State Organization for Marketing of Oil (SOMO) is an Iraqi national company responsible for marketing Iraq's oil. It is headquartered in Baghdad, Iraq.
Watu wengi hufanya kazi kwa bidii ili kupata pesa, lakini si wengi wanaojifunza jinsi pesa zinavyofanya kazi. Moja ya misingi muhimu kabisa ya kujenga utajiri ni kuelewa tofauti kati ya Asset na Liability.
Kwa lugha rahisi
✅ Asset ni kitu kinachoweka pesa mfukoni mwako au kinaongeza thamani ya...
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu uhaba mkubwa wa walimu wa somo la Literature katika shule nyingi za serikali kwa ngazi ya kidato cha tano na sita.
Serikali ilianzisha kombi mpya za masomo, ikiwemo HGLI na HKLI mwaka 2023, lakini hadi sasa hakuna ajira ya kutosha ya walimu wa somo la Literature...
Blackberry zilikuwa simu pendwa sana miaka ya 2000. Kila mtu aliyekuwa akimiliki simu hizo alionekana kuwa wa kishua au mtu mwenye hela.
Zilikuwa simu nzuri sana kiasi kwamba Nokia naye akaamua kuleta Nokia Asha ilimradi tu zifanane kimuonekano. Blackberry ltd ilianzishwa na marafiki wawili...
28 May 2026
Kongamano la Kigoda cha Mwalimu Nyerere 2026
UDSM
Nyerere Hakutaka Somo la Falsafa Kupewa Kipaumbe Kwenye Elimu Yetu' - Dr.Camillus Kassala
https://m.youtube.com/watch?v=bUMCKBv_7jk
Dr. Camillus Kassala mwanafunzi wa falsafa ambaye ni Mkurugenzi wa hadhi ya utu wa binadamu...
Huu ni mtazamo wangu binafsi
Kwakua Tanzania haijawahi kushuhudia vurugu za aina yeyote suala hili lingeongezwa kwenye somo la historia ya Tanzania na maadili ili kuonesha chanzo cha vurugu ,namna ya vurugu zilivyomalizika,jitihada za serikali zilizochukuliwaa.
Lakini pia elimu kwa vijana...
Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha.
Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena.
Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao hayasikiki.
Fikiria kampuni zilizokuwa kubwa, maduka yaliyokuwa yamejaa watu, biashara zilizokuwa...
Mimi Mwanafunzi wa Kampala (KIUT), Kozi ya Pharmacy, kuna jambo linatukera sana, kuna tabia ya Walimu kukomoa Wanafunzi, kutuwekea mazingira magumu ya kufaulu mtihani, na njia pekee ya kutoboa hapo ni “kunyoosha mkono uwe mrefu” jambo ambalo linatushinda Wanafunzi wengi, hatuna uwezo huo ikifika...
Leo nimeona nitoe somo dogo kuhusu mifumo ya upoozaji, hapa nitachanya vyote kwa lugha nyepesi ambayo haipo deep sana ili lengo litimie ila kwenye comment ntakuwa naenda deep zaidi kwa yule mwenye uelewa zaidi juu ya mifumo hii ya upoozaji
WAtu wengi wanamiliki majokofu na AC ila hawajui...
UONGOZI NI KUSIKILIZA: SOMO KUTOKA KWA DKT. MWIGULU NCHEMBA
Katika siasa na utumishi wa umma, nguvu ya kiongozi mara nyingi hupimwa kwa uwezo wa kuzungumza na kuamua. Hata hivyo, kipimo cha juu zaidi ni uwezo wa kusikiliza ambacho mara nyingi hupuuzwa.
Katika mazingira ya maombolezo, Waziri...
Katika kipindi hiki ambacho dunia inakumbwa na misukosuko ya kiuchumi inayochangiwa kwa kiasi kikubwa na migogoro ya kimataifa, hususan katika ukanda wa Mashariki ya Kati, nchi nyingi zinazoagiza mafuta zimejikuta zikikabiliwa na mfumuko wa bei, kupanda kwa gharama za uzalishaji, na kudorora kwa...
Kuna kidume kinalalamika wanawake wako tayari kutoa penzi la bure kwa wanaume tajiri au maarufu wakati kwa mafukara na wavuja jasho wanawabania wakitaka chochote kitu kwanza!
Ni jambo linalotia hasira kama wewe ni mwanaume masikini lakini ni jambo linaloeleweka ukichukua muda kutafakari na...
Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari.
Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu tulishindwa kupata TSC no, hivyo tukashindwa kupata mikataba full ya ajira baadhi tukiambiwa tukasome...
Anonymous (c723)
Thread
business
sekondari
shule
shule za sekondari
somo
studies
tume
tume ya utumishi
utumishi
walimu
Serikali ilizindua mtaala mpya na ulioboreshwa wa mwaka 2023 ulioanza kutumika mwaka 2024 kwa baadhi ya shule na mwaka 2025 ulianza kutumika kwa shule zote za sekondari.
Katika mtaala huu mpya somo la BUSINESS STUDIES limekuwa ni somo la lazima kuanzia kidato cha kwanza mpaka kidato cha nne...
Leo tunaendelea rasmi na somo la Uandaaji wa Mpango Biashara (Business Plan) kwa wafugaji na wakulima
Hili ni somo muhimu sana kwa yeyote anayefanya au anayepanga kuanza kilimo na ufugaji wa kibiashara.
Tutajifunza kwa kina:
1. Business Plan ni nini na kwa nini ni muhimu.
Jinsi ya kuandaa...
Somo hili nalileta kwenu kwa ujumla yaani lina cut across kada zote zinazotakiwa kuhudumia jamii na pia jamii yenyewe inayotakiwa kuhudumiwa.
MOSI:
Lazima mjitambue kwamba ninyin ni watanzania na utambulisho wenu daima uatakuwa ni utanzania.Utanzania ni muunhaniko wa makabila mengi ikiwemo...
Katika historia ya Tanzania, uongozi umejengwa juu ya misingi ya amani, umoja wa kitaifa, na heshima ya mamlaka ya dola. Hata hivyo, kama ilivyo kwa mataifa mengine, kauli ya “Mene, Mene, Tekeli, na Peresi” (Danieli 5) inabaki kuwa kioo cha kutafakari mwenendo wa siasa zetu. Ni ujumbe wa...
Wanajamvi
Mo 29 na kuendelea ni kipindi ambacho nchi yetu iliingia katika kiza kinene, anga lake likiwa limefunikwa na damu, huku ardhi yake ikilalamika kuelemewa na miili ya Tanganyika ikiomba msaada wa kuhifadhiwa na ndugu zao.
Ni kipindi ambacho nchi yetu imeingia katika historia mbaya...
Sina hofu na vijana Gen z
Hofu ni adui wa maendeleo millenia hofu zao zinapoishia wao Gen Z ndo ujasiri wao unapoanzia
Mpaka ukaone Gen z anahofu basi mellenia muda huo kashafukiwa futi 6 chini ya udongo 😂,
Kesho watu wenye mapenzi mema na nchi yao wanaenda kutimiza haki yao kikatiba ya...
Mimi sio Muislamu, lakini kauli yako wewe Sheik Ponda, ile iliyonukuliwa na vyombo vya habari leo hapa : https://www.youtube.com/live/kGULHq2MJVQ?si=6mc8j4GhNwZT6X3E
imenigusa kwa kina. Kuna nyakati chache katika maisha ambapo mtu anasimama na kusema jambo ambalo linavuka mipaka ya imani...