Watu wengi siku hizi wanakimbilia bei nafuu bila kujiuliza kuhusu ubora wa bidhaa wanazoweka kwenye magari yao. Ukiambiwa brake pads ni elfu 30 badala ya elfu 80, unafurahi haraka bila kujua kuwa hiyo elfu 30 inaweza kukupeleka kwenye ajali. Siyo kila kilicho rahisi ni cha heri. Spare parts feki...
Kama fundi ambaye nimekuwa kwenye hii fani kwa muda sasa, nimegundua jambo moja ambalo linaumiza wateja wengi – matumizi ya spare parts zisizo halisi kwa sababu tu ya bei kuwa ndogo.
Watu wengi wanapokuwa kwenye harakati za kutengeneza magari yao, hasa kwenye maeneo muhimu kama brake system...
Jamaa mmoja huko Temeke, Juma, alinunua alternator ya Toyota Corolla yake kwa bei rahisi tu kutoka duka la autoparts Kariakoo. Alifikiri amepata kwa bei nafuu, lakini baada ya siku mbili, gari lake likaanza kutoa moshi barabarani! Fundi akagundua alternator hiyo ilikuwa ya bandia, na ilikuwa...
Habari za jioni wakuu , nimeangalia kikokotoo Cha TRA kuhusiana na uagizwaji wa scania P420 8x4 skip loader ya 2011 na Kodi yake imekuja wa kutosha almost 82,000,000Tsh
Sasa nilikuwa Nauliza kwa wajuzi kuwa inawezekana ukaagiza gari ambayo ikatenganishwa cabin , engine na Chasis ili kuja...
Al Jazeera TV has, most frequently, been covering the killings in Gaza by Israel army focusing on the impact on Children. They frequently highlight the suffering of children in order to attract attention and provoke reaction from the world. The question that arises is whether this should have...
Habar wakuu?
Ninauza na Kusupply spare za generator , Air compressor and Earth moving machine.
Upande wa generator nna spare za
1. Perkins engine
2. Yanmar engjne
3. Deutz Enigine
4. Mitsubish Engine
5. Volvo Engine
6. Lister peter Engine
6. Wechai engine
7. Ricardo engine
8. Catpiller engine...
Tunapatikana Dar es Salaam, Kariakoo, Kisutu, Mbezi ya Magufuli na Manzese. Mikoani na nchi jirani pia tunatuma kwa uaminifu mkubwa sana.
Kwa mawasliano zaidi piga 0714528887 au tembelea website yetu.
Karibuni sana
Karibu katika kampuni yetu Bora ya hanlink engineering subsidiary co.ltd.dar es salaam
Tunazo spare parts zote za magari makubwa mfano howo, FAW, nk. Tunauza kwa Bei nzuri na huduma yetu ni ya uhakika
📍Tunapatikana Vingunguti-Karakana
📞Mawasiliano 0748270719
#HANLINK TUPO KWA AJILI YA...
Kumekuwa na mjadala watu wa magari hupenda kuuzungumzia kuhusu iwapo mtu ana hitaji la kununua spare, je ni bora kwenda dukani kununua mpya kwenye box, ama ni bora ukanunua used iliyofunguliwa kwenye gari?
Kwanza kabisa tunatakiwa kujua haya makampuni ya magari hutengeneza vipi magari yao.(mf...
Tunauza spare za pikipiki aina ya boxer original na HERO kwa jumla na rejareja Bei zetu ni nafuu Sana na tunatuma mikoani pia. Kwa mawasiliano tupigie 0782197274
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.