Tupeane location za studio za Picha nzuri (HD) mkoani DSM

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Labda ukawa unafahamu studio inayopiga picha kali, kubwa na zenye ubora wa kiwango cha juu kwa ajili ya biashara ama mitandao ya kijamii mkoani DSM

Tupeane Location, gharama pamoja na picha ya mfano wakuu

N.B: Usiweke mawasiliano ya aina yoyote ya photographer kwenye huu uzi. Sio maalumu kwa ajili ya Promo

Sheria za JF zizingatiwe
 
Umeanzia mbali sana kiongozi,ungeweka tu Tangazo lako.
Hapana mkuu, sikuwa na maana hiyo

Nimezunguka studio nyingi hapa DSM nikitafuta studio za picha kali kwa ajili ya matangazo ya biashara. Tatizo picha zao zinakuwa hazina hadhi ya instagram. Na ndio maana nikaamua kuomba maelekezo

Sio promo mkuu
 
Invest kwenye simu kali, kama ni kwaajili ya biashara yako.

Kama mfuko uko vema, nunua iPhone 13 kwenda juu, Galaxy S22 kwenda juu, Pixel 6 kwenda juu.

Kama budget tight, nunua Pixel 3a hadi 5a unapata ni nzuri.

Maana huwezi kila siku ukawa unaenda studio kwaajili ya picha za bidhaa unayouza wewe.
 
Shukhrani mkuu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom