sio

Silicon monoxide is the chemical compound with the formula SiO where silicon is present in the oxidation state +2. In the vapour phase, it is a diatomic molecule.
It has been detected in stellar objects and has been described as the most common oxide of silicon in the universe.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania RITA eleweni jina la babu sio jina la ukoo

    Habari wote. Wafanyakazi wa RITA mliomo humu eleweni na muwafahamishe pia na wenzenu kuwa jina la babu sio jina la ukoo. Mfano mimi naitwa John Julius Kipingo, cha kushangaza ukimuombea mtoto(mfano Peter) cheti cha kuzaliwa huko halmashauri kitakuja na majina ya Peter John Julius, ukiwauliza...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo sio mfumo wa ELIMU, tatizo ni asili ya watu

    Watanzania wengi Mimi nawaita vichaa kwasababu hawana uwezo wa kuhoji mambo ndani ya nafsi zao. Ikutokea mtu mwenye ushawishi katika jamii ameongea jambo, jambo hilo kwa 100% wataliunga mkono na kuliona liko sahihi. Kuna hoja ilitolewa na wapinzani na baadhi ya watu kuwa mfumo wa Elimu yetu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kihongosi Chadema sio ombaomba. Inachangiwa na wananchi sababu wanaona kina nia thabiti ya kuwakomboa dhidi ya mafisadi.

    Aibu kubwa kwa CCM kwa kuwa na Mwenezi wa taifa ambae ana hoja zisizo na masshiko kama hizi. Hajui hata Tanu ilipokuwa chama cha ukombozi kilichangiwa na wananchi? CCM inachangiwa na wafanyabiashara mafisadi wasiolipa kodi. Amesahau juu ya bil 200 za uchaguzi walizochangiwa CCM na bado...
  4. JamiiForums Tanzania Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama siyo huruma ya Rais Samia, Lissu atakaa sana mahabusu

    Hivi sasa uendeshaji wa dunia umebadilika. UNO ipo lkn kama mpitishaji wa ajenda za USA ICC ipo lkn haiwezi kuikosoa Isreal. Vipo vyombo vya habari vikubwa kama bbc , CNN lkn vyote hivyo huvisikii kumkosoa Trump. Yaani hivi sasa dunia inavyoendeshwa kama inaendeshwa na watu na sio mihimili...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la nchi nyingi ni vyombo vya ulinzi na usalama na sio wanasiasa

    Hili ndio tatizo: Kulinda wauaji, majizi na mafisadi hata kama yanagharimu nchi na watu wake Huu mfumo una nguvu katika nchi za hovyo hovyo na kidogo umedhibitiwa katika nchi zilizostaarabika zinazoheshimu raia wake na zenye mifumo inayolinda maliasili za nchi dhidi ya ujambazi wa viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Ndoa sio ndoano kama utafuata Kanuni/formula

    Hamjambo! 1. Wengi wanaosema mapenzi na mahusiano hayana formula Kwanza ni waongo. Lakini pili ndio haohao wanaoteseka na mapenzi na ndoa. 2. Mapenzi na ndoa ma mahusiano yoyote unayoyajua Yana kanuni na formula zake. 3. Nitatoa kanuni chache ambazo ukizifuata mahusiano na mapenzi yako...
  8. JamiiForums Tanzania Japo Rais Wetu Sio Malaika, ni Binadamu, Anaruhusiwa Kukosea Vikosa Vidogovidogo vya Kuteleza Ulimi, Tusimfanyie Nongwa, Tumvumilie, ila Vinapozidi..!

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Leo. Kufuatia Ibara ya 46 ya katiba yetu kuwa na kipengele cha kinga yaq Rais wa Tanzania, hawezi kushitakiwa mahakamani kwa kosa lolote, hivyo kuna watu wanadhani mtu akiwa rais wa nchi, anabadilika anakuwa ni malaika na hivyo hawezi...
  9. JamiiForums Tanzania Sio kila nyimbo ya singeli ina maudhui ya kihuni

    Actually mi nasikiliza mziki wowote mzuri ila 95% ya nyimbo ninazosikiliza ni kutoka Marekani na Tanzania Kwa hapa Tanzania nasikiliza Bongo Flava, na singeli chache sana Kuna stereotype imejengwa kuhusu singeli kuwa ni mziki wa wahuni, usio na maadili na hauna mashairi mazuri Well, kwa baadhi...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport

