siri

Siri (pronounced , si-RIE) is a virtual assistant that is part of Apple Inc.'s iOS, iPadOS, watchOS, macOS, and tvOS operating systems The assistant uses voice queries and a natural-language user interface to answer questions, make recommendations, and perform actions by delegating requests to a set of Internet services. The software adapts to users' individual language usages, searches, and preferences, with continuing use. Returned results are individualized.
Siri is a spin-off from a project originally developed by the SRI International Artificial Intelligence Center. Its speech recognition engine was provided by Nuance Communications, and Siri uses advanced machine learning technologies to function. Its original American, British, and Australian voice actors recorded their respective voices around 2005, unaware of the recordings' eventual usage in Siri. The voice assistant was released as an app for iOS in February 2010, and it was acquired by Apple two months later. Siri was then integrated into iPhone 4S at its release in October 2011. At that time, the separate app was also removed from the iOS App Store. Siri has since become an integral part of Apple's products, having been adapted into other hardware devices over the years, including newer iPhone models, as well as iPad, iPod Touch, Mac, AirPods, Apple TV, and HomePod.
Siri supports a wide range of user commands, including performing phone actions, checking basic information, scheduling events and reminders, handling device settings, searching the Internet, navigating areas, finding information on entertainment, and is able to engage with iOS-integrated apps. With the release of iOS 10 in 2016, Apple opened up limited third-party access to Siri, including third-party messaging apps, as well as payments, ride-sharing, and Internet calling apps. With the release of iOS 11, Apple updated Siri's voices for more clear, human voices, started supporting follow-up questions and language translation, and additional third-party actions.
Siri's original release on iPhone 4S in 2011 received mixed reviews. It received praise for its voice recognition and contextual knowledge of user information, including calendar appointments, but was criticized for requiring stiff user commands and having a lack of flexibility. It was also criticized for lacking information on certain nearby places, and for its inability to understand certain English accents. In 2016 and 2017, a number of media reports have indicated that Siri is lacking in innovation, particularly against new competing voice assistants from other technology companies. The reports concerned Siri's limited set of features, "bad" voice recognition, and undeveloped service integrations as causing trouble for Apple in the field of artificial intelligence and cloud-based services; the basis for the complaints reportedly due to stifled development, as caused by Apple's prioritization of user privacy and executive power struggles within the company.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Chukueni Siri hii

    Ipo hivi sisi binadamu ni roho, siku tulilifamu hili tutakuwa unstoppable kwenye Kila eneo la maisha yetu. Hawa kina Elon musk, Bill gates na mwenzao wengi walifahamu Siri hii wakatumia Nguvu hiyo kumanipulate Mambo mbalimbali kwenye maisha yao hadi sasa they are unstoppable.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Mwendazake wamemwaga ugali, na wa Mama wamemwaga mboga, sasa ni kuvujisha tu siri

    CHama cha Mafisadi, hivi sasa kiko katika mgawanyiko baina ya wafuasi wa Mwenfazake, na wafuasi wa Mama, na matokeo yake ni chuki iliyopo baina ya pande hizi mbili na chuki hii ndio chanzo cha kuvuja kwa mambo kadhaa ya siri tunayoyasikia sass(vita ya panzi). Wakati watu wengi wanaamini ile...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya mtu yana uzuri asilimia 30 tu zinazobakia asilmia 70 ni uchafu mtupu ambao hubaki siri yake maisha

    Siyo kwa ubaya lakini! Naomba kuwatia moyo wenye uwezo mdogo kama mimi wa ugali na dagaa na tembele! Ukweli ni kwamba sisi tuko bora kuliko hao wanaoonrkana wamefanikiwa! Tunachofanya ni halali, tunachochuma ni jasho la haki tunagawana na familia maisha yanasonga! Wanaoonekana wamefanikiwa...
  4. comte

    JamiiForums Tanzania Kinana atoboa siri ya mchakato wa maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka vyama vya upinzani nchini kuwa waungwana na wenye shukrani kwani Rais Samia amefanya mambo mengi mazuri hivyo anastahili kuheshimiwa. Akizungumza na wanachama wa CCM Mkoa wa Tabora, Kinana...
  5. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siri iliyojificha: Kama huna sifa hizi sahau kuteuliwa au kuchaguliwa kuwa kiongozi hapa Tanzania

    Ndugu mtanzania mwenzangu, Wewe unayetamani siku moja kuwa kiongozi wa taifa hili kwa kuteuliwa au kuchaguliwa ni vyema ukafahamu siri hizi ili kama hauna sifa hizi uanze kujipanga mapema. Zipo sifa ambazo ukiwa nazo ndipo utaweza kuwa kiongozi wa taifa hili. Na hizi zinatumika katika mataifa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Mke aiba namba za siri za mumewe na kujitumia pesa kila mwezi na kujinunulia vocha kila siku. Nimemwambia amwache usiku huu huu

    Baada ya kuinasa amekuwa akijirushia 5,000-10,000 mara mbili kila mwezi na muda wa maongezi wa tshs 1,000-2,000 kila siku. Mume anataka amuache sasa hivi na mimba yake akilalamika kuwa ni mwizi na asiye na shukrani kwani amekuwa akimtunzia ndugu zake na mtoto aliyemkuta kwa miaka mingi tu huku...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria wa Wizara afichua siri nzito mkataba wa bandari

