somalia

  1. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Somalia na wasomali

    Leo nitakua najibu maswali yote yanayohusu somalia na wasomali!! Uliza chochote… Mr chromium
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tamthilia za Somalia za kalisha tamthilia za Tanzania kwa kushinda tuzo za Filamu ‘ZIFF’ 2024

    Muandaaji wa filamu nchini Somalia, Ahmed Farah amewamwaga waongozaji wa Tanzania baada ya kushinda Tuzo za Kimataifa za Filamu ‘ZIFF’ 2024 zilizotolewa leo Ngome Kongwe Zanzibar. Ahmed kupitia filamu yake ya Arday ameshinda Tuzo ya ZIFF 2024 katika kipengele cha tamthilia bora ya Afrika...
  3. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Somalia ndiyo nchi pekee duniani ambayo ni 'failed state'

    Nchi nyingi zilizoshindwa au failed state huwa zina changamoto kama 1. Ukabila au jamii tofauti zinazopigana 2.Dini (vita ya kidini kati ya Waislam na dini zingine kama Ukristu, Uhindu na Uyahudi) 3. Kuvamiwa na nchi nyingine yenye nguvu mfano Afghastan ilivamiwa mara mbili na soviet na US...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Aliacha shule haikupita muda tukasikia amerukia sumalia

    Huyu ndugu alikuwa mpole tu ila alipofika kidato cha tatu akawa haendi sana shule ikawa anashinda sana kwenye nyumba ya ibada Baadae akaacha kabisa shule kwa kusema anaingia kujifunza mambo ya gereji Kwenye gereji kweli ukiwa na kichwa chepesi pesa ipo Alienda gereji moja inamilikiwa na mtu...
  5. Mgosi Mbena

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kuhusu msimamo wa Tanzania juu ya Somalia?

    Sera ya Tanzania ya mambo ya nje inasemaje kuhusu hili swala La somalia na mipaka yake.
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya na Waganda wanapiga hela sana Somalia. Tupeane mchongo, mnawezaje hiyo nchi?

    Wakenya walio Somalia wanatuma wastani $500,000 kwa siku, noma sana yaani mlifikaje huko na mnavumiliaje hayo mabomu, nchi yenye misuko suko ya kidini. ========= Somalia has emerged as a new source of remittances for Kenya and Uganda, accounting for $180 million and $21.9 million respectively...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud atembelea Taasisi ya JKCI, apongeza utendaji

    Rais wa Jamhuri ya Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amewapongeza wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa huduma nzuri wanayoitoa ya kuokoa maisha ya watu wenye matatizo ya moyo. Rais Hassan Sheikh Mohamud alizitoa pongezi hizo Aprili 27, 2024 Jijini Dar es Salaam alipotembelea...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Somalia imekuwa mwanachama Rasmi wa Jumuaiya ya Afrika Mashariki

    DIPLOMASIA: Nchi ya Somalia imekuwa Mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zilizohitajika ili kuweza kupata ridhaa ya kujiunga na jumuiya hiyo Sekretarieti ya EAC imechapisha taarifa inayoonesha Ujumbe wa Somalia ukikabidhiwa Hati yake ya...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Raia sita wa Morocco wahukumiwa adhabu ya kifo Nchini Somalia

    Mahakama ya kijeshi Kaskazini mwa Somalia imewahukumu kifo raia sita wa Morocco ikielezwa kuwa wana uhusiano na kundi la kigaidi. Majina ya wahusika ni Mohamed Hassan, Ahmed Najwi, Khalid Latha, Mohamed Binu Mohamed Ahmed, Ridwan Abdulkadir Osmany na Ahmed Hussein Ibrahim, wana nafasi ya kukata...
  10. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanajeshi wa UAE waliouawa Somalia yawasili nyumbani

    Miili ya maafisa watatu wa kijeshi kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu - waliouawa katika shambulizi la wanamgambo nchini Somalia - imewasili Abu Dhabi. Taarifa ilisema afisa wa nne ambaye alipata majeraha wakati wa shambulio la Jumamosi alifariki alipowasili UAE. Maafisa wa Imarati walisema...
  11. MK254

    JamiiForums Tanzania Mabomu yarindima kwenye masoko ya walalahoi Somalia, 10 wafa

