Tanzanian developers, Software engineers tujadili hii multi billion dollar idea

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
Habari za kwenu waungwana natumaini mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku ya kutafuta ubillionaire katika nyanja yetu pendwa ya Technology, sasa basi leo naomba nizungumze na software developers, mobile developers na engineers mbalimbali wa maswala ya Artificial Intellience, Cloud computing na Software as Service

Dunia imetuletea Netflix, Hulu, Showmax, Amazon prime na platforms nyingi

Dunia ile ile imetuletea Deezer, Audiomack, Boomplay and other

mie C.T.U nawaletea idea ya RASA (Radio as a service anywhere)

RASA ni nini? RASA ni software as a service cloud computing platform ambayo itakuwa inaunganisha radio stations na wasikilizaji wake kwa kutumia Artificial Intelligence argorithims

yaani ni platform ambayo itakuwa imetengenezwa kwa kutumia technology tatu hizo

Platform hiyo itakuwa inafanya kazi na radio stations kwa ku transfer mawimbi hayo kutoka studio na kusafirisha kwenye cloud system yetu then msikilizaji atakuwa anasikiliza kipindi kile intantly, msikilizaji atakuwa anauwezo wa kutoa maoni ya kipindi kile kwa kutumia platform anayosikilizia na kufika moja wa moja kwa mtangazaji kwenye computer yake pale studio

AI integration itamsaidia kuweza kuweza kupata ujumbe kipindi kipindi kikikaribia kuanza, hii itawasaidia watu ambao ni wapenzi wa radio VOA ya tabora kuweza sikiliza vipindi vya VOA instnantly popote duniani alipo LIVE na kuweza kutuma ujumbe mbalimbali wa maandishi na sauti kwa studio

kutakuwa na platforms mbili for radio stations and for listerners

for radio stations ni software itakayokuwa installed kwenye computer ya studio ambapo mtangazaji atakuwa anaongea na kusikika moja kwa moja na watumiaji wa RASA for listerners kupitia simu zao za kiganjani

kwa radio stations itasaidia kwanza kuweza kusikika duniani na kwa watu wengi Zaidi lakini pia zile streamings ambazo zitakuwa zinasikilizwa na watu mbalimbali duniani ni hela kwani wanaweza kulipwa as loyalty na RASA (hii ni ishu nyingine kabisa)

kwa Tanzania hii project ni ngumu sana kuinuka na kuwa kubwa so italazimu kuhamia marekani kwa ajili ya execution ya product na kuanzisha kwa marekani lengo ni kuweza kukua kwa haraka na kwa muda mfupi

hivyo basi ili kuweza kuleta ubobezi katiika platform hii development center itafunguliwa Santa Monica, CA

why santa Monica? ikumbukwe kwamba Los Angels ndipo heart ya media technology duniani so kwa ajili ya ku acces best talent, right ventures etc ambapo kwa kuanza tutachukua ofisi katika wework co working with 10 hired engineers specialized in cloud computing, saas and AI

Hivyo basi katika kuanza tutaanza MVP katika radio stations 50 zilizopo Los Angels then tuta move kwenda maeneo mengine na miji mingine hivyo kwa kuanza tutahitaji $4M as seed investment kwa ajili ya
1) Office at we work santa monica for 1 year
2) Team and developing the platform for the
3) preliminary expenses

MVP ikifanikiwa tuta rise other venture funds with series A etc

Nakaribisha maoni
 
Ukiandaa business plan nzuri hata hapa bongo unapata investors. Platform kma hyo ili ifikie masses inahitaji funds nyingi for marketing. Believe me, hata hapa bongo utapata watu wengi tu.
 
Exactly ila itakuwa inatumia cloud computing installation ya data, SaaS kwa radio hosts na AI integrated kwa users
Kifupi ni kama unatengeneza internet FM RADIO ila yenyewe inakuwa na njia ya live feedback kwa msikilizaji na mtangazaji?
 
Yeah sure lakini nilikuwa nataka kuanzia USA ili ije law ukubwa zaidi duniani
Ukiandaa business plan nzuri hata hapa bongo unapata investors. Platform kma hyo ili ifikie masses inahitaji funds nyingi for marketing. Believe me, hata hapa bongo utapata watu wengi tu.
 
Wazo limekaa vyema sana ila kwanini usiwaze Global Vision Local Win maana ni vyema ukaanzia level ya hapahapa Africa[Tanzania] alafu ukajitanua kwa kuenea sehemu zingine za ulimwenguni.
 
Kuna changamoto kubwa kwa kuanzisha platform kwa Africa then kuipeleka ulimwenguni mfano Availability of funds, availability of top notch software engineers and developers (huu ni ukweli mchungu), na mambo mengi kadha wa kadha
 
Top quality devs kwa Africa na hasa Tz ni tabu sana. Kma dev ni very skilled na passionate na kazi yake lazima ukute ameshaajiriwa kwenye company kubwa au ni free lancer. Wanaotafta kazi wengi ni low quality sana
 
Unless mpaka u outsource kutoka Andela na kwenyewe ni changamoto
Top quality devs kwa Africa na hasa Tz ni tabu sana. Kma dev ni very skilled na passionate na kazi yake lazima ukute ameshaajiriwa kwenye company kubwa au ni free lancer. Wanaotafta kazi wengi ni low quality sana
 
Wazo limekaa vyema sana ila kwanini usiwaze Global Vision Local Win maana ni vyema ukaanzia level ya hapahapa Africa[Tanzania] alafu ukajitanua kwa kuenea sehemu zingine za ulimwenguni.
Uanze Africa then utanuke Duniani haiwezekani, uanze duniani then utanuke Africa ndio njia.
 
Fanya mambo mkuu,na bongo tuingie kwenye nchi za IT kama,India,
Mwishowe tuwe na IT tycoons kama,zuckerbsck
 
Idea aside. Can we please stop throwing "AI" around for kila kitu? what you described is a notification system, it has nothing to do with AI.
Maybe anataka kutumia AI models for recomendations.
 
It depends na aina ya Notification system hiyo mathalan kwa mfano system itakuwa na utambuzi wa wewe mtumiaji aina ya vipindi unavyotaka, aina ya mziki, na aina ya theme ya vipindi, sanjari na hiyo unaweza pata information ya eneo ulipo kwa kuwa system imetambua eneo hilo...tell me it has nothing to do with AI

Back
Top Bottom