Bi. Juliana Shonza, aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalum, Mkoa wa Songwe, ameongoza kwa idadi ya wingi wa kura za maoni baada ya kupigiwa kura na wajumbe kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) mkoani humo.
Akitangaza matokeo hayo Msimamizi wa Uchaguzi huo Bw. Antony Mtaka, amesema...