single

A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single person or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother kampiga mwiko wa kichwa Baba wa kufikia

    Jambo? Hili tukio limetokea mtaani kwetu kuna jamaa ameoa Single mother, sasa usiku wakiwa sebuleni jamaa akasikia meseji imeingia kwenye simu ya Single mother. Lahaullah ile kuangalia anakutana na meseji inayosema, "Mpenzi unakuja lini kwangu kunipikia, nimemisi mahanjumati yako mpenzi"...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Angalia hapa jinsi Single Mother anavyosumbuliwa na mzazi mwenza

    Single Mother wanachangamoto sana, angalia hapa jinsi mzazi mwenzake anavyomuharibia mahusiano yake (Vitimbi).
  3. buzitata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina ya single mother unayeweza kuingia naye kwenye ndoa

    Habarini na poleni na majukumu Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za kwanini mwanamke anakuwa single mother. 1. Baba mtoto kukataa mimba au mtoto. Kiukweli hakuna jambo...
  4. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mother ananikonyeza

    Wakuu kuna Single Mother mmoja kila akiniona ananikonyeza na kunitikisia Wowowo lake mithili ya tetemeko la ardhi! Wakuu sio mtego huu?
  5. Kijana LOGICS

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Humtaki single mother sawa basi nenda kaoe ambae sio single mother uwache kuwasema vibaya single mother

    Idadi ya single mother ni ndogo mno lakini watu wanavyosema kuhusu single mother utadhan ni janga la taifa. Post nyingi zinawesema vibaya single mother kwamba sio wife material. Humtaki single mother Nenda kaoe ambae hajazaa stop kueneza chuki.
  6. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother amtamkia maneno mabaya Baba wa kufikia

    Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa anaepiga vibarua vya kutengeneza simu mtaani. Sasa Jamaa wakati akiwa ofisini na mtoto wa kufikia mwenye umri wa miaka 14 yule dogo akaidondosha chini simu ya mteja. Ikumbukwe kuwa jamaa huwa anamkatazaga Dogo asiwe...
  7. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mother ampiga kibuti Baba Mlezi

    Aisee! Hii imetokea mtaani kwetu, kuna Single Mother alikuwa ameolewa na Jamaa mwenye pesa. Kama unavyojua maisha ni kupanda na kushuka, yule jamaa kafukuzwa kazi na hana inshu yoyote zaidi ya kupambana na vikazi vidogo mtaani. Hauwezi amini yule Mwanamke kambeba mwanae na kumkimbia jamaa na...
  8. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother anaamini kuwa step-Dad hampendi mwanae bali anaigiza

    Habari zenu, Ewe Mwanaume uliejibebesha majukumu ya mwanaume mwenzako kwa kusingizia upendo tambua kuwa Single Mother aamini kuwa unampenda mwanae bali unaigiza. Siku mwanae akiwa anaumwa na ukashindwa kumpeleka hospital atasema unataka mwanae afe kwasababu humpendi. Siku ukimkemea mtoto na...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje Single Mother anapompost mwanae kwenye mitandao?

    Habari zenu, Hili ni swali kwa Vijana wabishi walioamua kuoa Single Mother. Unajisikiaje pale unapoona Single Mother uliemuoa anampost mtoto wake na kuandika maneno kama My World, My Everything halafu Baba Mtoto nayeye anakuja kucomment My family.? Kumbuka kuwa wewe hujawahi kutamkiwa hayo...
  10. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single mother tumeanza kushindwana na kutishiana maisha kisa mwanaye

    Nlipoanza mahusiano naye sikujali kama ana mtoto nikasema nitampenda hivyo hivyo ila tu anielewe na misimamo yangu. Maana mapema nlimwambia kuwa ni changamoto sana kudate yeye ikiwa hatojielewa. Mwezi wa 12 akaomba sana aje likizo kukaa kwangu. Nikamwambia hamna shida. Akaja na mtoto wake. Mimi...
  11. sonofobia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakuna single mother anaweza faulu huu mtihani, ndio maana wanaonekana miyeyusho

    Mtihani mkubwa kwa single mothers ni kubalansi upendo kati ya mtoto wake na mpenzi wake. Akimpenda sana mtoto wake atahakikisha mtoto anapata love ya baba yake mzazi hivyo atakuwa na mawasiliano very active na baba wa mtoto wake ili kuwakeka karibu. Akimpenda sana bwana wake atazuia...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

    habari wadau. hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi. mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi...
  13. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malalamiko kuhusu single mothers ni kwasababu watu wengi hawajui kupiga mipira iliyokufa.

