sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Bwawa la maji la Farkwa, Dodoma sio simulizi tena, kazi inafanyika kuibadili Dodoma na viunga vyake

    https://www.instagram.com/p/DdhhVstAk4m/
  2. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wananchi Sio Maadui: Wajibu wa Vyombo vya Ulinzi

    Kwenu vyombo vya ulinzi na usalama — Polisi, JKT, JWTZ, TISS na vyombo vingine vinavyobeba jukumu la kulinda taifa. Kumekuwa na mijadala na matamko yasiyo rasmi kutoka kwa baadhi ya watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama kutoa kauli zinazoweza kutishia wananchi, kupambana nao au kuwachukulia...
  3. JamiiForums Tanzania Pamoja na kujitahidi kula mara moja kwa siku ila naona ulaji wangu sio wa kawaida, nakula msosi mwingi sana.

    Unajua ile tabia ya walevi kuwaambia wahudumu wahakikishe vinywaji havikauki mezani? Sasa mimi siku hizi nikienda mgahawani naambia mhudumu akiona nimekaribia kumaliza sahani ya kwanza alete nyingine chap. Ni rasmi sasa nikienda restaurant lazima nile sahani 2 haijalishi ni ugali, pilau au wali...
  4. JamiiForums Tanzania Pongezi Prof. Adolph Mkenda, ni Multi Talented, Sio tuu ni Profesa, Mbunge,Waziri na Mwanasiasa, Prof. Mkenda ana Kipaji, ni Bonge la Mtangazaji!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la Pongezi kwa Waziri wa Elimu, Prof. Adolph Mkenda, ni multi talented, Sio tuu ni profesa wa sayansi, mhadhiri wa chuo kikuu, mbunge, waziri na mwanasiasa, Prof. Mkenda pia ana kipaji cha utangazaji, nimemtazama na kumsikiliza leo, katika kipindi chake cha kwanza...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Maasai, Punda haliwi Wala sio mfugo wa Uchumi , Punda hamtii hasara Mmasai, Nyinyi kama MMEUA Simba ili kuwafurusha Maasai semeni tu

    Ni hayo tu, maana mnaweza kufikia Hatua ya kusema Mifugo ya Maasai inamaliza Nyasi na Majani mbugani !!
  6. JamiiForums Tanzania Nionavyo mimi Lissu kafanya kosa la uchochezi sio uhaini

    Aliwachochea watu wakaenda kutenda walichotenda. Tena sio yeye tu bali chadema yote; ifutwe. Vinginevyo akamatwe tena kwa ushahidi mwingine.
  7. JamiiForums Tanzania Nafikiri yule mdada mwenye tatoo ya kipepeo sio mtu wa kawaida. Ana uwepo wa nguvu fulani ndani yake

    Kufuru anayofanya and force aliyonayo ni mfano aina ya mtu ambae sio energy ya kibinadamu. Nafikiri yupo possessed au connected na element fulani hivi.
  8. JamiiForums Tanzania Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kenya vina jisimamia kwa uhuru sana sio kama vya Tanzania hasa pale Jalalani

    Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda. Je ingekuwa hapa kwetu mbunge au kiongozi amefoji elimu yake kwenye CV vingeweza kuweka wazi ?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.

    Sio kila kiberiti nichakutikisa, vingine nivya gesi, vitakulipukia - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. Ametoa kauli hiyo jana (Jumanne, Septemba 15, 2026) wakati akizungumza na wananchi wa Bariadi Mjini, mkoani Simiyu katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya CCM Saba Saba.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Lissu, Heche and the like, kazi yenu ni kubwa lakini sio ngumu

    Kazi ya kusimamia HAKI ni kubwa kwa sababu mahali popote pale HAKI ni kwa ajili ya maslahi ya wengi(vizazi kwa vizazi). Lakini pia kazi ya kusimamia HAKI sio ngumu kwa mtu mwenye nia thabiti isiyotetereka. Mwenyehaki kusimamia HAKI kwake ni burudani sio mateso. Ni raha sio karaha. Haijalishi...
  12. JamiiForums Tanzania Katuga: Ni haki au sio haki kwa mtu yeyote aliyehamasika na Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutumia njia yoyote kuuvuruga uchaguzi?

