Nawezaje kutuma sms moja kwa watu wengi (bulk sms) software?

Mzambuli911

Member
Aug 25, 2020
15
15
Hello wakuu hakuna software ya kutumia mfano watu 1000 message kwa wakati mmoja kama IPO ya free itapendeza sana kama ilivyo manychat kwa fb messenger
 
Hello wakuu hakuna software ya kutumia mfano watu 1000 message kwa wakati mmoja kama IPO ya free itapendeza sana kama ilivyo manychat kwa fb messenger

Bulk SMS sender software itafute hiyo kisha komaa.

Kama vipi kuna hawa provider

Fasthub, sms.co.tz na bongolive wasiliana nao kwenye site zao.
 
Back
Top Bottom