Angalia kwa makini picha hii
Chatu kamkaba mfalme cobra huku mfalme cobra akimng'ata chatu..Nyoka wote wawili walikufa, mmoja kutokana na kukosa hewa na mwingine kutokana na sumu.
Na hivi ndivyo watu wanavyoangamizana. Urafiki huisha
uhusiano huisha
Familia huishia kuharibikiwa kwa sababu kila...