Software hizi lazima ziwepo kwenye PC yangu, wewe?

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k

Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet.

Google chrome kwajili ya kuchekia mafaili ya pdf, Napenda jinsi ilivyo kuzidi adobe acrobat, foxit, n.k

IDM kwajili ya kudownload vitu.

Picasso kwajili ya kuangalia picha.

Vlc kwajili ya kuchekia videos.

Notepad ++ hii naipenda kuliko notepad.

WinDirStat kwajili ya kuscan mafaili yote ya kwenye pc ili kujua mafaili gani huenda ni makubwa na wala siyahitaji.

Miscrosoft word na exel 2007, Hapa nimekufa nimeoza sihitaji matoleo mapya

Photoshop kwajili ya kueditia picha

7zip kwajili ya kuextract mafaili ya .rar

Anti virus inayokujaga na windows 10 inanitosha

Ni kama ivyo yani, haya twende kazi wewe unazo zipi,
 
Vipi kuhusu file finder kama Ava find, Everything?
 
Kwangu media player ni moja tuu, nayo ni
VLC (movies, music, etc)
Adobe illustrator kwa kazi zangu, na Ps, Id, Lr na Pr.
Script writing ni Final Draft
Word processing ni MS Office yoyote tuu (2007 au 2016),
Browser yangu kuu ni Chrome
na kwa jinsi natumia sana simu kufanya mambo zangu, natumia browser mbili, chrome (kwa ajili ya infos, na browsing informations,etc) na phoenix (hii naipenda kwa kuwa inanipa mambo yote nisiyoweza kuyafanya kwenye chrome. Mf.downloads, torrenting, whatsapp statuses, etc.)

Kwa jinsi natumia windows 10, sina haja ya Ava find wala ndugu zake; sina haja ya uTorrent wala ndugu zake, n.k.
 
Daah office 2007?unapitwa na mengi mno...sasa hivi tunatumia microsoft 365,
Hauna haja ya kutype we unaongea tuu (dictate) computer yenyewe inacharaza tuu. Upgrade ifike 2019
Hii unalipia...sio ya bure.
 
Naanza mimi, Mimi PC yangu ni kwajili ya matumizi ya kawaida na kitaftia pesa mtabdaoni kuanzia blogging, freelance , n.k

Mozilaa firefox kwajili ya kuperuzi internet.

Google chrome kwajili ya kuchekia mafaili ya pdf, Napenda jinsi ilivyo kuzidi adobe acrobat, foxit, n.k

IDM kwajili ya kudownload vitu.

Picasso kwajili ya kuangalia picha.

Vlc kwajili ya kuchekia videos.

Notepad ++ hii naipenda kuliko notepad.

WinDirStat kwajili ya kuscan mafaili yote ya kwenye pc ili kujua mafaili gani huenda ni makubwa na wala siyahitaji.

Miscrosoft word na exel 2007, Hapa nimekufa nimeoza sihitaji matoleo mapya

Photoshop kwajili ya kueditia picha

Anti virus inayokujaga na windows 10 inanitosha

Ni kama ivyo yani, haya twende kazi wewe unazo zipi,
Mm napendaga kutumia software zilizokuja na PC. VLC tu ndio naongeza. Ila kwa vingine kma software ipo tayari kwenye windows 10 siongezi nyingine. Microsoft Edge, Photos App, Movies app, File explorer, winRAR, Android studio, Intelij IDEA, VScode
 
Asante sana nimekukubali hapo kwenye Android studio na VSCode💪
 
Pc yangu ili iwe imekamilika ni lazima na software zifuatazo.

Media player: VLC
Browser: Chrome
Document processor: Ms Word
Digital Audio Workstation: Fl studio, Cakewalk and LMMS
Photo editing: Adobe photoshop
Video editing: Adobe premier and Adobe After effects
3d modeling: Blender and Makehuman
 
Kwangu media player ni moja tuu, nayo ni
VLC (movies, music, etc)
Adobe illustrator kwa kazi zangu, na Ps, Id, Lr na Pr.
Script writing ni Final Draft
Word processing ni MS Office yoyote tuu (2007 au 2016),
Browser yangu kuu ni Chrome
na kwa jinsi natumia sana simu kufanya mambo zangu, natumia browser mbili, chrome (kwa ajili ya infos, na browsing informations,etc) na phoenix (hii naipenda kwa kuwa inanipa mambo yote nisiyoweza kuyafanya kwenye chrome. Mf.downloads, torrenting, whatsapp statuses, etc.)

Kwa jinsi natumia windows 10, sina haja ya Ava find wala ndugu zake; sina haja ya uTorrent wala ndugu zake, n.k.
Hiyo Phoenix imekaaje je nitofauti na Knox na blue stack katika ubora....?

Na ina tofauti gani na hizii nyingine...?
 
Kwangu ukitoa Ms office 2019, plus adobe master collection, sketchup, chief architect, fl studio baaaasi
 
Back
Top Bottom