tendo la ndoa(sex) si jambo la kimwili tu , ni la kiroho pia(spirtual) , unapofanya tendo la ndoa mnabadilishana nishati au energy , nishati hizo zinaweza kuwa hasi au chanya.
Unapofanya tendo la ndoa na mtu ambaye sio sahihi au chaguo la Mungu mnabadilishana generational curse au pattern(tabia...