sisi ni ndugu
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 121
- 135
Wadau mambo ni vp? kuna hii kitu inaandikwa CVT SPORT katika magari baadhi, naomba kujuzwa ni nn? kazi yake nn? inatakiwa kutumika wap?
jitahidi sana kuitunza, na kuifanyia services za kila mara.. CVT Tranny ni moja kati ya Transmissions zinazosumbua sana watumiaji, hivyo unapoipa mzigo kila mara wear out itatokea fasta sanaCVT (continuously variable transmission) ni mfumo wa gear box ambayo hauna Gia za kujipanga kama hizi automatic za kawaida...
hizi gari za mfumo wa CVT (ikiwemo na Yangu pia) zinachanganya mapema mno na kama utatumia sports mode ndiyo inakuwa balaa maana Ile toque inakuwa mara 2 ya hizi automatic za kawaida pia sports mode ni tofauti kidogo na over speed (OS) kwasabb OS inatumika hasa gari ikishafikisha speed 60km/h tofauti na CVT transmission/sport mode hii unaweza kuitumia hata Kwenye speed 30 na gari itachanganya kama kawaida..
leo mida ya asubuh saa 12 nimewatesa Sana jamaa wa spacio,raum na wish barabara ya buguruni - ubungo mpaka wamechoka kunifata najua kila mmoja wao lazima asimulie Ile Hali waliyokutana nayo asubuh
Poa mkuu asante Kwa ushauri maana hizi gear box oil za CVT bei yake nimekuta tsh 130000/= Kwa Lita 4 najua nikishatumia nitakaa nayo zaidi ya Miezi 6jitahidi sana kuitunza, na kuifanyia services za kila mara.. CVT Tranny ni moja kati ya Transmissions zinazosumbua sana watumiaji, hivyo unapoipa mzigo kila mara wear out itatokea fasta sana
first, pole kwa kununua gari yenye CVT Transmission/Gearbox, basically CVT Sport ni setup/mode inayokuruhusu kubadili gears manually kwa kutumia paddle shifters zilizopo chini ya usukani both kushoto na kulia, au kwa kutumia shift knob kwa kufuata alama + na -. Vile vile kwa baadhi ya magari pale unapochagua Sport Mode, engine na gearbox/Transmission zote ubadili ECU mapping na kukupa short gears kwa maana gead hubadilika kwa kifupi kulingana na RPM/Mzunguko wa engine yako.
Vile vile kwa baadhi ya magari yenye adaptive suspension, utakapochagua Sport hii huenda mbali hadi kwenye shock ups na kuzifanya kuwa ngumu, ili kupunguza mnepo na mlalo wakati wa corner kali(body roll), hapa utapoteza umaridadi wa mtikisiko wa gari kwenye barabara zenye mashimo na mabondebonde.
Pia ikumbukwe kuwa CVT Gearbox nyingi zinasumbua sana, hivyo jitahidi kuibembeleza na kutoipa mzigo mkubwa, kwa maana ikileta tabu mafundi wa hizo gearbox hamna.
Pia subiri wadau wengine wenye maono tofauti.
Pia kuna Jambo moja muhimu Kwa CVT transmission hasa Kwenye foleni watalaamu wanashauri matumizi ya neutral (N) na sio parking (P)....Uchawi wa CVT ni ukitumia fluid tofauti na iliyoandikwa kwenye deep stick imekula kwako...Juzi duka moja nimeona dumu la lita 4 limeandikwa Universal CVT fluid....kaa mbali na hizi fluid..
Ukibadilisha CVT fluid, flush radiator na uweke coolant mpya....endapo gari lako ni Nissan.
CVT fluid hakikisha ipo level inayotakiwa isizidi wala isipungue..
Epuka kuondoka kwa mwendo mkali yaani kukanyaga mafuta mpaka pedo ifike sakafuni pale unapoingia main road....kanyaga taratibu acha gari lichanganye lenyewe..
Ukizingatia hayo utanishukuru baadae.
vizuri kabisa, shukrani sana
Kama inawezekana, kaa mbali na CVT Transmission either nunua Standard/Manual au Automatic za kawaida.. CVT transmissions zinazingua kwa ujumla, zinavyozidi kuzeeka ndiyo matatizo huanza kujitokeza. Fanya utafiti wako mwenyewe utajionea.Kwa nini unampa pole kwa kuwa na CVT. Inategemea jni gari gani. Sio mdadisi sana ila CVT kama iliyoko kwenye SUBARU sijawahi kusikia kama ni tatizo. Kwenye Nissan (hasa Murano) nimeshasikia story zake za kutisha
Namna ya utunzaji Tu ndiyo kitu cha muhimu hata hiyo ATF TRANSMISSION kama utashindwa kufanya service Kwa wakati itazingua Tu,pia kuna baadhi ya lwadau hapo wametoa ushauri namna ya lkutunza haya Magari hasa Kwa upande wa uendeshaji maana hapa ndiyo TATIZO linapoanzia...Kama inawezekana, kaa mbali na CVT Transmission either nunua Standard/Manual au Automatic za kawaida.. CVT transmissions zinazingua kwa ujumla, zinavyozidi kuzeeka ndiyo matatizo huanza kujitokeza. Fanya utafiti wako mwenyewe utajionea.
mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye kukanyaga pedal huku speed ni 30Namna ya utunzaji Tu ndiyo kitu cha muhimu hata hiyo ATF TRANSMISSION kama utashindwa kufanya service Kwa wakati itazingua Tu,pia kuna baadhi ya lwadau hapo wametoa ushauri namna ya lkutunza haya Magari hasa Kwa upande wa uendeshaji maana hapa ndiyo TATIZO linapoanzia...
Chukulia mfano gari yako iendeshwe na watu tofauti kila siku hapo unategemea gari itadumu? Au unakanyaga pedal Hadi chini huku gari ikiwa Kwenye speed 30, sometimes wadereva wengi hawajui lolote zaidi kunyoosha barabaran
Ok.....mkuu naomba ufafanuzi hapo kwenye kukanyaga pedal huku speed ni 30
CVT ndiyo zinakuja kureplace Ordinary automatic gear box...Kama inawezekana, kaa mbali na CVT Transmission either nunua Standard/Manual au Automatic za kawaida.. CVT transmissions zinazingua kwa ujumla, zinavyozidi kuzeeka ndiyo matatizo huanza kujitokeza. Fanya utafiti wako mwenyewe utajionea.
CVT (continuously variable transmission) ni mfumo wa gear box ambayo hauna Gia za kujipanga kama hizi automatic za kawaida...
hizi gari za mfumo wa CVT (ikiwemo na Yangu pia) zinachanganya mapema mno na kama utatumia sports mode ndiyo inakuwa balaa maana Ile toque inakuwa mara 2 ya hizi automatic za kawaida pia sports mode ni tofauti kidogo na over speed (OS) kwasabb OS inatumika hasa gari ikishafikisha speed 60km/h tofauti na CVT transmission/sport mode hii unaweza kuitumia hata Kwenye speed 30 na gari itachanganya kama kawaida..
leo mida ya asubuh saa 12 nimewatesa Sana jamaa wa spacio,raum na wish barabara ya buguruni - ubungo mpaka wamechoka kunifata najua kila mmoja wao lazima asimulie Ile Hali waliyokutana nayo asubuh
Ushauri Murua huu.Uchawi wa CVT ni ukitumia fluid tofauti na iliyoandikwa kwenye deep stick imekula kwako...Juzi duka moja nimeona dumu la lita 4 limeandikwa Universal CVT fluid....kaa mbali na hizi fluid..
Ukibadilisha CVT fluid, flush radiator na uweke coolant mpya....endapo gari lako ni Nissan.
CVT fluid hakikisha ipo level inayotakiwa isizidi wala isipungue..
Epuka kuondoka kwa mwendo mkali yaani kukanyaga mafuta mpaka pedo ifike sakafuni pale unapoingia main road....kanyaga taratibu acha gari lichanganye lenyewe..
Ukizingatia hayo utanishukuru baadae.
Kwamba hio Rumion ina CVT?CVT (continuously variable transmission) ni mfumo wa gear box ambayo hauna Gia za kujipanga kama hizi automatic za kawaida...
hizi gari za mfumo wa CVT (ikiwemo na Yangu pia) zinachanganya mapema mno na kama utatumia sports mode ndiyo inakuwa balaa maana Ile toque inakuwa mara 2 ya hizi automatic za kawaida pia sports mode ni tofauti kidogo na over speed (OS) kwasabb OS inatumika hasa gari ikishafikisha speed 60km/h tofauti na CVT transmission/sport mode hii unaweza kuitumia hata Kwenye speed 30 na gari itachanganya kama kawaida..
leo mida ya asubuh saa 12 nimewatesa Sana jamaa wa spacio,raum na wish barabara ya buguruni - ubungo mpaka wamechoka kunifata najua kila mmoja wao lazima asimulie Ile Hali waliyokutana nayo asubuh
Manufacturer wa Gearbox za CVT za Nissan ambaye ni JATCO ametengeneza Gearbox vimeo sana. Kuna Nissan hizi zimepewa malalamiko sana kuhusu gearbox.Kwa nini unampa pole kwa kuwa na CVT. Inategemea jni gari gani. Sio mdadisi sana ila CVT kama iliyoko kwenye SUBARU sijawahi kusikia kama ni tatizo. Kwenye Nissan (hasa Murano) nimeshasikia story zake za kutisha