    Kama wewe sio mtaalamu wa kupiga mipira iliyokufa , hutowaweza single maza. Unajua katika mchezo wa mahusiano sio kila mchezo MTU anaweza kuutawala wote ,hivyo kupiga mipira iliyokufa hiyo kazi wanaiweza wataalamu tu, ikiwa wewe sio mmoja wao usilazimishe.. Huwezi wasikia wataalamu wa hizi...
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wengi walioharibika waliolelewa na mzazi moja hutokea upande wa single mama?

    Kuna wanaokuwa vizuri lakini tuwaangalie wale walioharibika Husika na kichwa cha habari, Katika wale vijana kuanzia miaka 15 ambao kimaadili wameharibika, ni kwanini wengi wamelelewa na single mothers?
  15. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliwahi kupendwa na single Mother

    Kabla sijasema hili la kwanza la kupendwa na Single mother, niseme kwamba, mimi ndie yule ambae niliwahi kukataliwa na single mother. Mambo ni mengi sababu ni nyingi.. Lakini soon nataka niandike uzi kuhusu Ndoa na Mahusiano, kuna mambo wanaume tunatakiwa kuwekana sawa. Naamini mtazamo wangu...
  16. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea Single Movies kutokufanya vizuri Tanzania?

    Tangu Kanumba kufariki, soko la Movie moja moja hapa Tanzania limekuwa gumu sana, na waigizaji wengi sasa wamejikita kwenye vipande vya video fupi fupi za kupost instagram na YouTube, na waigizaji wakubwa wamejikita zaidi kwenye Tamthilia. Soko la Movie Moja moja (Single Movie) kwa kweli...
  17. Kifurukutu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri tafadhali: Nimchague yupo kati ya single mother na Bar maid?

    Wakuu Mimi ni kijana miaka 30 sasa, nimekuwa nikijihusisha na mahusiano ya kimapenzi na wanawake wa aina tofauti tofauti, lakini mwisho wa siku najiona kabisa nahitaji kuoa mapema hapo mwakani Changamoto yangu kubwa nashindwa kuamua kati ya kumuona baa maid ambaye hajawahi kuzaa I mean yupo...
  18. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania "Single Again" ya Harmonize yaingia tano bora ya Spotify Best Afrobeats Songs of 2023

    Hongera sana #Kondeboy kwa kuingiza wimbo 1 kwenye top 5 ya nyimbo bora za Afrobeats kwa mwaka 2023 huko Spotify.. Siku zote kazi bora huwa inaonekana, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. Ukitoa wimbo mkali utabaki kuwa mkali tuu hata usipofanya promo. Tujifunze kwa wanaijeria, hawana shobo na...
  19. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Logical Reasons Why You Should Never Date a Single Mother and Marry Her

    When it comes to love, everything else doesn’t matter. That’s why you can fall in love with a single mother. Since her good heart is everything you need, you don’t care even she already had children. But if you want to get things more serious with her, you might find out the reasons why you...
  20. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaowalea watoto wa kike bila kuwafundisha kazi za nyumbani mnawaandalia mazingira gani wakiwa wakubwa?

    Ni siku ya leo nimekumbuka nikiwa kwenye mahusiano hapo miaka ya 2015 na binti moja mrembo, mapenzi yalinoga sana lakini baada yakuanza kuishi nae niliona mapungufu mengi sana, la kwanza kabisa alikuwa hajui kupika yani ugali sometimes unakuwa mbichi halafu hata hajishughulishi kuongeza mboga za...
Back
Top Bottom