Uzi kwa ajili ya Wauza Spare za Magari kwa reja reja

HUKU ABROAD

Senior Member
Nov 20, 2020
127
210
Salaam ndugu zangu,kwanza napenda kuwashukuru kwa kuunga mkono uzi wetu pendwa wa, "Wapenzi wa magari mazuri ”. Ahadi yangu kwenu ni kuendeleza mazuri.

Ili magari yetu yaendelee kuwa mazuri tutahitaji spare,unaonaje ukinipa oda yako kisha nikutumie spare huko huko mkoani na utalipia mzigo wako ukishapokea kwa wakala wetu ?

Spare yoyote ile kwetu inapatikana iwe body part kama bampa, taa n.k au hata engine , gearbox na spare nyenginezo kama Break pad za magari yote , break shoe , Cv joint , shock mounting , shock absorbor , ball joint , shock spring , stablizer link , Tie rod end nk

Unaweza kuniPm oda yako au nitumie ujumbe kwa WhatsApp au text ya kawaida .

Namba yangu ya simu ni 0766 999 775
 

Attachments

  • bALL POST-01.jpg
    2.9 MB · Views: 33
  • face-01.jpg
    2.5 MB · Views: 26
  • offer-01.jpg
    4.6 MB · Views: 28
  • DSC_1852.JPG
    5.9 MB · Views: 23
  • DSC_1823.JPG
    6.2 MB · Views: 21
  • DSC_1835.JPG
    5.3 MB · Views: 17

Similar Discussions

Back
Top Bottom