Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,156
- 31,043
Ni software gani ambayo ni easy kufanya hard subtitling, yani ninamaanisha kufanya srt, au ass file kuwa completely merged na mp4 video. Nimekuwa nikitumia MKVnxtool lakini inachokifanya ina work kwenye VLC tu ila nikiplay file na player nyingine subtitles haziji au nikimtumia amtu haioni subtitles, pia VLC nikijaribu ina crash pia.
Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa