Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

Status yako ya maisha kwa sasa inaashiria nini?

Oscar Lyrics

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2022
Posts
2,975
Reaction score
5,111
-Una Furaha,

-Huzuni

-Amani ya moyo

-Unafurahia maisha

-Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha

-Unateswa/ kufurahia mapenzi

-Madeni

-Magonjwa

-Migogoro nk

-Huna kazi

-Kipato kidogo nk

Kwa upande wangu mimi ni 50/50

Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote kimaisha, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi warudi katika hali ya kawaida.
360_F_352099607_TaxlVn071NXtHGqC21V2ZVo1JhojS24l.jpg
 
-Una Furaha,

-Huzuni

-Amani ya moyo

-Unafurahia maisha

-Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha

-Unateswa/ kufurahia mapenzi

-Madeni

-Magonjwa

-Migogoro nk

-Huna kazi

-Kipato kidogo nk

Kwa upande wangu mimi ni 50/50

Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote kimaisha, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi warudi katika hali ya kawaida.
View attachment 3320835
50/50 maana yake alutacontinua,my life is not your life or any other else life.
 
-Una Furaha,

-Huzuni

-Amani ya moyo

-Unafurahia maisha

-Umevurugwa kwa sababu ya ugumu wa maisha

-Unateswa/ kufurahia mapenzi

-Madeni

-Magonjwa

-Migogoro nk

-Huna kazi

-Kipato kidogo nk

Kwa upande wangu mimi ni 50/50

Nb kwa wale ambao ni wagonjwa au wanapitia changamoto yoyote kimaisha, Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi warudi katika hali ya kawaida.
View attachment 3320835
Inategema unaiangalia kutoka juu au chini.

Albert Einstein alitufundisha Relativism.
 
mimi aisee niko vizuri kimaisha mwezi wa sita nategemea kumalizia nyumba yangu ya pili kigamboni ya kupangisha na niongeze gari ya tatu mwezi wa kumi lakini nina huzuni kazini kwangu nafatiliwa sn kwamba mm n mwizi wa mali za umma iko kitu kinaniumiza moyo sn mpaka nata,mani kujiua
 
Back
Top Bottom