    Mwana JF wewe ulichagua njia gani zaidi ya hizi za Mwanasheria wa serikali?
  13. JamiiForums Tanzania Katuga: Ni Haki au sio Haki kwa mtu yeyote aliyesikiliza Hotuba ya Mwenyekiti kuchagua njia yake kutafsiri hotuba ya Mwenyekiti?

    Wana JF mlitafsiri vipi?
  14. JamiiForums Tanzania Sio Rahisi kama mnavyo rahisisha

    Hellow wana JF. Mtu kama huyu anafuata mkumbo eti ngoja nitunze vyakula ndani, are you Mad? Amini nakwambia chakula hakita kusaidia kwa chochote kama upo kwenye maeneo kama haya. We endelea kujaza vyakula ndani.
  15. JamiiForums Tanzania Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class)

    Jifunze kutumia Capcut bure (Free Class) CapCut Course: Beginner to Advanced 🔰 Kozi hii ni kwa ajili ya: Content creators (TikTok, Instagram, YouTube) Wamiliki wa biashara wanaotaka kutengeneza video za matangazo Freelancers wanaotaka kuuza huduma ya video editing Wanafunzi au mtu yeyote...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaosema Heche ananufaika na kesi ya Lissu sio waongo, amethibitisha

    Huwezi kupata fedha halafu zote ukaenda kuzitumia kununua magari. Bila shaka fedha ya kununulia magari ni sehemu ndogo tu ya fedha anayopata mtu, maana hata hayo magari yatahitaji kufanyiwa services na matumizi mengine kama ada za watoto, nk. Kama Heche ametumia fedha nyingi kununulia magari...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwenda Kizimkazi sasa ni kiki. Wanajali camera sio kumuona Mama

    Kwenda kumuona Mama sasa imekuwa ni kama kiki na sio kwenda kumpa pole. Imekuwa ni kulazimishana lazimishana hivi. Cha ajabu wanajali zaidi waonekane kwenye picha zaidi ya kujali kusalimia. Camera za nini yaani huyo Mama siku nzima ni kukaa kwenye kiti na kupiga picha na watu. Hivi afya yake...
  18. JamiiForums Tanzania Mnaowekeza Arusha karibu na uwanja wa AFCON wekeni mikakati ya muda mrefu kuendeleza biashara na sio faida ya mwezi mmoja ya AFCON.

    Enzi za JK watu walikimbilia kuweka mahoteli ya kifahari Mtwara bila kuwa na mikakati ya muda mrefu wakaishia kutoa milio baada ishu ya gesi kutokwenda sawa. Kwa sasa naona watu huko Arusha wanawekeza mahoteli wakiitaja sana AFCON kama lengo lao. Ikumbukwe AFCON ni mashindano ya mwezi mmoja tu...
  19. JamiiForums Tanzania Pombe sio chai 🤔

    Majuzi nimepata mchuchu , nimelipa chumba nikamwambia atangulie na pesa yote atakayo tumia nimelipa 😪 Nikasema nipitie club, atulie hapo alipo,nijibusti na pombe zangu ndio nimeshtuka hapa , kapiga simu , nikamwambia atume picha yake ,simkumbuki tena ,naona ananisunya😄😆 acha nilewe tu bwashee 😁
  20. JamiiForums Tanzania Sio lazima kuoga kila siku.

    Hakuna faida zozote za kiafaya kuoga kila siku kama huishi sehemu zenye joto au kufanya kazi ngumu za kukutoa jasho. Watu wengi wanaoga kila siku kwa sababu ya mazoea tu. Kama uko kwenye baridi ukioga mara tatu kwa wiki inatosha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…