Baada ya Starlink kushusha bei ya plans zake na kuintroduce kifurushi cha Ksh. 1,300 ambayo ni sawa na kama Tsh. 26,000 za kitanzania kwa 50GB kwa mwezi na plan ya Tsh. 400 kwa GB 1 (20KES) pale ambapo utamaliza kifurushi hicho kabla ya mwezi kuisha.
Kampuni ya mawasiliano ya Kenya Safaricom imetoka hadharani na kuomba Serikali ya Kenya kujitokeza na ku-regulate bei hizo maana zitaharibu soko lao local providers
Ikumbukwe kuwa Safaricom na mitandao mingine vifurushi vyao vya bei ya chini kabisa ni Tsh. 50,000 kwa GB 45 kwa mwezi, hii ikiambatana na speed ndogo ya internet ukilinganisha na ile ya Starlink.
Pia kampuni hii ya Starlink chini ya bwana mkubwa Elon Musk iliitikia kilio cha wengi na kushusha bei ya antenna zake na installation fee kwa zaidi ya 70%