soko

Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Mabadiliko ya kanuni Soko la Tanzanite mwaka 2019 yameipatia Serikali hasara kubwa sana

    Akichangia bajeti ya waziri mkuu, mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo ameongelea sekta ya madini ikiwemo mabadiliko yaliyopelekea kuhamisha soko la madini kutoka Arusha kwenda Mirerani na hasara yake kwa Serikali na mji wa Arusha. Mrisho Gambo: Mwaka 2019 tulianzisha masoko ya madini, Arusha...
  2. B

    JamiiForums Tanzania UDOM wanakimbiza kwenye soko la ajira

    Kwenye hizi nafasi za TRA zilizotoka vijana wengi wa UDOM wamepita. Hii inaonesha jinsi gani udom wanadeliver katika ufundishaji hasa hasa Tehama. Vijana wengi wa tehama kutoka udom wameiva me niliwahi kuwachukua vijana watatu intern wamenifanyia kitu kikubwa....Wakati wa kutengeneza mifumo...
  3. JamiiForums Tanzania Hitilafu ya umeme chanzo cha moto Soko la Karume

    Dar es Salaam. Mkuu wa Wilaya Ilala, Ng'wilabuzu Ludigija amesema chanzo cha moto katika Soko la Karume inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme ambayo imesababishwa na mtu aliyekuwa akiwaunganishia wafanyabiashara umeme bila idhini ya mamlaka ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco). Moto huo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Dar: Soko la Mabegi Karume laungua moto alfajiri ya Aprili 8, 2022

    Vibanda vya wafanyabiashara wadogo 'Machinga' na mama lishe zaidi ya 30 vimeteketea kwa moto katika Soko la Karume Jijini Dar es Salaam, asubuhi ya leo Aprili 8, 2022. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam (ACP), Muliro Jumanne Muliro amekiri kutokea kwa moto huo na kusema chanzo cha...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makampuni Makubwa ya Gas na Madini hayapo soko la Hisa DSE tofauti na Ulaya

    Kwanini Makampuni Makubwa yaliyowekeza nchi mbalimbali duniani ikiwemo Urusi, Ulaya, USA na China yameorodheshwa kwenye stock market za nchi husika Ila Tanzania Makampuni Makubwa ya Gesi na Madini hayapo, Tena mengine yanafanya kazi hapa lakini yapo kwenye masoko ya Hisa ya Ulaya. Au mi...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa soko la hii bidhaa

    Wakuu naomba kujuzwa soko la hii bidhaa mikoani, sehemu hipi hapa Tanzania nikiipeleka itatoka? Niko Dar nataka nijipanue kifikra na kuangalia fursa mikoani target yangu ni Morogoro, Dodoma na Singida. Hizi ni yeboyebo ambazo ni reject so bei yake ipo chini pia. Asanteni.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Soko la kuuzia nyanya kwa Dar es Salaam

    Nataka kulima nyanya baada ya masika maeneo ya zinga bagamoyo wataalam naombeni muongozo wapi nitapata soko la nyanya kabla sijaanza, nataka nianze na Heka moja, Huwa nalima kama bustani tu nyumbani za Kula familia sasa nimeona naweza kulima sehem kubwa kibiashara
  8. S

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  9. JamiiForums Tanzania Hili ndio soko kuu la samaki Moshi, Mji unaondaliwa kuwa Jjiji

    Hapa ndipo walipohamishiwa Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki kutoka eneo la manyema mbuyuni na kuletwa hapa maili sita. Lengo na kuwahamisha wafanyabiashara hao na kuwaleta hapa ni kile kinachodaiwa kuwa ni katika kuiandaa moshi kuwa jiji na hivyo kuondoa mlundikano wa kuwa sehemu moja...
  10. JamiiForums Tanzania Benki kubwa ya Urusi yaaga soko la bara Uropa na kufunga matawi yote huko

