designer. Atelier also has the connotation of being the home of an alchemist or wizard.
Studio is also a metonym for the group of people who work within a particular studio.

View More On Wikipedia.org
  1. itakiamo

    Kaomba kufundishwa program ya FL studio

    Habari wadau, Naomba msaada wa kufundishwa program ya FL studio, Sina PC. Nipo Dar. Kwa aliye tayari karibu PM Asanteni
  2. Kanali_

    Jipatie vifaa vya studio (audio recording) kwa bei nafuu

    SOLD
  3. jikuTech

    Android networking in Android Studio

    SOMO LETU LA LEO LINA TOKA KWENYE KITABU CHANGU CHA ANDROID NETWORKING Lengo la kitabu hiki ambacho ni maalumu ni kujifunza kwa namna gani unaweza kuweka taarifa kwenye web server database kwa kutumia Android Studio na kuzi view kwenye mobile app . Faida ya Application hii ni kwamba mtu...
  4. Abdclassic

    Studio Session

    Kwanini tusitengeneze uzi maalumu kwaajili yawaimbaji wanaoanza kujifunza uandishi, melodies?
  5. chiembe

    Haji Manara aonekana studio za Master Jay, anatoa wimbo kumjibu Dulla Makabila

    Haji Manara ameonekana mitaa ya MJ records akiwa katika tafakari kubwa, akiingia studio na kutoka. Tetesi zinasema anajiandaa kutoa wimbo kumjibu Dulla Makabila. Habari zinasema kwamba ubishi mkubwa ni kuhusu sauti na kutembea na biti. Hivyo kila mara alikuwa akiondolewa studio aende nje...
  6. 2 of Amerikaz most wanted

    This is how Wiz Khalifa wakes people up in the studio

    Wiz khalifa
  7. Mhaya

    Dar: Studio za Mjini FM zawaka moto huko Masaki

    Studio za Mjini FM zimeteketea kwa moto asubuhi ya leo Januari 12, 2024 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Video inamuonesha Dorah ambaye ni mmoja wa Watangazaji wa Mjini FM akiwa haamini kilichotokea leo Januari 12 2024. Inspekta Kulwa Nzelekela kutoka jeshi ka uokoaji na...
  8. JanguKamaJangu

    Ecuador: Watu wenye silaha wavamia studio ya TV matangazo yakiwa ‘LIVE’ na kuwateka Watangazaji

    Wanaume waliojifunika sura zao wamevamua Studio ya TV (TC Television) ya Umma katika Mji wa Guayaquil wakiwa na silaha za moto na marungu wakati wa matangazo yakiwa mubashara kisha kuwateka Wafanyakazi wa kituo hicho kwa muda. Imeelezwa hakuna mtu aliyeuawa katika tukio hilo ambalo lilizimwa na...
  9. Cecil J

    Beginner | Noob & Pro: Fl Studio Music Production

    ..
  10. Belight Technology

    OFFER: Studio Podcast/Recording Package kwa 99,000/= tu

    Belight Technology ni Wauzaji na Waagizaji wa vyombo vya Muziki ikiwemo vifaa vya studio na podcast. DUka letu lipo DOdoma Mjini, Kizota, Kituo cha daladala cha City. Bidhaa zetu tunatuma Mikoa yote. Instagram: instagram.com/belight_sound Facebook: facebook.com/belight.sound Mawasiliano: 0715...
  11. BARD AI

    Majizzo atambulisha Studio mpya za EFM, ina Microphone 11 On air

  12. Melki Wamatukio

    Tupeane location za studio za Picha nzuri (HD) mkoani DSM

    Labda ukawa unafahamu studio inayopiga picha kali, kubwa na zenye ubora wa kiwango cha juu kwa ajili ya biashara ama mitandao ya kijamii mkoani DSM Tupeane Location, gharama pamoja na picha ya mfano wakuu N.B: Usiweke mawasiliano ya aina yoyote ya photographer kwenye huu uzi. Sio maalumu kwa...
  13. Next Elon Musk

    Natafuta chumba master Kinondoni b au studio au Sinza

    Habari Wana jamii natafuta chumba maeneo ya Kinondoni kiwe self contained 100k kwa mwezi Hit me up
  14. Belight Technology

    INAUZWA Vifaa vya Muziki na Teknolojia - Belight Technology (Official Thread)

    Baadhi ya Orodha ya Vyombo vya Muziki na Vifaa vya studio tunavyouza vinavyopatikana Dukani kwetu. Duka letu lipo Dodoma mjini, (Kizota) kituo cha daladala cha City jengo wanalouza bajaji za TVS. Ili kuona picha tunashauri utembelee post zetu za instagram: instagram.com/Belight_Sound (hatuwezi...
  15. BARD AI

    FID-Q aingia Studio na Chino Kidd7 baada ya kuombwa Collabo ya Amapiano

    SIku chache baada ya Msanii Chino Kidd7 ambaye ni Dancer wa Nyota wa Bongo Flava, Mario kumuomba Collbo mkali wa Hip Hop, Fid-Q, leo Julai 4, 2023 mastaa hao wamekutana Studio. Swali ni je, Fid atarekodi style ya Amapiano?
  16. Jane Lowassa

    Mtangazaji UTV anakohoa studio

    Inakuwaje UTV hamna huruma. Mnaona huyu Yvonna Kamtu Ana kikohozi cha kufa mtu lakini anaingia kutangaza habari saa 2. Yaani amebanja hadi sauti paaaaa. Hamna watangazaji wa akiba? Sijapenta
  17. BARD AI

    Kenya: 'Wasiojulikana' wavamia Studio za Redio na Bunduki huku kipindi kikiendelea

    Watangazaji wa Kituo cha Redio cha Mwinjoyo FM kutoka Nakuru Nchini Kenya wamejikuta kwenye wakati mgumu baada ya wanaume waliovalia nguo nyeusi na Viziba Sura kuwataka wazime matangazo na kulala chini. Baada ya maagizo hayo waliwataka Watangazaji kueleza kama kuna mtu mwingine kwenye jengo la...
  18. John Gregory

    Clouds Tv imekosa studio yenye hadhi kipindi cha Sports Bar?

    Habari wakuu, Nimeshangaa sana kuona hii studio/chumba cha habari wanachotumia Clouds Tv katika kipindi cha Sports bar mpaka nikajiuliza kwa nini wameamua kufanya hivyo? Je, wamekosa resource? Ubahili? Au ukata? Kwakweli chumba cha habari ni kama wapo ndani ya 'contena' au kabatini, Yaani...
  19. NORBERT MOSHI

    Biashara ya makeup and studio

    Habari wanandugu, leo nimependa kushare na watu moja kati ya biashara zinazofanya poa hasa apa jijini dar es salam na hii ni biashara ya studio and makeup. Watu wengi wanafungua studio za photoshoot and video shooting ila wanajikuta awakuzi kile wanachokifanya kwakuwa wanashindwa kujuwa ni...
  20. Roving Journalist

    Zuhura Yunus: Rais Samia alizungumza na Idris Elba kuhusu ujenzi wa studio ya kisasa ya Filamu Nchini Tanzania

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus amesema moja ya mambo ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi ni kuhusu ujenzi wa...
Back
Top Bottom