    Ndugu zetu wa Kenya wanataka integration ya software kama Haki za binadamu sio hardware kama passport au mambo ya common market, hayo yatakuwa Tu yenyewe tukiwa, tunataratibunnzuri za maisha.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara

    Viza za biashara na wanafunzi kwenda USA zimesimamishwa : Sio nzuri kwa wafanyabiashara Wakati machawa na ndugu wa Samia wakifurahia mauaji ya vijana wetu wafanyabiashara wa kimataifa hali sio nzuri maana hawawezi kwenda kuongea na wawekezaji au kampuni ubia za marekani na hii inasababisha...
  12. V

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Msigwa, soko la dunia hawauzi dizeli wala petroli! Na hayapimwi kwa kilo!

    Eti katoa bei za dizeli na petroli soko la dunia akijaribu kunyoosha kauli za Rais. Msigwa, ifike mahala mkubali kwamba kwenye nchi ya watu mil 65, watu wa serikali laki mbili tatu hawawezi kuwa wanajua kila kitu kuliko wengine wooote tuliobaki! Punguza kutoa macho na mapovu wakati unaongea...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Demokrasia kwa tajiri maana yake ni kumnyonya mwananchi wa kawaida sio kuwa na utawala wa sheria

    Matajiri wote wanaopigania demokrasia maana yake wawe na uhuru wa kupanga bei za bidhaa bila hata kuangalia mnyororo wa udhalishaji. Moja wapo ya njia hizo ni kutengeneza cartels. Matajiri wanakubalia bei ya soko ili kusiwe na ushindani makampuni ya mtandao ya simu ni mfano mzuri.
  14. JamiiForums Tanzania Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

    Hii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa 😮‍💨💼 Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla 🤷🏽‍♂️ Juzi nilikuwa napitia account zangu, nikajiuliza hii ni balance au ni namba ya simu ya mtu 😂💰 Sio hata flex, ni reality tu...
  15. L

    JamiiForums Tanzania “Jibu la China” kwa Kenya: sio mfumo, bali ni mbinu

    Mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 70 ya kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Afrika. Katibu Mkuu wa Chama tawala cha UDA nchini Kenya Hassan Omar Hassan hivi majuzi alitembelea China kwa mwaka wa pili mfululizo. Ziara zake mara kwa mara zinaibua swali: je, nchi hiyo inatafuta...
  16. JamiiForums Tanzania Nini unapaswa kufanya ili kuepuka kulea watoto ambao sio wako?

    Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili. Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa Now, huwezi kulaumu...
  17. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na bunge ambalo sio rubber stamp. Rais Samia angeondolewa madarakani kupitia ibara ya 46A ya katiba ya JMT kwa kumteua Agela Kizigha

    Kwa ujumla raisa Ameqakosea wananchi ambao wanalipa kodi ili kulipa mishahara ya Wabunge na posho zao. Kama hili bunge lisingekuwa rubber stamp ilipaswa rais Samia aondolewe madarakani kupitia ibara ya 46A . Huwezi kuteua mtu ambae aaliiba pesa za watanzania masikini ambao hawana maji, shule...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Tutangaze nchi sio viongozi ili kupata watalii. Late Dr Munroe yupo sawa

    https://youtu.be/klE6IkLD0aM?si=WEoMVcIw1XeaVjlM
  19. JamiiForums Tanzania Naungana na DC Magoti: Wanaume wanaolaumu Wake zao na kulalamikia wanawake sio Wanaume waliokamilika

    Hamjambo! 1. Dc Magoti japokuwa anapenda kuongea kwa misifa, majigambo, na kidogo utani Jambo ambalo wakati mwingine anatoaga Boko. Round hii ninaungana naye kwenye hoja yake hii; 2. Mamlaka hailalamiki. Mamlaka inayolalamika hiyo sio mamlaka. 3. Kauli hiyo ameitoa huku akiwahusisha Wanaume...
  20. JamiiForums Tanzania U-Super power wa China na Urusi sio halisi, ni tambo zaidi

    Kama mwendawazimu Trump na rafiki yake Netanyahu wamechafua na kuivuruga mashariki ya kati hadi kupelekea dunia nzima kuingia kwenye shida kubwa huku haya mataifa makubwa mawili yakishindwa kufanya chochote kuokoa jahazi sasa ukubwa wao una maana gani duniani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…