spare

  1. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzefu wa Biashara ya spare za pikipiki au spare za magari tuelezee kiundani juu ya biashara hizi

    Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya Gongo la Mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi kiumri) hii biashara ya spare za pikipiki ni nzuri, nikamuuliza kwanini? Halafu nikamuuliza mbona nasikia...
  2. mkadiriaji majenzi

    JamiiForums Tanzania Spare parts za powertillar aina ya KUBOTA

    Habari wakuu. Kama kichwa kinavojieleza sisi wakulima msimu unakaribia ni muda wa kuandaa mashamba sasa kuna spare za powertillar nimezitafuta bila mafanikio anayejua supplier wa spare za Powertillar aina ya KUBOTA anisaidie.
  3. 42774277

    JamiiForums Tanzania Msaada wale mliowahi kuagiza/mnaoagiza spare parts Dubai na Kenya.

    Guys nahitaji kuagiza spare parts Dubai bila kwenda Dubai. Kama kuna mtu anaweza kunipa muongozo. Kwa Dubai., 1. Wapi mnanunua spareparts hasa kwa gari za Kijerumani? 2. Mnatumia kampuni zipi za usafiri kwa njia ya maji na anga? Pia kwa Upande wa Kenya, Mnanunua spare parts wapi, na...
  4. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Natafuta spare ya Sony MHC-GNZ7D

    Ningependa kufahamu ni wapi hasa nitaweza kupata spare ya Radio Sony MHC-GNZ7D, spare ninayohitaji ni part yote ya mbele ya Radio,kuanzia chini ya cd door mpaka milango ya tape cassette hapo chini, kwa kifupi ni kwamba Radio imepasuka sehemu yote ya milango ya tape sasa nataka kuirudisha...
  5. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights. Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo ni nafuu sana. Ni nafuu sana hasa ukilinganisha na bei ya spareparts ambayo utaambiwa ukiingia...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Nitapata wapi spare za DT Yamaha hapa Dodoma?

    Naam kwa wakazi wa Dodoma naomba mnisaidie na hili. Nahitaji kununua spare kadhaa za pikipiki yangu Yamaha DT 125, je, nitapata duka lipi apa Dodoma mjini?
  7. kokudo

    JamiiForums Tanzania Nani anaijua biashara ya vifaa vya simu kwa kina?

    Habari za majukumu, Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no? Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo. Asante kwa comment yako, najua itawasaidia wengi.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rav4 massawe used

    Habari zenu wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada nahitaji hiyo gari budget yangu ni mil 7,asanteni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Spare: Kitabu cha Harry kitakachozua balaa Uingereza-2

    Familia ya kifalme ya Uingereza sasa imejiandaa kwa uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na mwana mfalme, Prince Harry, wakionywa kinaweza kuwa bomu kwa Ufalme wa Uingereza, huku mawakili wa Ikulu wakijiweka tayari kusubiri uzinduzi wake uliopangwa kufanyika Januari 10 mwakani. Taarifa ya uzinduzi...
  10. Almahri08

    JamiiForums Tanzania Biashara Spare parts za magari

    Habari za asubuhi mabibi na mabwana Ningependa kupata ushauri kwenu Kwa mtu aliyejipanga kufungua biashara ya spare used za magari kutoka Dubai kwa mkoa wa Dodoma
  11. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Chimbo la spare OG Tanzania kwa magari Mjapan yasiyo Toyota

    Wakuu nadhani ni Tanzania pekee ukiwa na gari sio Toyota spare zake kupata ni mlolongo kidogo. Nchini Kenya, Uganda au Rwanda gari yoyote una miliki na spare zipo ila Bongo ndo kipengele kingine. Nimeanzisha uzi huu tupeane tarifa ni wapi (maduka yapi) kwa TZ Dar/Mwz/Arusha/Mbeya mtu anaweza...
  12. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa wanao nunua spare za magari mzigo chimbo bei chee , CV joint za magari yote

    Obs Company tupo kwenye wiki ya CV JOINT Karibuni wote wana JF wanaopenda kununa spare za magari kwe bei ya Jumla , Mzigo wa CV joints umeishaingia Dukani karibuni dukani kwetu mjipatie Spare za Magari kwa bei ya jumla sawa kama bure Spare zetu za magari ni Mpya kabisa na imara kwa matumizi...
  13. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Wanao nunua spare za magari tukutane hapa

    Mzigo Mpya Umeingia Shock dust Cover za Ist ZImeingia jaman bei ya Jumla ni kama Bure .. karibuni dukani tunawauzia kwa bei ya jumla kuanzia Pc 4 tupo kariakoo mtaa wa Swahili na Udowe Kwa Mawasiliano nipigie au nicheck whats app +255 766 999 775
  14. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya Wauza Spare za Magari kwa reja reja

    Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri. Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako...
  15. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Genuine motor vehicle spare parts, Tanga

  16. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kijana wa kufanya kazi ya kuuza spare parts Pwani

    Habari, rejea kichwa cha habari hapo juu, nahitaji kijana ambae ana njaa ya kazi to the extent nikimpa kazi atakuwa na fresh ideas za namna ya kuongeza sales na hatimae faida. Nahitaji kijana ambae ataifanya kazi akiamini hii itamsukuma kimaisha. Mimi ni entrepreneur mdogo na hili ni duka dogo...
  17. WENYELE

    JamiiForums Tanzania Msaada: spare za magari yalisitiswa uzalishaji

    Wakuu kwema humu? Naomba msaada wa elimu na ufahamu kidogo? Hivi spare za magari ambayo makampuni ya magari yashasitisha uzalishaji wake huwa zinakua sokoni hadi muda gani zinakua hazipatikani tena? Mfano umenunua gari leo afu baadaye unagudua hizo gari hazizalishwi tena, je spare...
  18. K

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Spare za Magari

    Tunauza spare za magari aina zote, toyota, nissan, mazda, subaru, coaster, hiace,fusso, canter, tata, eicher, nk. Tupo Tanga mjini na mikoani tunatuma. Jumla na rejareja. Pia tuna battery zenye ubora wa hali ya juu.
  19. MK254

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Urusi latengwa na dunia, kutouziwa spare parts, na kuzuiwa kwenye anga za mataifa mengine

    Huku Putin akiendelea kuingia hasara kwa uwekezaji mkubwa wa wanajeshi wengi Ukraine ambao kama wameshindikana kusonga mbele kwa uhitaji wa chakula na vyombo, nyumbani Urusi mambo yanaendelea kuharibika, shirika la ndege la Urusi limeanza kutengwa na dunia. Kwenye huu ugomvi Putin alikurupuka...
  20. kokudo

    JamiiForums Tanzania Spare za Tv, Radio, Computer na nyingine zinazofanana na hizo

    Wasalaam Kama heading inavyosema naomba kujua ni vitu gani vya kuanza navyo kwenye biashara ya spare part za Tv Radio, Computer nk.
Back
Top Bottom