starlink

Starlink is a satellite internet constellation operated by SpaceX, providing satellite Internet access coverage to 40 countries. It also aims for global mobile phone service after 2023. SpaceX started launching Starlink satellites in 2019. As of September 2022, Starlink consists of over 3,000 mass-produced small satellites in low Earth orbit (LEO), which communicate with designated ground transceivers. In total, nearly 12,000 satellites are planned to be deployed, with a possible later extension to 42,000. Starlink provides internet access to over 500,000 subscribers as of June 2022.The SpaceX satellite development facility in Redmond, Washington houses the Starlink research, development, manufacturing, and orbit control teams. The cost of the decade-long project to design, build, and deploy the constellation was estimated by SpaceX in May 2018 to be at least US$10 billion.
SpaceX expects more than $30 billion in revenue by 2025 from its satellite constellation, while revenues from its launch business were expected to reach $5 billion in the same year.Astronomers have raised concerns about the effect the constellation obviously have on ground-based observation of the sky (photography) and how the satellites will add to an already congested orbital environment. SpaceX has attempted to mitigate astronomy concerns by implementing several upgrades to Starlink satellites aimed at reducing their brightness during operation. The satellites are equipped with krypton-fueled Hall thrusters which allow them to de-orbit at the end of their life. Additionally, the satellites are designed to autonomously avoid collisions based on uplinked tracking data.

View More On Wikipedia.org
  1. Safaricom wanalia na Starlink Kenya

    Kama ilivyo kwa kampuni nyingi za simu kujiemdesha kwa unyonyaji, Safaricom Kenya wamepata cha mtema kuni baada ya Elon Musk kuanza kutoa huduma nchini humo na wateja wengi kukimbilia Starlink. Hii inakuja baada ya kuwa na mkopo wa kifaa kwa wasioweza kukinunua moja kwa moja. Mapema Safaricom...
  2. Je, ni kosa Kisheria kutumia Starlink Kenya ndani ya Tanzania?

    Nauliza, Je nikosa kisheria kutumia mtandao wa internet wa Nchi nyingine ndani ya Tanzania Kwa matumizi binafsi?
  3. Brazil yazuia akaunti za benki za Starlink kufuatia mzozo wa serikali na X ya Elon Musk

    Mahakama ya Juu imefungia Akaunti za Benki za Kampuni ya Huduma za Intaneti ya #Starlink inayomilikiwa kwa ubia na Mfanyabiashara Bilionea #ElonMusk ambaye pia ni mmiliki wa Mtandao wa X (zamani Twitter). Awali, Mahakama ya Juu ya Brazil ilitoa Saa 24 kwa Mtandao wa X (zamani Twitter) kumtaja...
  4. Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, mmekuwa ni kikwazo kikubwa cha ujio wa Starlink

    Kampuni za Simu za Tanzania mnahitaji kuboresha mfumo wenu wa kufikiri, nikama kuna tatizo kidogo kwenye bongo zenu kuhusiana na Starlink Waafrika siku zote ni kama tuna laana linapokuja swala la kutumia akili ndiyo maana wenzetu rangi nyeupe watazidi kuwa juu Kampuni ya simu ya Tanzania...
  5. Vita ya Starlink na Safaricom ni somo kwa kampuni za mawasiliano Tanzania

    Aliyekuwa waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye aliwahi kusema kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na taasisi za kimataifa, Tanzania inashika nafasi ya sita kwa Bara la Afrika kwa kuwa na gharama za chini za bando “vifurushi” huku ikishika nafasi ya 50 Duniani kwa...
  6. 0

    Safaricom Kenya yaomba ulinzi kwa Serikali. Ni baada ya Starlink kushusha bei hadi Tsh. 26,000/= kwa GB 50

    Baada ya Starlink kushusha bei ya plans zake na kuintroduce kifurushi cha Ksh. 1,300 ambayo ni sawa na kama Tsh. 26,000 za kitanzania kwa 50GB kwa mwezi na plan ya Tsh. 400 kwa GB 1 (20KES) pale ambapo utamaliza kifurushi hicho kabla ya mwezi kuisha. Kampuni ya mawasiliano ya Kenya Safaricom...
  7. Ushauri kwa Mh Nape Nnauye, Waziri wa Habari na Mawasiliano kuhusiana na Starlink

    Mh Nape Nnauye Waziri wa Habari na Mawasiliano vijana wengi tunakupenda sana kwasababu wewe ni msikivu sana. Kuna haja ya kuwakaribisha Starlink Tanzania kwasababu zifuatazo 1: Starlink wanatoa huduma nzuri lakini ni ghali sana kulinganisha na makampuni yetu ya simu hapa Tanzania kwahiyo wao...
  8. SoC04 Revolutionizing Healthcare Services in Tanzania in 10 years through Artificial Intelligence (AI) and Starlink Internet

