status

A status symbol is a visible, external symbol of one's social position, an indicator of economic or social status. Many luxury goods are often considered status symbols. Status symbol is also a sociological term – as part of social and sociological symbolic interactionism – relating to how individuals and groups interact and interpret various cultural symbols.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kila siku unapost nguo kwenye status… lakini je, unauza tu au unajenga brand?

    Leo watu wengi wanaanza biashara ya nguo kupitia WhatsApp Status, Instagram, Facebook au TikTok. Unaweza kuanza ukiwa na nguo chache, ukapata wateja wa kwanza na kuanza kupata faida. Lakini swali ni: Je, unataka kubaki muuzaji wa nguo au kujenga BRAND yako mwenyewe? Safari ya kujenga biashara...
  2. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kuhukumu wanawake kutanguliza kigezo cha pesa na status zaidi katika kutafuta mahusiano mapya?

  3. K

    JamiiForums Tanzania Current Status of Russia - Ukraine War (19 June 2026)

    The war remains active, with no ceasefire or peace agreement in place. Fighting continues along multiple fronts, while both sides increasingly rely on long-range drones and missile strikes. Battlefield Situation Russian forces continue offensive operations in eastern Ukraine, particularly...
  4. JamiiForums Tanzania Status WhatsApp yazua balaa kwa mume mwenye wake wawili

    Ukiwa mume mwenye mke zaidi ya mmoja basi kila hatua unayochukua inakubidi uitafakari mara mbili. Hayo yametokea jana baada ya baba mwenye mji wake kumpost mke mdogo kwenye Status WhatsApp Baada ya mara kwa mara mume kumpost bimkubwa status akaona leo ngoja nimrushe bimdogo nae hewani auze...
  5. JamiiForums Tanzania FALSE Museveni releases letter ordering verification of citizenship status for cabinet appointees

  6. JamiiForums Tanzania WhatsApp Status yangu

    Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50% Mpira-20% Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20% Fursa za uchumi,biashara-5% Memes, Quotes-5%
  7. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wenza kupost vijembe WhatsApp status mnapotofautiana sio nzuri

    Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine. Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna mshikaji wangu Desemba nilikuwa naview status zake alikuwa anafanya matanuzi/starehe vibaya sana leo kashajisahau

    Leo hii kajisahau kanitumia test ya kipuuzi sana huku sikutafutiana lawama tu, Muwe makini na status zenu mnazoweka Whatsapp na social media nyingine
  9. JamiiForums Tanzania TAKM Organization of the Eurasian Law Enforcement Agencies with Military Status

    TAKM Organization of the Eurasian Law Enforcement Agencies with Military Status
  10. JamiiForums Tanzania Tukiwa Pamoja Tunakuona Mtu Wa Heshima Na Wamaana Ukituma Whatsapp Status Tunakuona Bogasi

    My people hope mko poa,ngoja tubadilishe radha kidogo,maana ukifungua uzi huu paap Pole pole huyu hapa,ukifungua huku kampeni hii hapa,hujakaa sawa wanamtandao hawa hapa,aah ni shida!! Aisee kuna wadau au jamaa zetu au watu wetu wa karibu au wafanyakazi wenzetu,mkiwa pamoja ni watu wa maana tu...
  11. JamiiForums Tanzania Status bwana!kuna Ka feeling Fulani ukion views wengi

    Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mwema aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
  12. JamiiForums Tanzania Privacy and Perception

  13. JamiiForums Tanzania Sanamu la Liberty 🗽 of status na siri iliyojificha ndani yake

    👉Sanamu la uhuru lilibuniwa na mchoraji wa kifaransa anaye fahamika kama Fiederic Auguste Bartholdi, ambaye ni Freemason maarufu anaye julikana vizuri. 👉Freemasonry ni Ufundi (Craft). Na Ufundi huo (craft) katika Freemasonry unahusu kujenga Ubongo wa juu, Kujenga moyo bora na kujenga nafsi...
  14. JamiiForums Tanzania Status ya wabunge waliohama kutoka CDM kwenda CCM

    Wadau tupeni updates za wabunge waliotoka CDM kwenda CCM hasa wale walionunuliwa kipindi cha Magufuli. 1.David Ernest Silinde-Momba 2.Patrobas Katambi-Shinyanga Mjini 3.Mwita Waitara-Tarime Vijijini 4.Godwin mollel-Siha 5 .Ester Bulaya-Bunda 6 Ester Matiko-Tarime Mjini 7.Upendo Peneza-Geita...
  15. JamiiForums Tanzania Hii shida ya WhatsApp status kujimix ni kote au?

    Wakuu natumia Ios, ila kuna kitu strange huwa kinatokea nikiwa na naview status za watu. Kinachotokea ni kwamba mtu A akiweka status basi inaweza appear kwa watu wengine pia, nao wanaonekana wamepost status hiyo hiyo! Nimejaribu kuupdate whatsapp ila shida iko pale pale, sasa swali langu ni...
  16. JamiiForums Tanzania Tumeachana lkn kila ninachokiweka kwenye status yangu whatsapp lazima anihoji.

    Habari zenu Kuna mwanamke tumezaa watoto watatu, baada ta kuona chemistry haziendani tukaamua kuachana.sasa mwenzangu kila status ninayoweka whatsapp lazima anihoji ni nani na inahusiana na nini? Nifanyaje hapa wadau?
  17. X

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnaoweka status WhatsApp mnafaidika nini? Mna utoto mwingi sana

    Hii kitu imenishinda kabisa. Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo. Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana vijembe na hata midume nayo imeanza hizo pigo za kike. Show off za kijinga jinga zimejaa kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Pata Status views wengi Katika Whatsapp Account Yako !

    Kwenye dunia ya leo ya kidigitali, WhatsApp siyo tena app ya kuwasiliana tu na marafiki — ni fursa ya biashara. Ukiitumia vizuri, unaweza kujenga audience kubwa ya watu wanaoaminika, wanaojali bidhaa/huduma zako, na ambao wako tayari kununua. 👇🏽 Hapa chini nitakuonesha hatua kwa hatua jinsi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

    -Una Furaha, -Huzuni -Amani ya moyo -Unafurahia maisha -Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha -Unateswa/ kufurahia mapenzi -Madeni -Magonjwa -Migogoro nk -Huna kazi -Kipato kidogo nk Kwa upande wangu mimi ni 50/50 Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote...
  20. JamiiForums Tanzania Screeshots thread: Idadi yako kubwa ya WhatsApp status views

    Mzuka! Kama hutojali, turingishie kwa picha idadi kubwa ya status viewers unazopata/ulizowahi kupata. Mimi binafsi ni 000 digits, sijawahi fika 0000. (Ila picha sina). Mufti kuku The Infinity BICHWA KOMWE - Maghayo #Uzi_Tayari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…