Sports arena ya wasafi: Hatutamuita zahera

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha anapimwa kwa matokeo au uchezaji wa timu yake hatuna sababu yakumwita studio hata ukimwita azungumzie yanga itakuwa Haina faida sisi hatufanyi kazi za umbeya labda ingekuwa tunafanya mahojiano ikiwa yupo ndani yanga ndio ingekuwa inamake sense".
 
efm ni wambea sana, Zahera ameshatimuliwa mnamuhoji nini? kama sio umbea na uzandiki
Daaaa!!! Ana mwaga sumu ile mbaya!! Uzuri wake sio mnafiki ni mkweli siku zote, nadhani wanayanga wangemshukuru kwani anawafunulia kilichomo ndani ya uongozi wa timu!! Na ndio ukweli uliopo, hao viongozi waliopo ni kama sanamu tu, kuna uongozi uliopo nyuma ambao hauonekani!!!!! Tatizo la watz ni kupenda zaidu timu badala ya kuupenda mchezo!!! Wewe ulishaawahi kuona wapi, kwakuwa mwenyekiti ulishawahi kuwa kocha basi ndio uingilie kupanga timu??
 
Kwani Zahera kasema kwamba alikuwa anapagiwa timu?
 
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha anapimwa kwa matokeo au uchezaji wa timu yake hatuna sababu yakumwita studio hata ukimwita azungumzie yanga itakuwa Haina faida sisi hatufanyi kazi za umbeya labda ingekuwa tunafanya mahojiano ikiwa yupo ndani yanga ndio ingekuwa inamake sense".
Siosawa walitakiwa wamuhoji pia,kwani wangapi wakitimuliwa hua wanahojiwa
 
Kwani Zahera kasema kwamba alikuwa anapagiwa timu?
Jana ameongea mengi sana!! Kuwa siku moja kabla ya mechi, mwenyekiti anakuja kambini, ili kuwapa moyo wachezaji, badala yake anaanza kupanga timu, na kuwapa wachezaji formation jinsi ya kucheza!!! Yeye anakaa kimya tu, akishaondoka mwenyekiti, kocha anawaambia mimi cjapanga hivyo!! Fateni yangu(formation)
 
Hiv karibuni Mwinyi Zahera amekuwa akifanya media tour na kuwalikwa pia na media mbalimbali sports arena wameulizwa mbona wao hawajamwita Zahera wamejibu "Zahera ameshafukuzwa na yanga na kocha anapimwa kwa matokeo au uchezaji wa timu yake hatuna sababu yakumwita studio hata ukimwita azungumzie yanga itakuwa Haina faida sisi hatufanyi kazi za umbeya labda ingekuwa tunafanya mahojiano ikiwa yupo ndani yanga ndio ingekuwa inamake sense".
hawàjui namna ya kupata exclusives
 
Jana ameongea mengi sana!! Kuwa siku moja kabla ya mechi, mwenyekiti anakuja kambini, ili kuwapa moyo wachezaji, badala yake anaanza kupanga timu, na kuwapa wachezaji formation jinsi ya kucheza!!! Yeye anakaa kimya tu, akishaondoka mwenyekiti, kocha anawaambia mimi cjapanga hivyo!! Fateni yangu(formation)
Hilo sio jipya kwenye soka la TZ ni kawaida viongozi kusajili wachezaji na viongozi kupanga kikosi
 
Kwa namna efm walivyomhoji inafaa vyombo vingine viachane nae vichukue yale ya efm.kama wakishindwa efm waende clouds sports exta nayo mengi aliongea.Kiukweli Sports Hq walipiga bingo.kumwahi kwenye interview.Football ni mchezo wa wazi hata skysport wanaweza kuchukua Clip ilivyoandaliwa na betsports na wakaijadili.Kama SportsArena wana cha kujadili basi wachukue clip huko wasione aibu labda kama sheria haziruhusu.Atakaekula bingo tena ni yule atakaefanikiwa kuwahoji viongozi wa Yanga kujibu Tuhuma za Zahera.
 
Hao sports Arena wana akili sana. Na bila shaka wameonesha ukomavu! Ni uwendawazimu kutengeneza vipindi na mtu ambaye ameshafukuzwa kazi, kwa lengo tu la kumchafua na kumdhalilisha mwajiri wake.

Hayo malalamiko si angeyatoa kabla hajafukuzwa? Atatumiwa na hizo media, mwisho wa siku ataenda tena kuwapigia magoti hao hao viongozi ili wamlipe stahiki zake.

Na ningekuwa mimi ndiyo Mwenyekiti wa klabu, ningehakikisha anayapata hayo malipo yake kupitia Tff, Caf, Caz, au Fifa kabisa.
 
Back
Top Bottom