siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wote wa Corona wa Faeroe Islands wapona, hakuna kifo, Waziri Mkuu aanika siri ya mafanikio

    Wagonjwa wote 187 walioambukizwa covid-19 katika kisiwa cha Faeroe kilichopo kaskazini mwa UK wamepona na hakuna aliyekufa. Faeroe ni nchi inayojitegemea sio sehemu ya UK. Waziri mkuu wa Faero Bárður á Steig Nielsen awashukuru watu wake na kutaja siri ya ushindi huu: 1. Kufunga shughuli...
  2. JamiiForums Tanzania Siyo siri, miradi mikubwa kama SGR, inaota nyasi. Hali ni ngumu!

    Hii picha ya front page leo 11/5/2020, Daily News imenifikirisha sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona: Nadharia za kuficha ukweli zaibuka kuhusu kifo cha mtaalamu wa Corona, Bing Liu

    Haki miliki ya pichaUNIVERSITY OF PITTSBURGH Mauaji ya raia wa China, mtafiti wa masuala ya virusi vya corona kwenye ardhi ya Marekani yamesababisha nadharia mbalimbali duaniani kuwa kuna sababu iliyojificha kuhusu kifo chake. Bing Liu, profesa msaidizi mwenye miaka 37 katika Chuo Kikuu cha...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona ripoti kamili ya uchunguzi ikawa ni siri ya waliounda kamati ya uchunguzi

    Huu ni mtazamo wangu kutokana na historia ya Jamuhuri husika ambapo kwa nyakati tofauti zimekuwa zikiundwa tume/kamati mbalimbalu za uchanguzi na mara baada ya kamati hizo kukamilisha kazi na kuziwasilisha kwa walioziteua,matokeo ya kamati hizo hubaki kuwa siri au ripoti kamili ya uchunguzi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Siri nyingine ya mabeberu kutuandama hii hapa, tuna swag sana, tupo pazuri

    Niliangalia ile hotuba ya Profesa Kabudi United Nations General Assembly kimoyomoyo nikasema tumekwisha aisee, yaani kamera ilikuwa iki pan na ku-zoom kwa mabeberu unaona jinsi yanavyokunja uso kwa WIVU haswa pale profesa wetu bobefu la sheria na diplomasia liliposema kwamba ndani ya miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Uhamiaji Dar haitoi passport kisa hakuna mtandao wa TTCL. Ukitoa kitu kidogo unapatiwa kwa siri sana

    Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako" Nikajiuliza...
  7. JamiiForums Tanzania Nyaraka za Siri za Mali za Kifamilia zina hifadhiwa wapi?

    Asanteni Kwa Ushauri.. Nimeufanyia Kazi.
  8. JamiiForums Tanzania Haji Manara: Nimeshamuonya DC wa Arumeru Jerry Muro akiendelea Kunishambulia natoa Siri yake Kubwa mno na Mbaya sana

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa leo Jumatano tarehe 8 Mwezi April 2020 alipokuwa akizungumza katika Kipindi bora cha Michezo cha Mchana chaa Kipenga Extra kinachorushwa na Redio bora kabisa ya Kiswahili Afrika Mashariki ya East Africa Radio Msemaji wa Klabu Kubwa, bora na iliyobarikiwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Ni nini siri ya Manispaa ya Ubungo ( Chadema) kutoathiriwa na " Hamia Hamia CCM" hadi Meya wake anastaafu kwa Heshima?

    Kijiografia manispaa ya ubungo inaanzia Kigogo round about hadi Kibamba kwa maana ya Kigogo, Mburahati, Mabibo, Manzese, Ubungo, Kimara,, Mbezi, Msakuzi, Kwembe hadi Kibamba. Meya wa manispaa ya ubungo ni mh Jacob Boniface kupitia Chadema hivyo manispaa hiyo iko chini ya chama chake. Meya...
  10. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea (CHADEMA) kufanya mkutano na waandishi wa habari Aprili 2, 2020

    Mbunge wa Jimbo la Ubungo Mhe. Said Kubenea, kesho Alhamis Aprili 2, 2020 atazungumza na waandishi wa habari moja kwa moja kutoka ofisi za gazeti la MwanaHALISI Kinondoni, jijini Dar es salaam.
  11. JamiiForums Tanzania Kama sio mama yako, basi ni baba, bibi au babu yako ndo wanajua siri ya hali yako ya maisha