    Vigumu sana kuwaelewa hawa, yaani hata kuwa na ujirani nao ni hatari sana. Wote dini moja, kabila moja, lugha moja lakini wanauana kiholela, sasa mabomu unalipua kwenye masoko ya walalhoi ukilenga nini haswa. =========== Several blasts at a popular open-air market in Somalia's capital...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Meli ya Iran yatekwa na magaidi Somalia na kuokolewa na jeshi la India

    Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa.... Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Somalia: Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) yashikiliwa na Al-Shabab ikiwa na abiria

    Kundi la Al-Shabab limeikamata Helikopta ya Umoja wa Mataifa (UN) ikiwa na Watu Wanane wakati ilipotua kwa dharura katika eneo linaloshikiliwa na kundi hilo katikati mwa Somalia. Kituo cha Habari cha Somali National News Agency (SONNA) kimeeleza Ndege hiyo ilitua Mji wa Galmudug na mazungumzo...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Bahari imechafuka.India wameingia kuokoa meli karibu na Somalia.

    MV Lila Folk nusura ichukuliwe na wanamgambo wanaodhaniwa wa Somalia.Wanamaji wa India walipata mwito wa shida baharini kutoka meli hiyo na haraka kwenda kuiokoa. Meli hiyo ilikuwa ikipeperusha bendera ya Liberia na ilikuwa iko masafa ya 460 nautical miles kutoka Somalia katikati ya bahari ya...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Ethiopia na Somalia haziivi, wanataka kukinukisha

    Somalia hawa hawa na maugaidi yao wanataka kuanzisha vita na Ethiopia kisa hao Ethiopia wamedhamiria kutumia bandari ya Somaliland.............. Somalia vowed on Tuesday to defend its territory by "any legal means" and recalled its ambassador to Ethiopia after Addis Ababa struck a controversial...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Uturuki yatoa Hati ya Kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia kutokana na ajali mbaya ya barabarani

    Uturuki imetoa Hati ya Kimataifa ya kukamatwa kwa Mtoto wa Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, baada ya kudaiwa kumgonga msafirishaji wa pikipiki, ambaye alifariki baadaye. Ripoti ya Polisi imesema Mohamed Hassan Sheikh Mohamud alipata ajali hiyo Mchana Jijini Istanbul aipokuwa akiendesha...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Somalia yaifungia Mitandao ya Tiktok, Telegram na 1XBet

    Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Mitandao hiyo pamoja na Kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya 1XBET zimebainika kutumiwa na Magaidi pamoja na kueneza Uasherati kupitia Picha na Upotoshaji katika Jamii. Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia iliagiza watoa huduma za Intaneti kutekeleza marufuku...
  18. Nkaburu

    JamiiForums Tanzania Video: Aweka Rekodi mpya ya Riadha, Afisa asimamishwa kazi

    Somalia imemsimamisha kazi afisa wa ngazi ya juu wa riadha baada ya mmoja wa wanariadha wake kuweka rekodi mpya ya mbio za mita 100 - ambayo ni ya polepole zaidi kuwahi kutokea katika mashindano ya kimataifa. Mwanariadha huyo Nasra Ali Abukar, alikimbia na alivuka mstari wa kumaliza kwa sekunde...
  19. V

    JamiiForums Tanzania Mkataba hauifungi DP World isiwekeze Congo na Rwanda. Waliizunguka Djibouti mizigo ya Ethiopia na Somalia ikawa kesi

    Associated Press Djibouti walicheza ngoma bandarini siku ya kwanza. Leo Djibouti wanalia machozi, DP World wamefukuzwa, Djibouti wanasema wameibiwa, wamelipa madola ya mafaini na magharama ya kesi za kimataifa. Hukumu ya siku za karibuni ilitoka mwezi May 2023 Washington DC. Kesi mahakamani...
  20. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Waarabu kwa nini wanaibomoa Somalia na Yemeni? Ni mafuta!

    Wanao fund al shabab ni Saudi Arabia, anaye bomb kuuwa na kutesa watu wasio na hatia Yemeni ambao > 98% ni Waislamu ni Saudi Arabia, Somalia na Yemeni wana one thing in common, mafuta, oil rich Arab Countries hawataki Somalia ichimbe mafuta yao kwa maana ni competitor wamemeamua ku destroy...
Back
Top Bottom