sport

  1. avogadro

    JamiiForums Tanzania Tusipinge Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za kigeni bali tuboreshe ili kutengeneza utalii wa michezo ( Sport tourism)

    ➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo ➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Barbra kurudi power breakfast, Fetty kwenda sport extra

    Wiki hii hapa kazini CMG tumepewa taarifa kwamba Barbra Hassan kamaliza sabbatical leave hivyo anarudi kwenye pindi lake hivyo kumfanya dj Fetty kwenda kukiwasha sports extra. Wakuu yapi maoni yenu. Tuko na Kusaga hapa anasoma maoni.
  3. Bavaria

    JamiiForums Tanzania Introducing New Range Rover Sport

    Hizi stunt sio za kawaida. Nimewakumbuka wale wazee wa reliability.
  4. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Simba Sport Club mkapambanie nembo na nchi yetu huko Afrika Kusini

    Wachezaji wa Simba nyie ndio mnaoiwakilisha Tanzania, serikali ipo nyuma yenu, wananchi wapo nyuma yenu hivyo ushindi wenu ni ushindi wa nchi! Pirate ni timu ya kawaida sana na mtawamudu mpaka hawataamini! Do or Die in South Africa! .Manula .Kapombe .Inonga .Shambalala .Onyango .Kibu .PO Sacko...
  5. Theb

    JamiiForums Tanzania Simba sport club. Tuleteeni wafungaji mashine kisawa sawa

    Nimeangalia mechi ya leo ya simba akiwa ugenini pale ushirika moshi akicheza na mwenyeji wake polisi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania bara. Kiuhalisia na ukweli usiofichika simba tuna tatzo la wafungaji/wamaliziaji. Mfungaji anakimbia kabla mpira haujapigwa au anashindwa kusoma position...
  6. Little brain

    JamiiForums Tanzania Timu 8 zilizotinga robo fainaili Kombe la Azam sport federation cup

    1. Geita gold 2.Kagera sugar 3.Simba 4.Young Africans sc 5. Pamba fc 6. Coastal union 7.Polisi Tanzania 8.Azam fc Unatamani timu gani zikutane? Mimi natamani tukutane na watoto wa rose mhando
  7. Offshore Seamen

    JamiiForums Tanzania Fahamu kuhusu Sport Fishing

    Sport Fishing ni Uvuvi wa Samaki katika bahari, Maji ya ziwa, bwawa au mto Kwa ajili ya kujifurahisha, burudani au Mashindano. Hii ni aina tofauti na Uvuvi wa Samaki wa biashara na kujikimu, huu ni rahisi Sana mtu anayevua anaweza akawa kwenye Boti ndogo au pembezoni mwa bahari/Ziwa/bwawa/mto...
  8. President of China

    JamiiForums Tanzania Simba Sport Club stadium Concept

    Sisi wana simba tunapenda mambo mazuri ya kisasa. Ninapenda kuwaletea wanandugu Concept ya uwanja wetu tutaotegemea kuanza kuujenga mwaka 2022. Ruhusa Utopolo kumwaga povu.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hizo pesa za kuninulia vifaa vya sport bunge zipelekwe Mashuleni kununua madawati

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Angalia ujinga wa Priva wa Sports Xtra ya Clouds FM

    Jamaa ana ujuaji fulani wa kibwege sana hata kakiongea anang'ata ulimi na kurembaremba accent sijui ili a sound kama wazungu, unatuabisha wachaga wewe, sijasahau uliposababisha beef kubwa kati ya Magori na Efm baada ya Magori kuchanganya madesa na kudhani sport Hq ndiyo waliyotangaza habari...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tunauza vifaa mbalimbali vya magari

    Usiharibu gari yako kwa Spacer nitafute kwanamba +255742662669 kwa sport shock-ups zasaizi yauvungu unaouhitaji katika gari yako.Kwa spare nyingine za Magari pia karibu Dukani Mwananyamala Komakoma.
  12. T

    JamiiForums Tanzania Je, Shomari Kapombe wa SIMBA SPORT CLUB ajiondoe haraka Taifa Stars?

    Maneno maneno Huwa yanaumba Kapombe sasa yule mkata kamba yako naye kaitwa stars sasa je ni wakati wa kuamini kwamba ile kamba yako ilikuwa inakatwa na yeye? Kama kweli una uhakika kamba yako huwa inakatwa na yule kijana mliyeitwa naye stars ya sasa ni bora ukajitoa kwa maslah mapana ya club...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu CVT Sport

    Wadau mambo ni vp? kuna hii kitu inaandikwa CVT SPORT katika magari baadhi, naomba kujuzwa ni nn? kazi yake nn? inatakiwa kutumika wap?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Sports Arena: Kipindi cha hovyo kabisa!

    Pasipo na shaka kipindi cha redio cha Sports Arena ya Wasafi FM, ni kipindi cha hovyo kabisa -- makelele mengi, hawa-balance story, na hicho kikundi kinachojiita wachambuzi always ni kutaka kuivuruga Simba tu.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji Simba, Mo ahoji mtu mwenye akili timamu anaweza kufikiri yeye atashindwa bilioni 20?

    Leo kutakuwa na interview kubwa kabisa itawakutanisha miamba mitatu kwenye sport na music kwa pamoja Msanii number 1 wa Tanzania, Msemaji no 1 wa mabingwa Simba sports club na Tajiri Mohamed (mo) kwenye kipindi Cha sports Arena Cha Wasafi FM stay turned. Moja ya mambo yanayotarajiwa...
  16. Ituzaingo Argentina

    JamiiForums Tanzania Waarabu sio watu wa mchezo, itachukua muda sana kuwafikia. Sasa wanasajili wachezaji kutoka UK

    Kutoka UK mpaka Kwa MAFARAO Klabu ya Pyramids ya nchini Misri inatarajia kumsajili nahodha wa timu ya taifa ya Misri, chini ya miaka 23, Ramadan Sobsi kwa mkataba wa miaka mitatu kutoka Huddersfield Town ya Uingereza kwa dau la Dola milioni 5 (Bilioni 11.620 Tshs) Mkataba wa mkopo wa Sobhi...
  17. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania JF SPORTS ARENA | Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona!

    Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona Chelsea wanafikiria kubadili uamuzi wao kwa kumsaini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner,24, ikiwa Mjerumani huyo ataonesha nia utayari wa kuhama. (ESPN) Chelsea imemuweka mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Leicester Ben Chilwell, 23, katika mpango...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza Sport Arena ya Wasafi FM kwenye hili

    Nimependa Sana huu ubunifu wa Sport Arena walikuja nalo la kuwa na mtu mwenye takwimu kwenye kipindi.Mtu huyo anahusika na kuchukua takwimu za mchezo pamoja na mchezaji mmoja mmoja kwa kuangalia pass alizopiga, interception alizofanya, loss pass na maeneo mengine. Hili litasaidia kukuza soka...
  19. N0len

    JamiiForums Tanzania What is your favorite sport?

    what is your favorite sport? I used to play a lot of football, when was young. now that I have grown up, in work and family, I rare play like in the good old days. but the interest remained and now I watch every match on TV. and you, what sport sunk in soul?
  20. H

    JamiiForums Tanzania Leo ndiyo uzinduzi wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM

    Leo ndiyo uzinduzi mkubwa wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM chini ya CEO Diamond Platnumz ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, lakini pia kitahudhuriwa na mastaa wa Bongo, wadau wa michezo na wadau wa habari na makampuni mbalimbali.
Back
Top Bottom