special thread

The Unified Thread Standard (UTS) defines a standard thread form and series—along with allowances, tolerances, and designations—for screw threads commonly used in the United States and Canada. It is the main standard for bolts, nuts, and a wide variety of other threaded fasteners used in these countries. It has the same 60° profile as the ISO metric screw thread, but the characteristic dimensions of each UTS thread (outer diameter and pitch) were chosen as an inch fraction rather than a millimeter value. The UTS is currently controlled by ASME/ANSI in the United States.

View More On Wikipedia.org
  1. Russia is not your enemy

    JamiiForums Tanzania Tigo hamna special thread lakini nilitaka sema neno

    Kwa Sasa ni mwendo wa kopa weka kopa weka. Tena Sasa ni kopa nyingi weka kidgo najua mnapata sana Inaitwa hakuna namna. Maisha ni magum na lazima yaendelee. Tumuombee Rais Samia, Maisha sio poa. Mimi sio CHADEMA nilisikia wakuongea hiki kitu. Milo ni mi4 Kwa wiki trust me.. Mlo unaliwa saa...
  2. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Karibuni tujadili maisha ya ujanani na masuala mengineyo ya kimaisha

    Habari, Karibuni katika uzi huu pendwa wenye dhima na dira maalumu ya kujadili maisha ya ujanani, kwa kuangazia opportunities, weakness, strength za Rika hili la ujana linalo anzia miaka 18 mpaka 35 kwa sheria za hapa kwetu Tanzania. Vile vile hata kujadili masuala mengineyo ya kimaisha kama...
  3. Wildlifer

    JamiiForums Tanzania Runners (Wakimbiaji) | Special Thread

    Kuamka Alfajiri, au nyakati za jioni kuvaa kiatu, kwenda uwanjani, kuifuata barabara nyoofu. RUNNERS. Uzi huu naomba uwe maalum kutukutanisha wakimbiaji, tupeane dondoo za ukimbiaji, takwimu za kila siku tukimbiapo (stats), njia nzuri za kukimbilia (routes), teknolojia n.k. Morning runners.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Walimu (CWT) special thread

    Habari wakuu, hope wote ni wazima. Pasi na kupoteza muda ni ende kwenye lengo la Uzi huu. Awali yoyote mm ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya ualimu katika moja ya chuo kikuu apa Tanzania mwaka wa pili. Napenda kushauri na kutoa mawazo Yangu kuwa, ni Wakati sasa walimu kwa kushirikana na...
  5. Poker

    JamiiForums Tanzania Newcastle United (special thread)

    Jina kamili: Newcastle united Jina la utani: The Magpies Kuanzishwa: 1892 Uwanja wa nyumbani: St. James Park (uwezo mashabiki 52,000) Wamiliki: Public investment fund 80% , RB Sports & Media 10%, PCP Capital Partners 10%
  6. Lyrics Master

    JamiiForums Tanzania Tupia wimbo wowote wa Reggae unaoupenda

    Habari ya Asubuhi Wakuu, Naona Week end ndio imeshaanza. Tupia Song lolote la reggae unalolikubali. Mimi nimeanza na hilo.
  7. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Special Thread: The 2am/5am Club

    Salute comrades, Nimefikiria kuanzisha hii chat kwa wale tunaolala saa nane usiku(2 am) au kuamka saa kumi na moja alfajiri (5 am) sababu ya majukumu mbalimbali ili tuweze kushare vitu mbalimbali kama vile: 1) Tips za kuwa productive kazini. 2) Work-life-family balance. 3) Diets. 4) Life...
  8. Page 94

    JamiiForums Tanzania England National Football Team (Three Lions), Special Thread

    Huu uzi ni mahususi kwa ajili ya matukio yote yanayoihusu timu ya mpira wa Miguu ya Uingereza. Timu hii inajulikana kwa jina la Utani la Three Lions, yaani Simba Watatu. Jina hili limechochewa zaidi na nembo ya timu hiyo yenye alama ya Simba watatu (tazama picha) Timu hii ipo chini ya...
  9. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Special Thread for testimony (Ushuhuda)

