Mwakyembe ampongeza Diamond na Wasafi kuzindua kipindi cha sports arena

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Waziri wa habari sanaa na michezo Dr Harrison mwakyembe ametoa pongezi zake kwa mwanamziki diamond kwa uzinduzi wa sports arena alioufanya kwa ukubwa kuanzia maandalizi pamoja na ubunifu walitumia kwa kitendo Cha kuwashusha kwa helikopta watangazaji waliowasajili lakini kuwepo kwa red carpet na kuwakutanisha wadau mbalimbali kutoka sector ya sanaa,michezo,habari pamoja na makampuni mbalimbali kwa pamoja ni Jambo jipya naikuwahi kufanywa hapo kabla hii inasaidia kuleta thamani kwenye industry.
 
Ahmed yupi?
Eeee bwana eeeeh nimetazama live mwanzo mwisho kupitia YouTube hawa watu wako serious.
Mwakyembe kaikubali studio.

Ubishani wa Manara na Nugaz ndo balaa zitooo Ahmed pamoja na Kitenge wanakuja kupindua hii tasnia na kumficha Dauda mfukoni
 
Eeee bwana eeeeh nimetazama live mwanzo mwisho kupitia YouTube hawa watu wako serious.
Mwakyembe kaikubali studio.

Ubishani wa Manara na Nugaz ndo balaa zitooo Ahmed pamoja na Kitenge wanakuja kupindua hii tasnia na kumficha Dauda mfukoni
Yah wasafi wapo very serious kwa mwendo Huu watafika mbali sana wamefanya ubunifu mzuri kwa tukio la leo mpaka mwakyembe kawapigia salute.
 
Nime gundua Siku izi kumuita/kuonana na mawaziri sio kazi sana kama zamani
 
Unachosema ni sahihi, walitaka attention kwakweli wameipata shida ni kuwa na maudhui na mpangilio mzuri ili kuwavutia wasikilizaji.
 
Utajiri wa Dauda sawa na Mondi tu ana kampuni ya betting..usimfananishe na hao vilaza kwanza Shafii hatangazi tena
Mzee acha masiala umesema dauda ana hela sawa na mondi?Mzee hapa umetuingiza Chaka.
 
Hizi media kubwa zinatikisana kishenzi miaka ya karibuni.
SOON kuna mtu atavunja kibubu ili kujibu mapigo. Ujue navuta picha hicho kikao cha majizo na akina mkule na wenzake kilikuwaje hadi akawaruhusu waondoke. Je aliridhia kiroho safi! Au wameshampa maslahi! Au ana mpango wa kusajili league one!
 
Back
Top Bottom