    Rejea kichwa cha somo hapo juu chausika. Wakati mwingine si vibaya kushirikishana uzoefu katika maisha tuliyopitia. Kwa umri wangu nimeona mengi na ninajua ninachokisema na walio wa kweli watanielewa. Misingi ambayo familia zoote za Kiafrica, zimejengwa katika kitu kinachoitwa mila na desturi...
  12. JamiiForums Tanzania Isabella Mwampamba, mgonjwa wa kwanza kugundulika Corona Tanzania aomba msamaha kwa Watanzania

    Isabella Mwampamba, Mtanzania wa kwanza kugundulika kuwa na Virusi vya Corona hapa nchini, leo amezungumza na Watanzania kwa njia ya simu kupitia Mkutano wa Waandishi wa habari, na kuwaomba radhi Watanzania kwa kuwa Mtu wa kwanza kuingia na Virusi hivyo hapa nchini.
  13. JamiiForums Tanzania Rayvanny afichua siri ya Harmonize kuondoka WCB

    Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi. Amefunguka kwa kusema mwanzo alijua mwenye kosa ni Uongozi wa Wcb Wasafi akawa anawalaumu management...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM si wamoja, hamna siri. Kumbe kamati kuu yenu iligawanyika pakubwa kuhusu sakata la kufukuzwa Membe?

    Kati ya wajumbe wote wa kamati kuu ni watu watatu tu pamoja na msemaji wao ndiyo waliounga mkono Membe kufukuzwa. Hata aliyeongoza Tume ya Maadili, yaani Mzee Philip Mangula alipinga Membe kuvuliwa uanachama wa chama hicho, imedokezwa. Wajumbe wengi walipendekeza Benard Membe kufungiwa kufanya...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Muimbaji Queen haizel atishia kukata sehemu zake za siri

    Wiki hii baadhi ya watu maarufu kutoka Ghana wametrend Sana kutokana na kauli zao ukiachana na kauli ya mchungaji Nigel Gaisie aliyedai atamfufua Kobe Bryant kama atapata 10% ya Mali zake. Mwanamziki mrembo Queen haizel amefunguka hiv karibuni wakati akifanyiwa interview na Moja ya redio...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini siri kubwa kwenye $300m ya Barrick?

    Kwanini wananchi wanasahaulishwa kwa hii ahadi? Hata serikali ilisema tu kwasababu Barrick ilibidi waambie wamiliki wa share zao wazi. Sasa hizi pesa ni siri kwanini? Zinatumika kufanya nini?. Inaelekea zitaenda kwenye chaguzi! Maana haziko kwenye budget yoyote. Mimi nina wasiwasi na huu...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Ila sio siri, Harris Kapiga wanakera!!

    ni huyu Machugu wa star tv na huyu kapiga wa clouds tv! nakerekwa mno na tabia zao zifuatazo ambazo ambazo mi huwa naona hazina maana; 1. kujichekesha chekesha. muda wote wa habari wamekuwa ni wa kujilazimisha kuchekacheka na kutabasamu....huyu Kapiga ktk eneo hili ndo amezidi maana si kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: Wabunge wa Seneti nchini Marekani wakiuka Kanuni za Bunge kwa kupeleka vitafunwa ukumbi wa Bunge

    Wabunge wa Bunge la Seneti nchini marekani wamelalamikiwa na wanahabari kwa kuvunja Kanuni Zinazosimamia Shauri la Kumwondoa Raisi madarakani (Impeachment Trial Rules) kwa kuingiza pipi na vitafunwa kwa siri kwenye Ukumbi wa Bunge. Kwa mujibu wa kanuni hizo, vyakula na vinywaji vimekatazwa na...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania inalipwa mabilioni ya fedha toka nje ambazo zimefanywa siri na serikali hazina rekodi, tumenunulia ndege, na kujenga SGR na Stiegler nk

    Tetesi zlizopo ni kwamba serikali ya Tanzania imekuwa ikilipwa mabilioni ya fedha na kampuni za nje lakini fedha hizi zimefanywa siri bila kuingizwa katika kasri za serikali, na hivyo kuwa nje ya wigo wa ukaguzi wa serikali kutia na CAG. Hili ndilo simulizi lililopo. Nitawawapa dondoo za...
  20. JamiiForums Tanzania Wanafunzi kuanza kupiga kura za siri ili kuwataja walimu wenye mahusiano ya kimapenzi ya wanafunzi

    MKOA wa Rukwa wanafanya mpango wa wanafunzi kupiga kura za siri ili kuwabaini walimu ‘wakware’ linatarajiwa kuanza wakati wowote kuanzia sasa Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo kwa kile alichodai kuongezeka kwa walimu wa kiume katika shule za msingi na sekondari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…