    Introduction Healthcare services are essential for the well-being of any society. Tanzania has made commendable progress in improving its healthcare sector, yet significant challenges persist, especially in rural areas where access to quality healthcare is limited. Shortages of medical...
  9. Serikali ya Zimbabwe yaipa Leseni Starlink kutoa huduma za Intaneti

    Mamlaka ya Udhibiti wa Posta na Mawasiliano (POTRAZ) imeidhinisha leseni ya utoaji Huduma za Intaneti kwa kampuni ya #Starlink inayomilikiwa na Bilionea #ElonMusk Taarifa ya Rais Emmerson Mnangagwa imesema "Uamuzi huu unatarajiwa kuongeza miundombinu ya Mtandao wenye Kasi ya Juu na ya gharama...
  10. L

    Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni. Kauli hii imekuja kutokana na...
  11. Watumiaji wa Internet wazidi kupaza sauti za Starlink

    Serikali kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano imetoa ufafanuzi juu ya ujio wa Starlink ikidai kuwa haijakataa ujio wao bali inasubiri kampuni ya Starlink itimize masharti yaliyowekwa
  12. Waziri Nape kwanini husemi ni vigezo gani ambavyo Starlink hawajatimiza? Au wamegoma sharti la kuzima mtandao muda wowote mkiamua?

    Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu hawajakamilisha masharti, na kama wakikamilisha basi wataruhusiwa kutoa huduma nchini. Msikilize hapa ====...
  13. Nape Nnauye: Bajeti inatupeleka Tanzania ya Kidijitali. Hadi barua za watendaji mtaa kuhamia 'online'

    Waziri Nape ametoa dondoo za bajeti yake anayotarajia kuisoma kesho ikiwemo Taifa kuhamia dijitali. Nape amesema kutakuwa na kitambulisho kimoja na kila kitu kitaunganishwa humo na watu wataacha kuhangaika kutafuta huduma kwani kila kitu kitaletwa 'Online'. Waziri Nape Nnauye: Bajeti inaenda...
  14. Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Akiwa kwenye kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM leo May 15, Waziri wa teknolojia na habari, Nape Nnauye ameongelea changamoto ya Internet nchini na mipango ya kuliepuka janga kama hili siku za baadae. Kuhusu mkongo uliokatika amesema bado una siku si chini ya saba mbele ili kutengemaa...
  15. Tungekua tu starlink tusingekua tunalialia na cable?? Technological advancement haiepukiki ulimwengu huu

    Kufuatia mtikisiko wa internet serikali ijifunze jambo!…… Sababu hazitatui tatizo hata wakishinda wanaelezea. Tunataka Tanzania mpya Tanzania ya suluhisho siyo ya kujielezea kushindwa au walipofeli Kwako Tanzania
  16. M

    Serikali iwaze kurusha setilaiti badala ya tahasusi za dini

    Maajabu na vimbwanga vya Serikali. Yaani kosa kuongeza masomo ya ubunifu wa sayansi na teknolojia au hata watoto wafundishwe elimu ya fedha mtandao. Kuangalia namna ya kukuza vipaji vya ubunifu lakini wajuba wanajiwazia Islamic knowledge na divinity mambo ya ajabu sana. Binafsi watoto wangu...
  17. F

    Matatizo ya kukatika Internet nchi nzima alaumiwe Waziri Nape kwa kuikataa StarLink

    Waziri wa Habari na Mawasiliano, ndugu Nape Nnauye ndiye anapaswa kulaumiwa kwa kutokuwa na internet ya uhakika nchini kwani waziri huyu aliikataa kampuni ya Mmarekani tajiri zaidi duniani iitwayo StarLink ambayo ina satellite zaidi ya 10,000 angani. Kampuni hiyo iliyowasilisha maombi ya kutoa...
  18. Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink. NDUGU ZANGU TOA USHAURI USITUKANE ==== Pia soma: Mitandao ya simu ipige faida ya internet kwa mara ya mwisho. Elon Musk kuleta internet ya Starlink Tanzania
  19. Watu wanaolalamikia internet kufosi Starlink mbona Voda, airtel wana unlimited nzuri kwa 120,000 tu kwa mwezi

    Habari wadau. Binafsi nawashangaa sana watu wanaolalamikia kwa nini star link haipo? Chief-Mkwawa amelinganisha vizuri kuhusu bei za internet ya starlink vs bei za ISP wa bongo. Bei za unlimited bongo now Airtel 70,000, TTCL 55,000, Vodacom 120,000, Zuku 69,000, Raha 50,000, Netsolution...
  20. Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Unapozungumzia setelite tofauti na huduma zengine ambazo ni rahisi kuwekewa vikwazo mfano mfumo wa redio za sauti,mawasiliano ya simu na njia za waya au wireless zenye uwezo masafa yasio kwenda juu usawa wa bahari. nimeleta mada kwenu sababu hiki kifaa nakitumia hapa tanzania na kwenye usajili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…