    Mwanasheria wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Mohamed Salum amesema mkataba baada ya kusainiwa Oktoba 25, 2022 ulipelekwa Bungeni Februari 2023 kwa ajili ya hatua za uridhiwaji ambapo alisisitiza kuwa kabla ya Azimio halijapelekwa Bungeni lilipitiwa na Mfumo mzima wa Serikali ambao ni...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tetesi: SIRI IMEVUJA: CHADEMA mikononi mwa kampuni ya BELG Sea International

    SIRI IMEVUJA Wapatiwa malipo makubwa ya Kupinga Mkataba wa Uwekezaji katika Bandari. Taarifa zinasema Kampuni kutoka Ubelgiji inayojulikana Kwa Jina la BELG SEA INTERNATIONAL ambao walikuwa washindani wakubwa wa DP WORLD inaitumia CHADEMA chini ya Tundu Lissu kuvuruga uwekezaji. Kamati kuu ya...
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi Kajala na Jonas Mkude watafanya mapenzi yao ya siri mpaka lini?

    Kajala na Jonas wanajisumbua tu kujificha na penzi lao la wizi wizi . Hilo penzi lao watu tunalijua kitambo wenyewe eti wanadhani wanafanya siri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Halafu mbaya zaidi Kajala alianza ku date na Mkude kipindi ambacho yupo na Harmonize ,halafu sasa Harmonize na Mkude walikuwa ni mabest ...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kama mikataba hii ya rasilimali ni siri, mbona mahakama za kimataifa hazifanyi mjadala wa siri? Kwanini watawala waendelee kufanya siri?

    Kuna kaukimya fulani kanatawala hapa nchini kwa watawala wa chama cha mapinduzi kujitenga kabisa na kile kinachotokea mahakama za kimataifa. Magufuli nakubaliana naye kwamba alichokifanya yeye ilikuwa kutuondoa kwenye hii mikataba ili tuanze upya na mikataba yenye manufaa kwa umma. Wakati huo...
  11. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Licha ya umasikini wetu wa taifa hapakosekani kundi la watu wenye nafuu, hata kwenye ukoo masikini wale wenye magari hutokea koo maskini ila wao kama wao wapo mbali kuzidi wenzao, Tukigusia makabila yenye asili ya hapa kwetu, wachaga wapo mbali mno, yapo makabila yanayofatia ila ni gepu refu...
  12. The Khoisan

    JamiiForums Tanzania Kama Wakenya wanalalamika kuhusu DP World, kuna haja ya Tanzania kuendelea nao?

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  14. Clayton Paul

    JamiiForums Tanzania Picha na Utawala wa Siri

    SWALI KUBWA picha ulizoziona zimekuathri kwa namna gani au kwa ukubwa gani ? (Maamuzi, Mawazo, Hisia, Maisha, Matendo)
  15. Expensive life

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya mwanaume mrefu mweusi na wanawake?

    Kwa utafiti nilioufanya asilimia 90 ya wanawake wanapenda kudeti na mwanaume mrefu mweusi au mweupe. Wanawake embu tujuzeni sisi wanaume wafupi tunazidiwa nini na hawa warefu?
  16. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Sabasaba Mkoani Lindi ajikata sehemu zake za Siri

    Kijana Simon Nyamsika (30) mkazi wa sabasaba mjini Lindi, amelazwa katika wodi ya uangalizi maalumu (ICU) katika hospitali ya rufaa ya Sokoine mkoani Lindi kwa kile kinachodaiwa kuwa amekata sehemu zake za siri kwa kitu chenye ncha kali na kuiondoa kabisa sehemu hiyo Taarifa inasema kijana...
  17. kavulata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenda Pre-Season nje ya nchi kwa timu masikini?

    Tanzania hakuna timu tajiri, timu nyingi kama sio zote hazina misuli ya fedha za kusajili wachezaji wazuri sana na mabenchi ya ufundi class ya juu. Timu nyingi zinashindwa kuwalipa makocha na wachezaji signing fees zao na mishahara kwa wakati, wachezaji hawana bima na hazina viwanja vyao...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Siri ya utajiri: Hizi ndio siri nne zitakazo kufanya uwe tajiri

    Siri kubwa ya mafanikio katika maisha ni: 1. Kuwa na nidhamu na pesa, 2. Kuwa na marafiki wa kukujenga, 3. Kumuomba Mungu huku ukifanya kazi kwa bidii, 4. Tumia muda wako kufanya kazi; Kama ni biashara hakikisha unatumia muda wako katika biashara hiyo. Naomba tumalizie hapa hasa sisi vijana...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini naamini hakuna mikataba ya siri tena! Hata ya kibiashara

    Mimi naamini zile enzi za mikataba ya kisiri ya serikali na wafanyabiashara tofauti kama Rostam umepitwa na wakati. Sababu ni hii siri zilizokuwepo huko nyuma zilikuwa kwasababu mikataba ni mibaya na aibu kwa jamii. Sasa tumefika sehemu ambayo hata mikataba mibaya bunge letu linapitisha wazi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna Siri imejificha?

    Muda mfupi baada ya chombo Cha Titan kupoteza mawasiliano na kupotea kabisa tunasikia habari za Wanamgambo kutaka kuvamia Moscow, hapa ndio penye maswali sana. Kwa nini, matukio hayo yafuatane kwa karibu? Kwa nini tukio la kupotea kwa chombo Cha TITAN linaezwa na tukio la Wagner kutaka...
Back
Top Bottom