Developer software engineers idea

Noswerd malila

Senior Member
Jan 12, 2014
143
75
Habari ya muda huu wakuu

Leo nimekuja na wazo ambalo tunaweza kulibadili na likaleta matokeo mazuri ambayo yatakuwa na matunda basi kama wewe ni Web Designer au developer ni PM tuweze kuelekezana
 
nina idea flani ambayo inaweza kukufanya ukawa millionaire zaid ya laizer....now najifunza coding....hii kitu akigundua mzungu itakua balaa nilikua natafuta mtu tufanye sema wabongo hawaaminiki nitatoka kivyangu....
 
Jack ma angekua kama wewe tusingekua na alibaba, akina facebook wangekua kama wewe tusingekua na fb.
 
Hahaha mkuu kila mtu anapita kwa njia yake....ni kitu kidogo ambacho duniani wanakikosa ukikitambua wewe ni future billionaire....tatizo waafrika nuksi tu unashangaa ww uliyetoa idea wanakucha kwenye mataa au mtu ananyakua fasta anajimilikisha...
 
Sijui watu wanaogopa nini... mie nimeweka ideas kibao kwenye uzi mbalimbali humu...na sioni kama ni shida..
 
Una uhakika Silicon Valley hawajaja na idea kama yako..?? Funny

Back
Top Bottom