sport

  1. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania JF SPORTS ARENA | Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona!

    Lionel Messi, 32, ataendelea kubaki Barcelona Chelsea wanafikiria kubadili uamuzi wao kwa kumsaini mshambuliaji wa RB Leipzig Timo Werner,24, ikiwa Mjerumani huyo ataonesha nia utayari wa kuhama. (ESPN) Chelsea imemuweka mchezaji wa nafasi ya ulinzi wa Leicester Ben Chilwell, 23, katika mpango...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nawapongeza Sport Arena ya Wasafi FM kwenye hili

    Nimependa Sana huu ubunifu wa Sport Arena walikuja nalo la kuwa na mtu mwenye takwimu kwenye kipindi.Mtu huyo anahusika na kuchukua takwimu za mchezo pamoja na mchezaji mmoja mmoja kwa kuangalia pass alizopiga, interception alizofanya, loss pass na maeneo mengine. Hili litasaidia kukuza soka...
  3. N0len

    JamiiForums Tanzania What is your favorite sport?

    what is your favorite sport? I used to play a lot of football, when was young. now that I have grown up, in work and family, I rare play like in the good old days. but the interest remained and now I watch every match on TV. and you, what sport sunk in soul?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Leo ndiyo uzinduzi wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM

    Leo ndiyo uzinduzi mkubwa wa kipindi cha Sports Arena cha Wasafi FM chini ya CEO Diamond Platnumz ambapo mgeni rasmi atakuwa ni Waziri wa Habari Sanaa na Michezo, Dkt.Harrison Mwakyembe, lakini pia kitahudhuriwa na mastaa wa Bongo, wadau wa michezo na wadau wa habari na makampuni mbalimbali.
Back
Top Bottom