    Hii ni baada ya wafanyi kazi wake Warusi kutishiwa waondoke kwenye mataifa yote ya Uropa, na pia kususiwa kwa biashara zote zenye asili ya Urusi. Putin alikua amesubiriwa muda mrefu aingie kwenye kumi nane, Warusi wanateseka kote nje na ndani kwa ajili yake na muda usio mrefu watamgeukia, Urusi...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha tozo ya Tsh 100 kwa kila lita ya mafuta, yasema itapoteza Sh bilioni 30 kwa mwezi

    Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika soko la dunia kwa sababu mbalimbali ikiwemo vita ya Urusi na Ukraine, Serikali ya Tanzania imetangaza kuondoa Tozo ya Sh 100 kwa kila lita katika Dizeli, Petroli na Mafuta ya Taa kwa miezi mitatu. Wizara ya Nishati imetangaza maamuzi hayo ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Soko la Kariakoo na harakati za TANU

    SOKO LA KARIAKOO NA HARAKATI ZA TANU Hii makala nimemwandikia ndugu yangu Kheri Chomba mwenyeji wa Kariakoo kumfariji kuwa asihuzunike pale inapotokea watu wakatucheza shere kwa kujifanya kuwa wao wanaujua mji kutushinda sisi wenyewe. "Kheri siku moja katika miaka ya 1970s soko jipya...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Bidhaa zinazoendana katika soko

    MONOPOLISTIC COMPETITION Hili ni aina ya soko ambalo ni muuunganiko wa monopoly na perfect competition. Lina uhalisia zaidi kuzidi perfect competition. Sifa za monopolistic competition: 1.Bidhaa zinafanana sema zina unatofauti katika ladha, ubora, package nk Mfano: Pepsi na coca, zote ni...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Tanzania wawezeshwe vipi kununua matrekta kwa ajili ya kilimo cha kisasa?

    Wakuu, siku hizi naona kuna makampuni mengi Tanzania yanajitangaza kuuza matrekta. Je sisi wakulima wadogo tutanunuaje hayo matrekta ili kufanya kilimo cha kisasa wakati mtaji wetu ni mdogo. NB: Trekta ndogo ni takribani Milioni 20 za kitanzania kwa nilivyoulizia.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Soko huru lenye ushindani kamili

    PERFECT COMPETITION (Ushindani kamili) Hili soko lina sifa zifuatazo: 1.Wauzaji wote wanauza bidhaa sawa au zinazofanana. 2. Wanunuaji wote wanajua bei ya bidhaa na wapi zinapopatikana. 3. Hamna viziuzi kuwa muuzaji au mnunuzi. 4. Wauzaji ni wengi. 5. Uzalishaji ni sawa na uhitaji wa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Market Structure (Muundo wa soko)

    MARKET STRUCTURE Kwa kiswahili huu ni muundo wa soko au aina ya soko. Kama mfanyabiashara au mtu ambae unataka kuingia katika biashara basi ni vyema ujue aina tofauti za masoko yaliyopo na vigezo vya kuweza kuwa katika aina flani ya soko. Pia kama mnunuaji itakusaidia kujua bidhaa flani ni...
  17. JamiiForums Tanzania TTCL hatarini kunyang’anywa soko

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Tanzania imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) liko katika hatari kubwa zaidi ya kunyang’anywa soko na makampuni mengine ya simu kutokana na upungufu wa mtaji. Hayo yamesemwa leo Jumatano Februari 16, 2022 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Dar: Soko la Mbagala laungua moto

    Soko la Rangitatu jimbo la Mbagala lawako moto usiku huu wa kuamkia leo.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Katika muda mchache niliojiingiza kwenye soko la ajira, nimegundua mambo haya

    1. connection hasa private sector ni muhimu,mfano mimi sehemu niliyojishkiza, hata hawakutangaza nafasi za kazi,isipokua HR anafahamiana na jamaa yangu hivyo nikapigiwa pande. 2. Experience ya kuanzia 3 years kwenye reputable companies ni muhimu sana.ninaposema reputable companies namaanisha...
  20. JamiiForums Tanzania Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…