Nyaraka za Siri za Mali za Kifamilia zina hifadhiwa wapi?

Unaweza kuziweka kwa mwanasheria, benki au mahakamani. Ni sehemu salama kwa kutunza nyaraka kama hizo hasa, wosia.
 
Duh hii point ndio sijswahi kuielewa 'watu kugombania mali za mtu aliyefaliki".

Hivi kama mnaamini katika dini mnadhani mzee wenu anaweza kupumzika kwa amani kama vita zinaendelea kwenye familia kisa mali alizotafuta kwa nguvu zake..

Btw mnaweza kutafuta mwanasheria atawapa ushauri jinsi ya kifanya hapo.
 
Umeongea kinyume chake, kama wanaamini dini watajua kuwa kupumzika kwa amani au vinginevyo hakuathiriwi na lolote linaloendelea huku bali matendo ya marehemu alipokuwa hai
 
Mzee kafariki watoto wote wanapigania mali, madhara ya familia (two-in-one) hayo. Acheni ubahili, tafuteni mwanasheria awape ABC za namna ya kutatua matatizo ya familia.

Lakini pia, kila mmoja wenu afanye kazi ili amiliki mali zake binafsi(sorry nimetoa ushauri japo hukuutaka)
 
Umeongea kinyume chake, kama wanaamini dini watajua kuwa kupumzika kwa amani au vinginevyo hakuathiriwi na lolote linaloendelea huku bali matendo ya marehemu alipokuwa hai
Sasa wazee wa dini wanapomuombea marehemu au zile ibada za mazishi huwa zinasaidia nini??
 
Ndugu wana Jamii Forum!
Naombeni Ushauri! Famili yangu ina migogoro ya mali za thaman zilizo achwa kama Urithi .. Familia ina Pande Mbili mke mkubwa na mke mdogo.. watoto Jumla tupo 9 kutoka pande zote mbili..

Baada ya Mtafaruku mkubwa ulio tokea baada ya Kifo cha Baba cha ghafla.. ambapo document zote muhimu amezishikilia Mke mkubwa na Inafikia mahali wanataka kuuza Mali bila kufikia muafaka na pande zote.. baada ya mzozo mkubwa!

Kukafanyika kikao cha wana familia na kufikia muafaka kuwa kila bande zitoe mtu mmoja mwaminifu wakafungue Joint Acc kwenye bank alafu hizo Nyaraka za Mali zi hifadhiwe katika account hiyo na hao watu hawata kuwa na uwezo wa kuzitoa bila vikao vya familia kukaa na kuamua kama ni mteja amepatikana ili kuuza au kama kuna uhitaji wa nyaraka yoyote lazima pande zote zikitane ziamue.

Baada ya kikao na kuridhiana hilo sasa changamoto ipo kwenye mabenk yetu hapa Tanzania yalisha stopisha ule utaratibu wa Kihifadhi nyaraka hakuna bank inayo fanya tena .

SASA OMBI LANGU KWENU NIKUJUZWA JE ! TUNAWEZA KUPATA SEHEMU GANI SALAMA ZA KUHIFAHI HIZO DOCUMENTS, MAANA BILA HIVYO BAADHI YA NDUGU WENYE TAMAA WANATAKA KUZULUMU KISIRISI.. RITA WAMESEMA HAWA HIFAHI TENA NYARAKA.

JE TUFANYEJE NAOMBE MWENYE USAHURI AU ALI WAHI KUHIFADHI NYARAKA KWENYE TAASISI ANISAIDIE WAZO JE SIKUIZI SEHEMU GANI NI SALAMA KWA SWALA HILI??

NATAMGULIZA SHUKRANI.
kwa mganga mkuu
 
Back
Top Bottom