Stéphanie Alexandra Mina Sokolinski (born 26 October 1985), known professionally as Soko (stylized as SoKo), is a French singer-songwriter, musician and actress.
Habari ndugu zangu,
Natafuta Masoko ya Mkaa na Mbao...Na bei zikoje. Nachana mbao za mti wa Mtondoo na Mkurungu kwa saizi zote kulingana na mahitaji ya mteja.
Nina uwezo wa kusuply gunia 200 hadi 300 kwa mwezi za mkaa...Nina vibali vyote vya wakala wa misitu (TFS) Nasikia pia kuna soko la...
Kariakoo itaendelea kuheshimiwa tuu hata wafanye nini hawawezi kuhamisha wafanyabiashara eti waje kununua bidhaa pale
Hata Mlimani city kipindi inajengwa watu waliaminishwa kua sijui posta au Kariakoo watu watakua hawaendi tena lakini sasa mnajionea wenyewe Kariakoo inakimbiza.
Mi naona...
Muhasibu wa Chanzo cha Mabango anasema wametakiwa kukusanya mapato ya shilingi bilioni 3 kwa mwaka mzima kupitia chanzo hicho.
Aidha anaelezea gharama ya kubandika matangazo kwenye gari. Inafikia mpaka sh10,000 Kwa squer feet 1.
Nakumbuka makampuni mengi sana yalikuwa na utaratibu wa kuweka...
Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Amani iendeleee wananchi .
Baada ya maneno hayo mazito napenda kuchukua fursa hii kuwatanabaisha ndugu zangu wajarsiriamali na wazalendo ,wapenda uhuru wapenda amani kokote mlipo duniani
Huu uzi uwafikie watu wote
Bila kupoteza muda nimekaa na kuwazua nikaona...
Mtengenezaji mkubwa wa magari ya kibiashara kutoka China, Yutong, kwa sasa anachambua soko la nchi Tanzania kwa uwezekano wa kuanzisha kiwanda cha kuunganisha magari nchini Tanzania. Hii ni baada ya kupata mwelekeo mzuri wa soko tangu kuingia kwake nchini.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Yutong Bus...
Salaam,
Wakuu, naomba muongozo wa uzoefu kwenu.
Soko lipi nitapata bidhaa kama Mihogi, Viazi(vya aina zote ), Magimbi......etc.
Vipimo vikoje kwa kila zao.
NB; Nahitaji kwa ajiri ya kuuza rejareja gengeni.
Nawasilisha.
BLUE BAND - watanzania wengi hawalijui neno la siagi, msamiati wa siagi umekuwa blueband kwasababu ni bidhaa iliyoweza kupata umaarufu kwa muda mrefu sana, hii kitu ikipakwa kweye mkate ushushie na chai ni ladha amazing sana.
KIWI - vile vile nayo imekuwa msamiati rasmi wa rangi ya kungarisha...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa, DC na Mkurugenzi wa Temeke wametoa Ufafanuzi
Mbunge wa Jimbo la Mtoni, Abdulhafar Idrissa Juma...
Hii ni Hali ya Miji wa Moshi Manispaa, Mkoani Kilimanjaro.
Hii Hali kwa kweli imeanza kujirudia. Wananchi , wameshuhudia maeneo mengi hasa ya masoko na baadhi ya mitaa ya Kata za pembezoni uchafu ukiwa umezagaa, huko Moshi Manispaa.
Wananchi wameshindwa kuelewa shida Iko wapi? Na tatizo ni...
TANZANIA IPO TAYARI KUTUMIA FURSA YA SOKO LA PAMOJA KUUZIANA UMEME - DKT. BITEKO
📌Ni kufuatia uwepo wa fursa hiyo kwa nchi 13 wanachama wa EAPP
📌Mawaziri waridhia uwepo wa kitengo huru cha masoko cha kuuziana umeme
📌Wanachama EAPP watachangia Megawati Elfu 90 kwenye soko la pamoja la...
Leo naomba nitoe elimu fupi Juu ya Hisa,,,,Hisa ni nini,faida yake ni ipi na mtu unawezaje kushiriki....
Karibuni katika Darasa hili by Mwalimu Architect
Kabla ya kwenda moja kwa moja kwenye Hisa,hebu tujuzane juu ya Kampuni.
1.
KAMPUNI : Ni biashara iliyo sajiliwa kisheria kwa ajili ya kutoa...
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera akamilishe haraka hatua za manunuzi na kupata mkandarasi wa ujenzi wa soko la kisasa la Muleba na kuhakikishe ujenzi unakamilika...
Wafanyabiashara wadogo walioondolewa pembezoni mwa barabara Mwaka 2022 na kupelekwa katika eneo la Kata ya Majengo ilipokuwa Stendi ya Zamani ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe, wamelazimika kulikimbia eneo hilo baada ya sintofahamu ya kusimama kwa ujenzi wa Soko la Kisasa la...
Kuna watu wanatamani kuwekeza kwenye soko la hisa lakini hawajui wangalie mambo gani kabla ya kuzingatia kwenye kuchagua kampuni ya kununua hisa zake.
na hili suala lina wakumba mpaka baadhi ya waliowekeza kwenye hili soko,wanakuja kujilaumu baadaye.
Leo tuangalie mambo muhimu ya kuzingatia...
Kutokana na Soko la Kijichi lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Temeke ambalo lilijengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu katika Jiji la Dar es Salaam (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), kuonekana limetelekezwa, ufafanuzi umetolewa.
Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.