    .
  10. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania BONGO MOVIE | Special Thread

    Top ten Bongo movie series of all time. Licha ya tasnia ya bongo movie kukubwa na changamoto nyingi kama ukosefu wa soko, badget ndogo ya kutengenezea film, Ukosefu wa watu wapambanaji na wabunifu katika Tasnia. lakini haifanyi kufcha au tushindwe kutaja na kusifia kazi bora ambazo ziliwahi...
  11. Gang Chomba

    JamiiForums Tanzania Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    yanga ilianzishwa mnamo mwaka 1935 na inasemekana ndo klabu kongwe na yenye mafanikio zaidi hapa nchini. klabu hii ilianzishwa na wazalendo halisi wa nchi hii waliokuwa wakiji shughulisha na uchuuzi wa nazi na samaki na muda wao wa jioni ulipofika walikuwa wakijumuika pamoja kusakata kabumbu na...
  12. idoyo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Ku-track kukatika kwa umeme

    .
  13. Light Saber Imetosha Sasa

    JamiiForums Tanzania Special thread: Umwagiliaji moyo

    Unamwagilia moyo ukiwa wapi? Na maji yepi/kinywaji kipi? Let it be liquor. Lite ama Windhoek. Wine ama beer. Ngumu ama laini. Kama kuna namna yeyote wamwagilia moyo share nasi. Share nasi. I do smoke, I do drink just to get lost in time. Thinking. Stratergzn.
  14. Shy land

    JamiiForums Tanzania Ngoma za kisukuma special thread

    Nyimbo za kisukuma zimekuwa zikipigwa sana maeneo mbalimbali na kona zote za nchi, na kwenye maharusi, kumbi za starehe na kwenye ndoa za watu wote nchini. Huu uzi utakuletea majina ya wasanii na ngoma zote nzuri zinazopedwa mda Wote. wasanii kama GUDEGUDE, LIMBU LUCHANGULA, BHUNDAGALA, BAHATI...
  15. Singida Big Stars

    JamiiForums Tanzania Singida Big Stars Football Club | Special Thread

    Ndugu WanaJF, Karibuni kwenye uzi maalum wa klabu yetu ya Singida Big Stars. Kupitia uzi huu mtafahamu masuala mengi kuhusu klabu yetu ambayo ni mgeni wa Ligi Kuu Tanzania Bara na msimu huu ukiwa ni msimu wetu wa kwanza kushiriki Ligi Kuu ya NBC (2022/2022). HISTORIA Klabu ya Singida Big...
  16. Curtis De Mi Amor

    JamiiForums Tanzania Tabora special thread

    Ukiiangalia Tabora kwanzia igunga , nzega, uyui, tabora sikonge, urambo, kaliua, utagundua huu mji ni wa kipekee sana. Unaongoza kwa uzalishaji wa asali Tanzania nzima, unaongoza kwa uzalishaji wa karanga, unaongoza kwa uzalishaji wa maembe, unaongoza kwa uzalishaji wa ngozi, unaongoza kwa...
  17. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha mbalimbali za Sensa 2022

    CEO wangu amehesabiwa
  18. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Home workout special thread: Uzi maalumu wa Mazoezi unayoweza kufanyia nyumbani

    Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi Natambau wengi wetu tunatamani kuwa wafanya mazoezi, lakini kwa sababu mbalimbali tumekuwa tunakosa muda kwenda uwanjani au...
  19. Raymanu KE

    JamiiForums Tanzania Mothers' Special Thread

    Hamjamboni wanajamvi? Natumai mpo salama kbsa. Huu uzi Ni maalum kwa ajili ya mama zetu.Tuchukue fursa hii kuwapongeza mama zetu kwa Yale mengi mazuri waliotufanyia mpaka tumefikia Hapa tulipo. Wapo wenzetu ambao kwa Bahati mbaya waliondokewa na mama zao wapendwa na Basi tunawaombea kwa Mungu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Bollywood | Special Thread

    Kwa wapenzi wa Bollywood na matawi yake tungejikusanya hapa kupeana mawili matatu
Back
Top Bottom